Wananchi wakiangalia Samaki aina ya Papa aliyevul...: Wananchi wakiangalia Samaki aina ya Papa aliyevulia katika bahari ya Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja, ambaye anakisiwa kuwa na kilo 150,...
Monday, May 21, 2012
ANKAL ATINGA KIJIJI CHA SWAHILI
ANKAL ATINGA KIJIJI CHA SWAHILI: Ankal akiwa na Deo Ruta nje ya Ofisi za Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani. Ankal akiwa na mkula wa Mgahawa wa Kijiji cha Swah...
TANZANIA DMV YAFUNGWA 2-1 NA PORTUGAL
TANZANIA DMV YAFUNGWA 2-1 NA PORTUGAL: Timu ya Portugal Timu ya Tanzania, DMV mashabiki jukwaa la Tanzania DMV Jukwaa la mashabiki wa Portugal Picha juu na ch...
Taswila za vingozi wa Chama cha CCM, DMV wakiwa na...
Taswila za vingozi wa Chama cha CCM, DMV wakiwa na...: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mh. Rais Jakaya Kikwete akipata picha ya pamoja na viongozi wa CCM Washington D.C (DMV) Loveness Mamuya(Mwenye...
MTANZANIA WA KWANZA KUPANDA MLIMA EVEREST AMEFIKA ...
MTANZANIA WA KWANZA KUPANDA MLIMA EVEREST AMEFIKA ...: Mtanzania Wilfred Moshi, ambaye ni mtanzania wa kwanza kuipandisha bendera yetu katika mlima mkubwa kuliko yote, amefanikiwa kuifikis...
Sunday, May 20, 2012
ASYA IDAROUS KHAMSIN AFANYA VITU NYAKE, NC
ASYA IDAROUS KHAMSIN AFANYA VITU NYAKE, NC: Watanzania wa North Caroliana wakinunua vitu mbali mbali kutoka kwa mwanamitindo wa kimataifa aliyebobea, Asya Idarous Khamsin alipokua Nor...
SPIKA WA BUNGE AWEKA SHADA LA MAUA KATIKA ENEO LA ...
SPIKA WA BUNGE AWEKA SHADA LA MAUA KATIKA ENEO LA ...: Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda akioneshwa na Naibu Meya wa Mji wa Hiroshima Mhe. Aramoto sehemu maalum ya kuweka mashada kwa lengo la k...
Wafanyakazi Bora wa Mamlaka ya Bandari (TPA) watem...
Wafanyakazi Bora wa Mamlaka ya Bandari (TPA) watem...: Mwenyekiti wa DOWUTA Bandari ya Dar es Salaam Bw. Athman Mkangara akiwa na baadhi ya wafanyakazi bora katika hoteli ya Serena Ngorongoro. Ba...
CCM Yazinduwa Tovoti yake Mjini Dodoma.
CCM Yazinduwa Tovoti yake Mjini Dodoma.: Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akizinduwa Tovoti ya Chama cha Mapinduzi Mjini Dodoma jana. Mwenyekiti w...
DK..Shein Akutana na watendaji wa Wizara ya Habari...
DK..Shein Akutana na watendaji wa Wizara ya Habari...: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,utamaduni n...
"Food Security at the G-8: Changing the developmen...
"Food Security at the G-8: Changing the developmen...: President Barak Obama of the United States of America delivers his Keynote Speech at the opening of the symposium themed "Food Security ...
KUELEKEA SAFARI YA MWISHO YA KIPENZI CHETU PATRICK...
KUELEKEA SAFARI YA MWISHO YA KIPENZI CHETU PATRICK...: Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Shabaan Nditi, Juma Nyosso, na Bocco wakiwa wamebeba jeneza la mchezaji mwenzio Patrick M...
KUTOKA MUNICH: MTANZANIA DJ MAX AMBAYE NI SHABIKI ...
KUTOKA MUNICH: MTANZANIA DJ MAX AMBAYE NI SHABIKI ...: DJ Max mtanzania ambaye anaishi Munich. Huyu ndio mwenyeji wangu ambaye ananisaida kunitembeza mjini hapa na kuelekeza juu ya vitu tofauti...
KUTOKA MUNICH: POMBE NDIO KINYWAJI KINACHOONGOZWA ...
KUTOKA MUNICH: POMBE NDIO KINYWAJI KINACHOONGOZWA ...: Katika siku mbili nilizokaa hapa Munich nimegundua watu hapa hasa mashabiki wa soka wanapenda sana kunywa pombe. Pombe ndio kinywaji wanach...
FAHARI YA AFRICA: DIDIER DROGBAAAAAAAAAA - APIGA G...
FAHARI YA AFRICA: DIDIER DROGBAAAAAAAAAA - APIGA G...: Klabu ya Chelsea imefanikiwa kutwaa taji lake la kwanza la michuano ya klabu bingwa ya Ulaya tangu kuanzishwa kwake. Chelsea wamekuwa mabi...
SIKU YA MWISHO YA MAFISANGO JUU YA ARDHI - HARUNA ...
SIKU YA MWISHO YA MAFISANGO JUU YA ARDHI - HARUNA ...: Michael Momburi, Kinshasa SAFARI ya mwisho ya kiungo wa Simba, Patrick Mafisango kuonekana duniani, inakamilishwa leo wakati sanduku leny...
Friday, May 11, 2012
Airtel Yatoa Msaada wa Madawati na Mipira kwa shul...
Airtel Yatoa Msaada wa Madawati na Mipira kwa shul...: Msanii wa kizazi kipya Ambwene Yesaya maarufu kama AY, akiwatumbuiza wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Maarifa iliyopo Gongo La Mboto nje k...
BREAKING NEWS: ADIDAS KUIDHAMINI TAIFA STARS
BREAKING NEWS: ADIDAS KUIDHAMINI TAIFA STARS: Habari za uhakika nilizozipata kutoka ndani ya shirikisho la soka Tanzania TFF ni kwamba kampuni ya utengenezaji wa mavazi ya Adidas imein...
Thursday, May 10, 2012
Wednesday, May 9, 2012
WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AMTEMBLEA WAZIRI MWANDOS...
WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AMTEMBLEA WAZIRI MWANDOS...: Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mark Mwandosya wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es Salaam kumj...
Obama invites four Africa leaders to Camp David
Obama invites four Africa leaders to Camp David: US President Barack Obama has invited four African Leaders to Camp David for a G-8 Summit to be held on May 19. The four leaders ...
JOSHUA NASSARI ARIPOTI KITUO KIKUU CHA POLISI MKOA...
JOSHUA NASSARI ARIPOTI KITUO KIKUU CHA POLISI MKOA...: Wakili Albert Msando akizungumza na waandishi wa habari jana katika makao makuu ya Jeshi hilo mkoani Arusha akiwa na Mbunge wa Jimbo l...
WAWAKILISHI WA BONGO BBA HAWA HAPA-GPL
WAWAKILISHI WA BONGO BBA HAWA HAPA-GPL: Wawakilishi wa Tanzania ndani ya Big Brother ‘StarGame’ 2012, Julio na Hilda.
Sifael Paul na Intaneti KITENDAWILI cha nani anaiwa...
TANZANIA YAICHAPA LESOTHO 57-13 MICHUANO YA AFRIKA...
TANZANIA YAICHAPA LESOTHO 57-13 MICHUANO YA AFRIKA...: Kikosi cha timu ya Taifa ya Lesotho. Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akisalimiana na wachezaji wa timu ya Taifa ya Netiboli ya Tanzania 'T...
Sunday, May 6, 2012
LIVE MATCH CENTRE: SIMBA 5-0 YANGA FULL TIME
: LIVE MATCH CENTRE: SIMBA 5-0 YANGA FULL TIME: KICK OFF: SIMBA VS YANGA DK: 1 - Emmanuel Okwi wanawainua Simba vitini JUKWAA LA MASHABIKI WA YANGA WANASIMBA Young African...
SIMBA YAFANYIA UNYAMA YANGA YAIBANJUA 5-0
SIMBA YAFANYIA UNYAMA YANGA YAIBANJUA 5-0: Mchezaji wa timu ya Simba mganda Emmanuel Okwi akishangilia goli mara baada ya kuifungia timu yake goli la kuongoza katika mchezo wa kum...
PAPISS DEMBA CISSE: KLABU TANO KUBWA BARANI ULAYA ...
PAPISS DEMBA CISSE: KLABU TANO KUBWA BARANI ULAYA ...: Kipindi cha kiangazi mwaka 2011 wakati Papiss Cisse akiwa anaichezea SC Freiburg - akiwa amefunga magoli 22 katika mechi 32 za Bundesliga - ...
DROGBA AENDELEZA MAAJABU WEMBLEY - AIONGOZA CHELSE...
DROGBA AENDELEZA MAAJABU WEMBLEY - AIONGOZA CHELSE...: Chelsea vs Liverpool 2-1 All Goals & Highlights... by kofiswag
DROGBA AENDELEZA MAAJABU WEMBLEY - AIONGOZA CHELSE...
DROGBA AENDELEZA MAAJABU WEMBLEY - AIONGOZA CHELSE...: Chelsea vs Liverpool 2-1 All Goals & Highlights... by kofiswag
PREVIEW SIMBA NA YANGA
PREVIEW SIMBA NA YANGA: Simba VIKOSI: SIMBA: Juma Kaseja, Nassor Chollo, Amir Maftah, Shomary Kapombe, Kelvin Yondan, Patrick Mafisango, Uhuru Suleiman, Mw...
Saturday, May 5, 2012
Baraza Jipya la Mawaziri
Baraza Jipya la Mawaziri: 1.OFISI YA RAIS Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais ( Mahusiano na Uratibu ) Ndugu Stephen M. Wasira, Mb., Waziri wa Nchi, Ofisi ya Ra...
BAADHI YA MAWAZIRI WALIOPOTEZA NAFASI ZAO
BAADHI YA MAWAZIRI WALIOPOTEZA NAFASI ZAO: Aliyekuwa Waziri wa Fedha, Mhe. Mustafa Mkulo. Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. William Ngeleja. Aliyekuwa Wa...
Polisi yasomba wapigadebe Posta Mpya
Polisi yasomba wapigadebe Posta Mpya: Juu na chini ni WAPIGADEBE wanne wamekamatwa katika kituo cha mabasi cha Posta Mpya kwa tuhuma za kuwabughudhi abiria kituoni hapo. ...
SOKO LA MITUMBA TANDALE LAUZWA KINYUME NA SHERIA
SOKO LA MITUMBA TANDALE LAUZWA KINYUME NA SHERIA: Wafanyabiashara ya mitumba wakiwa wamepanga bidhaa zao jana uku kipande cha soko hilo la mitumba lililopo Tandale Dar es salaam ikiwa in...
MASHINDANO YA KUMI BORA YAFANA ILALA
MASHINDANO YA KUMI BORA YAFANA ILALA: Mpambano ni mkali kweli kweli Bondia Hamisi Nassoro kushoto akioneshana uwezo wa kutupa masumbwi na Charo Issa wakati wa mashindan...
Friday, May 4, 2012
Thursday, May 3, 2012
Mama Asha Atembelea Soba House Pemba
Mama Asha Atembelea Soba House Pemba: Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi akizungumza na Vijana wanaobadilishwa tabia katika Nyumba ya Kuba...
Wednesday, May 2, 2012
Maonesho ya Wafanyakazi Mei Mosi Viwanja vya Amani...
Maonesho ya Wafanyakazi Mei Mosi Viwanja vya Amani...: Mfanyakazi wa Shirika la Posta Kanda ya Zanzibar Khamis Suwed, akitowa maelezo kwa mteja aliyefika katika banda lao katika maones...
Ligi Kuu ya Zanzibar Jamuhuri na Zimamoto yatoka k...
Ligi Kuu ya Zanzibar Jamuhuri na Zimamoto yatoka k...: Wachezaji timu ya Jamuhuri wakimlalamikia mshika Kibendera kwa kuwaminyia mchezaji wa timu ya Zimamoto amefunga goli akiwa ameotea, na ...
Waziri wa Biashara na Viwanda Nassor Mazrui akifun...
Waziri wa Biashara na Viwanda Nassor Mazrui akifun...: Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Nassor Mazrui, akifunga maonesho ya Wafanyakazi ya Mei Mosi katika Viwanja vya Amaan nj...
SHOMARI KAPOMBE NA FELIX SUNZU WATAKIWA TP MAZEMBE...
SHOMARI KAPOMBE NA FELIX SUNZU WATAKIWA TP MAZEMBE...: SIKU mbili baada ya kuonyesha kiwango cha juu katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika, kiraka wa Simba, Shomari Kapombe na mshambuliaji...
ZANTEL YAZINDUA OFA MBILI MPYA- UHURU KWA TANZANIA...
ZANTEL YAZINDUA OFA MBILI MPYA- UHURU KWA TANZANIA...: Mkurugenzi wa Biashara wa Zantel Zanzibar Mohammed Mussa akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na viwango vya Umoja ambavy...
CRISTIANO RONALDO, BENZEMA NA HIGUAIN WAVUNJA REKO...
CRISTIANO RONALDO, BENZEMA NA HIGUAIN WAVUNJA REKO...: C ristiano Ronaldo, Benzema na Higuain wametengeneza historia mpya kwenye La Liga baada ya kila mmoja magoli 20 au zaidi katika ligi...
Tuesday, May 1, 2012
CHUMBE ISLAND ZANZIBAR
Chumbe Island is the most beautiful island, which conserve envirounment from pollution, hotels and bangalows are situated in the island, they provide including seafoods, all types, crabs, octopus, fish, shells, lobstar, and other kind of food, they provide also diving trip, snorking and sea playing with dolphin are situated in the isles
lukwangule entertainment: Waswidi wakishangaa sehemu ya kanisa mkunazini
lukwangule entertainment: Waswidi wakishangaa sehemu ya kanisa mkunazini: Watalii kutoka Sweden wakitembelea sehemu za historia za mji mkongwe wa Zanzibar kwenye kanisa la Anglican, Mkunazini kama walivyokutwa na ...
SLAVE TRADE IN ZANZIBAR
SLAVE TRADE
Rais Jakaya Kikwete awasili Tanga leo
Rais Jakaya Kikwete awasili Tanga leo: Picha juu na chini ni Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mamia ya wakaazi wa jiji la Tanga leo April 30, 2012 baada ya kuwasili ...
Takukuru yawachunguza Mawaziri wanaotuhumiwa
Takukuru yawachunguza Mawaziri wanaotuhumiwa: Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dk Edward Hoseah Boniface Meena SAKATA la ufisadi ulioanikwa kwenye ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa ...
KALI YA LEO: CHEKA NI MCHAWI - ALINIROGA NA KIFO C...
KALI YA LEO: CHEKA NI MCHAWI - ALINIROGA NA KIFO C...: Mada Maugo. Baada ya pambano la juzi kati ya mabondia Francis Cheka na Mada Maugo, stori kubwa kwenye midomo ya wat...
DIAMOND AFANYA MAMBO MAKUBWA DAR LIVE
DIAMOND AFANYA MAMBO MAKUBWA DAR LIVE: Mwanamuziki Diamond anayevuma kwa sasa hapa nchini kifanya onyesho zito na la kukata na shoka mbele ya mashabiki wake kwenye uku...
JE MBIO ZA UBINGWA NCHINI ENGLAND NDIO ZIMEISHIA H...
JE MBIO ZA UBINGWA NCHINI ENGLAND NDIO ZIMEISHIA H...: Manchester City 1-0 Manchester United by goalsarena2012-3
Monday, April 30, 2012
Azam FC yaifunga Toto Afrika na kufikisha pointi 5...
Azam FC yaifunga Toto Afrika na kufikisha pointi 5...: Azam FC imejiweka katika nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu kwa kufikisha pointi 56 baada ya kuifunga Toto...
Vyuo vikuu watishia kuwavamia mawaziri
Vyuo vikuu watishia kuwavamia mawaziri: WANAFUNZI ambao ni wanachama wa Shirikisho la WanaCCM Vyuo vya Dar es Salaam, wamempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa nia yake ya kutaka k...
VIJIMAMBO: Vyuo vikuu watishia kuwavamia mawaziri
VIJIMAMBO: Vyuo vikuu watishia kuwavamia mawaziri: WANAFUNZI ambao ni wanachama wa Shirikisho la WanaCCM Vyuo vya Dar es Salaam, wamempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa nia yake ya kutaka k...
ZanziNews Blog: Ubalozi wa India Wakabidhi Vifaa vya Masomo ya Say...
ZanziNews Blog: Ubalozi wa India Wakabidhi Vifaa vya Masomo ya Say...: Balozi Mdogo wa India Dalip Singal amemkabidhi Waziri wa Elimu na mafunzo ya amali Ali Juma Shamhuna vifaa mbali mbali vya masomo ya sayans...
Uzinduzi wa Maandalizi ya Ijitimai ya Kimataifa Za...
Uzinduzi wa Maandalizi ya Ijitimai ya Kimataifa Za...: Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda na Mwakilishi wa Jimbo la Fuoni Thuwaiba Kisasi akipata maelezo ya majengo ya Kijiji cha Jitimai Fu...
SAMATTA AIFUNGIA TENA MAZEMBE AFRIKA
SAMATTA AIFUNGIA TENA MAZEMBE AFRIKA: Samatta anafunga hapo mpira ushatimkia nyavuni, lango halionekani. MBWANA Ally Samatta, maarufu kama Sama Goal, jana aliibuka shujaa ...
Saturday, April 28, 2012
KAMATI KUU CCM YABARIKI JK KUWAWAJIBISHA MAWAZIRI
KAMATI KUU CCM YABARIKI JK KUWAWAJIBISHA MAWAZIRI: Rais Jakaya Kikwete Boniface Meena na Aidan Mhando HATIMAYE Rais Jakaya Kikwete amesikiliza kilio cha wabunge, vyama vya siasa, wananch...
8020 fashions.4 ur fashions & Lifestyle.: RED CARPET @ TAPSEA MWANZA
8020 fashions.4 ur fashions & Lifestyle.: RED CARPET @ TAPSEA MWANZA: EVENT:: KONGAMANO LA TAPSEA VENUE:: MALAIKA BEACH RESORT ,MWANZA DRESS CODE:: AFRICAN 'B2A ' WASHIRIKI:: MASECRETARI WA NCHI NZIMA ...
KUELEKEA PAMBANO LA WATANI WA JADI - EBU TUMKUMBUK...
KUELEKEA PAMBANO LA WATANI WA JADI - EBU TUMKUMBUK...: NI orodha ndefu ya wachezaji waliohama kutoka Simba kwenda Yanga na kutoka Yanga kwenda Simba, tangu enzi za akina Emanuel Mbele 'Dubu'...
TITO VILANOVA KOCHA MPYA WA BARCA: RAFIKI WA GUARD...
TITO VILANOVA KOCHA MPYA WA BARCA: RAFIKI WA GUARD...: Pamoja na Barcelona kuvunja rekodi ya mafanikio chini ya Pep Guardiola katika miaka minne iliyopita - akiiongoza timu hiyo kubeba jumala ya ...
Friday, April 27, 2012
WATANZANIA WAZIDI KUTAKIWA NA VILABU VYA NJE - WAW...
WATANZANIA WAZIDI KUTAKIWA NA VILABU VYA NJE - WAW...: WATANZANIA WAWILI WAOMBEWA ITC UGHAIBUNI Wachezaji wawili Watanzania wameombewa Hati ya Uhamisho wa Kimataifa (ITC) kwa ajili ya kuch...
Thursday, April 26, 2012
JK aongoza watanzania sherehe za Muungano jijini D...
JK aongoza watanzania sherehe za Muungano jijini D...: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia wananchi wakati alipokuwa akiingia katika uwanja wa Uhur...
Wednesday, April 25, 2012
Tuesday, April 24, 2012
Kkosi cha Zimamoto Chazindua Kifaa Kipya DSPA 5
Kkosi cha Zimamoto Chazindua Kifaa Kipya DSPA 5: Kamishna Ali Abadalla Malimussa kushoto akiangalia kifaa kipya cha kuzimia moto kijulikanacho kama DSPA 5 kutoka kwa askari wa kikosi cha...
RONALDO DE LIMA ATAJA MAKUNDI YA OLYMPIC 2012 LOND...
RONALDO DE LIMA ATAJA MAKUNDI YA OLYMPIC 2012 LOND...: Out of the hat: Brazil legend Ronaldo was on hand to help with the draw GROUP A Great Britain Senegal UAE Uruguay Fixtures: July 2...
Jennifer Hudson, William Balfour Trial: Singer Bre...
Jennifer Hudson, William Balfour Trial: Singer Bre...: AP CHICAGO (AP) - Oscar-winner Jennifer Hudson broke down in tears Monday while testifying at the trial of the man accused of kill...
NAPE AKUTANA NA KUWA NA MAZUNGUNGUMZO NA UJUMBE WA...
NAPE AKUTANA NA KUWA NA MAZUNGUNGUMZO NA UJUMBE WA...: Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (kulia) akizungumza wakati wa kikao chake na Ujumbe wa Wanafunzi...
Monday, April 23, 2012
EXTRA BONGO WAFANYA KUFURU MEEDA SINZA JIJINI DAR
EXTRA BONGO WAFANYA KUFURU MEEDA SINZA JIJINI DAR: Wacheza shoo wa Bendi ya Extra Bongo wakicheza wakati wa onyesho la kila jumamosi katika Ukumbi wa Meeda Sinza jijini Dar es Salaam Dah......
Elizabeth Michael ' Lulu' Alipotinga Mahakama Ya H...
Elizabeth Michael ' Lulu' Alipotinga Mahakama Ya H...: Mshatkiwa Elizabeth Michael |(17), ' Lulu' akielekea kupanda ngazi na kupandishwa Kizimbani Kesi hiyo ilikuja kwa ajili ya kutajwa Up...
Van Persie atwaa tuzo ya mwanasoka bora wa kulipwa...
Van Persie atwaa tuzo ya mwanasoka bora wa kulipwa...: Naye beki wa kulia wa Totenham Hotspurs Kyle Walker alichaguliwa mwanasoka bora kijana akiwashinda Sergio Aguero na Danny Welbeck. Premi...
Monday, April 16, 2012
KILIMANJARO MUSIC AWARDS, DIOMOND ASHINDA TUZO TAT...
KILIMANJARO MUSIC AWARDS, DIOMOND ASHINDA TUZO TAT...: Mwanamuziki Diamond (kulia)akipokea tuzo yake kutoka kwa George Kavishe meneja wa bia ya Kilimanjaro mara baada ya kutangazwa mshindi wa u...
Sunday, April 8, 2012
HATIMAYE LULU AZUNGUMZA ASEMA HAKUMSUKUMA KANUMBA
HATIMAYE LULU AZUNGUMZA ASEMA HAKUMSUKUMA KANUMBA: Baada ya kugoma kutoa maelezo kwa takribani siku nzima ya jana, mwanadada Lulu hatimaye amezungumza na polisi na kuelezea kilichotokea baina...
MDOGO WA KANUMBA AFUNGUKA,LULU AGOMA OYSTERBAY POL...
MDOGO WA KANUMBA AFUNGUKA,LULU AGOMA OYSTERBAY POL...: MDOGO WA KANUMBA AFUNGUKA,LULU AGOMA OYSTERBAY POLICE STATION Ndugu wa Marehemu Steven Kanumba,Seth,ameelezea mkasa uliopelekea ki...
TASWIRA MBALIMBALI ZA MSIBA WA STEVEN KANUMBA
TASWIRA MBALIMBALI ZA MSIBA WA STEVEN KANUMBA: Mbunge wa Kinondoni Idd Azzan Waziri William Ngeleja akisaini kitabu cha maombolezi Waziri Ngeleja na Eric Shigongo Ruge Mutahaba ak...
Saturday, April 7, 2012
BREAKING NEWS: MUIGIZAJI LULU ALIYEKATWA KWA KUHUS...
BREAKING NEWS: MUIGIZAJI LULU ALIYEKATWA KWA KUHUS...: Kutokana na utata wa kifo cha Mwigizaji Steven Kanumba The Great,mpaka sasa hivi inadaiwa kuwa Lulu ndo atakua anajua kilichotokea chumbani...
Kifo cha Steven Kanumba habari zisizo rasmi na kuthibitishwa zinasema kwamba anahusika mojmakwa moja, lakini tuwaachilie vyombo vinavyohusika kutoa taarifa juu ya kadhia hii; kwa ujumla wakaazi wa dar es salaam na kabibu nchi mzima wanafuatilia kwa kabibu sana taarifa hizi ambazo ni nzito miongoni mwa masikio ya watu na macho yao kuweza kuamini kabis lakini hivi ndivyo ilivyo RIP AMEFARIKI dunia usiku wa leo haspitali ya Muhimbili
Subscribe to:
Posts (Atom)




