Pages

Monday, August 6, 2012

CCM HADI UGAHAIBUNI

 

CCM DMV WAFUTURISHA



Makada wa CCM wakiwa na kadi za uwanachama kwa wanachama wapya katika futari ya pamoja ilioandaliwa na tawi la CCM DMV Jana Ijumaa Aug 3, 2012 katika ukumbi wa Hillandale Park iliyopo Silver Spring, Maryland Nchini Marekani.
Mwenyekiti wa tawi la CCM DMV Loveness Mamuya akipata picha na tikiti maji lililochongwa kwa longo ya Chama cha CCM, katika futari ya pamoja ilioandaliwa na tawi la CCM DMV Jana Ijumaa Aug 3, 2012 katika ukumbi wa Hillandale Park iliyopo Silver Spring, Maryland Nchini Marekani.
Tikiti maji lililochongwa kwa longo ya Chama cha Mapenduzi CCM

Foleni ya Chakula

Baadhi ya waTanzania waliovalia rangi za chama cha CCM wakiwa kwenye futari ya pamoja ilioandaliwa na tawi la CCM DMV, Jana Ijumaa Aug 3, 2012 katika ukumbi wa Hillandale Park iliopo Silver Spring, Maryland Nchini Marekani.
Makada wa CCM Tawi la DMV shoto Mbunifu wa Ma Winny Casey Khanga Wrap Designer, pamoja na Peter Ligate (Picha ya kulia) wakiwa katika mpango mzima wa futari ya pamoja ilioandaliwa na wanatawi la CCM DMV

Watanzania waliojumuika kwenye futari ya pamoja ilioandaliwa na tawi la CCM DMV, Jana Ijumaa Aug 3, 2012 katika ukumbi wa Hillandale Park iliopo Silver Spring, Maryland Nchini Marekani.


Mwenyekiti wa tawi la CCM DMV Loveness Mamuya akiwakaribisha rasmi wageni walikwa kwenye futari ya pamoja ilioandaliwa na tawi la CCM DMV, Jana Ijumaa Aug 3, 2012 katika ukumbi wa Hillandale Park iliopo Silver Spring, Maryland Nchini Marekani.


Baadhi ya wanachama wa CCM Tawi la DMV wakipata picha ya pamoja baada ya futari walioiyanda


Wanachama wa CCM Tawi la DMV na baadhi ya wageni wawili kutoka Londan Uingereza

Wageni wawili majirani wapendanao kutoka jijini London pia walihudhuria katika futari hiyo ilioandaliwa na ilioandaliwa na tawi la CCM DMV Jana Ijumaa Aug 3, 2012 katika ukumbi wa Hillandale Park iliyopo Silver Spring, Maryland Nchini Marekani

Katibu wa CCM DMV Jacob Kinyemi, kushoto akipata picha ya pamoja na Halima baada ya kumkabidhi rasmi kadi ya uwanachama wa CCM, Jana Ijumaa na kuwa mwanachama rasmi wa CCM. (Picha na http://swahilivilla.blogspot.com/)

2012 OLYMPIC JAMAICA VICTORY.

 Usain Bolt's legend grows after he breaks Olympic record in epic 100-meter final



LONDON – It was past midnight here, long after Usain Bolt electrified the Olympics again, having emerged from a slow start to not merely defeat but also break the will of the fastest group of humans ever assembled en route to another gold in the 100 meters.
He sat in a jammed news conference, talking about how the reality of losing in the Jamaican trials had awoken him. He talked about how a confidence borne from his own greatness had made him calm no matter how often he lumbered from starting blocks not built for his 6-foot-5-inch frame. He talked about how the energy from 80,000-plus onlookers left him in the optimum mood to run: calm, relaxed, and ready. He talked about how he'd eaten McDonald's before the race. "Don't judge me," he said.
And then Usain Bolt was asked how desperately he wanted to be known, now and forever, as a legend.

"Do I really need to answer that question?" he sa He already had. Over 9.63 blistering seconds in a heavily hyped race packed with challengers desperate to unseat him, Usain Bolt answered whatever ridiculous doubts existed about his drive for greatness.
Jamaica's Yohan Blake finished second at 9.75. America's Justin Gatlin was third at 9.79. Neither Blake nor Gatlin ever ran faster than they did Sunday. This was the second- and third-fastest men on Earth running as well as they ever have.
And neither stood a legitimate chance against the Lightning Bolt.
Legend? There is no other word.
"I went out to challenge a mountain," Gatlin said later. "To challenge the odds."
Fellow American Tyson Gay, who finished fourth at 9.80 and then wept and wept at the realization he wasn't even close, was more direct.
"I tried, man," Gay said, spent and emotional. "I tried my best."
Legend? This is legend.
This is a giant among children, a man who doesn't just run past his peers but leaves them in a huddled mess. His rivals don't wonder what if. They marvel at what happened. There were no second-guesses here, not even among the uber-confident set that made up the 100-meter final.
"Best man won," Gatlin said. "And that was Bolt."
They all came to London thinking the champ was vulnerable. Bolt had some injuries. He claimed he was just 95 percent fit. Blake had even beaten him straight up in Jamaica's nationals.
And suddenly, seven challengers were left in the dust, some stumbling across the finish line wondering how they could run so fast and never come close to catching the man in lane seven.
"I just ran," Bolt explained. "Pretty much."
Pretty much?
Legend? Who else says pretty much?
Bolt believed enough in himself to write off the first 30 meters. He's slow at the start. The other sprinters are 5-8, maybe 5-10. They spring out of the blocks with grace and ease and hit full throttle early. Bolt stumbles a bit because he's too large for the attempt. On Sunday he didn't even start at the precise moment.
"I think I sat in the block a little," he explained on BBC. "I don't think I had the best reaction in the world."
He had the best philosophy. His coach drilled a simple maxim into him, one that would explain away those weak starts with the promise of the furious finale.
"Stop worrying about the start, the best part of the race is the end," Bolt explained. Usain Bolt focused on the end of his race. (Reuters)Usain Bolt focused on the end of his race. (Reuters)
Legend? Who other than a legend doesn't worry about the start, the first third or half of a race this short?
He is tall and powerful, like no other sprinter the world has ever seen. His stride allows him to take fewer steps, which means he doesn't have to move his legs as fast as the others. His strength means he doesn't just glide down the track – his legs power him forward, allowing him to attain a velocity that simply doesn't appear possible in a smaller frame.
So after 30 meters – even 50 – as long as he is even remotely close, the race is over.
"I got to 50 meters and I knew," he said.
Maybe the others didn't. Maybe they still saw daylight in front of them, no green and yellow blur moving away from them as they flew – absolutely flew like no group of humans has ever flown. Maybe they thought glory was upon them, or at least possible.
It wasn't. Here came Bolt like everyone else was standing still. He burst into first. He burst into open air. He burst into a spot where no one and nothing could get him, flying into history.
Bolt thought about turning and celebrating before he crossed the line, like he did in Beijing, humbling his challengers. He decided against it. Then he thought about beating his 9.58 world record. "It was too late," he admitted.
And, really, that's the difference between Usain Bolt and the others, between the fastest people on Earth and a legend you can't invent.
All these ultra-talented, peak-performance star sprinters churned with all their might and all their will and all their training, and Usain Bolt was trying to decide which dramatic way he wanted to drive the stake through their hearts.
Taunt them a little bit? Set a world record? Settle for only beating his own Olympic mark, grabbing a flag, and saving a bit of energy for the 200-meter event still to come?
"How important is it to be a legend?" the legend was asked.
Like he hadn't already explained

BIG BROTHER AFRICA 2012

KEAGAN FROM SOUTH AFRICA IS THE WINNER OF BIG BROTHER STAR GAME 2012, WALK AWAY WITH US$300, 000


Keagan from South Africa.

AFRICA MEDALS 2012 OLYMPIC.

 

TIKI GELANA OF ETHIOPIA WINS WOMEN’S MARATHON


Tiki Gelana of Ethiopia made a move with just more than a kilometer to go to win the Olympic women’s marathon on Sunday, hitting the tape in the shadow of Buckingham Palace.
Gelana finished in an Olympic record 2 hours, 23 minutes, 7 seconds, five seconds ahead of Priscah Jeptoo of Kenya (2:23:12). Tatyana Petrova Arkhipova of Russia won bronze (2:23:29).
Kenya has yet to win a gold medal in the Olympic women’s marathon.
For the USA, Shalane Flanagan finished 11th (2:25:51), just ahead of teammate Kara Goucher (2:26:07).
Flanagan and Goucher hung with the leaders for about 18 miles before the lead pack pulled away.
The marathon course took the competitors past many of London’s most famous sites, including Trafalgar Square, St. Paul’s Cathedral, Westminster, Big Ben, the Tower of London and the Tower Bridge.

USAJILI 2012 COATAL UNION YA TANGA.

COASTAL UNION YAWATAMBULISHA AKINA JERRY SANTO - MBWIGA WA MBWIGUKE AONGOZA SHEREHE



Mbwiga wa Mbwiguke akiwatambulisha wachezaji wapya wa Coastal Union Mkwakwani

NASSOR BINSLUM ALIKUWEPO NAE KUISAPOTI KLABU YAKE

Jackson Chove, Jerry Santo an wachezaji wengine wa Coastal wakiwa benchi


Mashabiki





Kikosi cha Coastal Union B

Mwenyekiti wa klabu

Kocha Juma Mgunda akitoa maelekezo.

SENSA 2012 YAWADIA

Maandalizi ya Sensa ya watu na makaazi yanaendelea vyema




:- Mwenyekiti Mwenza wa Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa Tanzania Balozi Seif Ali Iddi akipata maelezo kutoka kwa Kamishna wa Sensa Tannzania Hajat Amina Mrisho Said wakati alipofanya ziara fupi kukagua ghala kuu la vifaa vya Sensa liliopo Kibaha kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati hiyo.

Mwenyekiti Mwenza wa Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa Tanzania Makamu wa Piliwa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikiendesha Kikao cha Tano cha Kamati hiyo kilichofanyika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kibaha. Kushoto ya Balozi Seif ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha, Uchumi na Mipango ya Maendeleo Zanzbar Mh. Omar Yussuf Mzee na Kulia ni Naibu Waziri wa Fedha wa Muungano Mh. Saada Mkuya.

Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalosimamia Idadi ya Watu { UNFPA } Bibi Mariam Khan akiwasailisha salamu za Shirika hilo katika Kikao cha Tano cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa Tanzania kilichokutana Ofisi ya Mkuu a Mkoa Kibaha chini ya Mwenyekiti wake Balozi Seif Ali Iddi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.

Na Othman Khamis Ame

Maandalizi ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 Nchini yanaendelea vyema kulingana na ratiba ya utekelezaji licha ya changamoto ndogo ndogo zilizopo hivi sasa.

Hilo lilifahamka katika Kikao cha Tano cha Kamati Kuu ya Tifa ya Sensa ya Watu na Makazi kilichofanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kibaha chini ya Mwenyekiti Mwenza wa Kmati hiyo Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.

Miongoni mwa changamoto zilizotajwa katika kikao hicho ni kwa baadhi ya Viongozi wa Dini ya Kiislamu kuendelea kuhamasisha waumini wao kutoshiriki katika zoezi la sensa kwa madai ya kutoingizwa kwa swali la Dini kwenye madodoso ya Sensa.


Akitoa Taarifa ya maandalizi ya Sensa ya Watu na Makazi kwa upande wa Tanzania Bara Naibu Waziri wa Fedha wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Saada Mkuya alisema hatua za maandalizi hayo zinaendelea na sasa zimeingia katika hatua muhimu ya kuelekea kipindi cha kuhesabu Watu.

Mh. Saada alisema wakala wa Majengo tayari ameshakamilisha matengenezo ya jengo la kuingizia Takwimu kwenye kompyuta sambamba na uwekaji wa umeme kazi inayotarajiwa kukamilika Agosti 15 mwaka huu.

Alisisitiza kwamba utekelezaji wa tathmini ya sense utaanza mara baada ya kukamilika kwa zoezi la kuhesabu watu mwezi septemba mwaka 2012 ikitanguliwa na Kamati ya Kitaalamu ya Sensa kupitia madodoso, miongozo na sampuli itakayotumika wakati wa utekelezaji wa zoezi hilo.

Naibu Waziri wa Fedha wa Muungano Mh. Saada alifahamisha kwamba Serikali imeshatoa kiasi cha shilingi Bilioni 22.5 kwa ajili ya uhamasishaji, mafunzo ya wakufunzi ngazi ya Mikoa pamoja na ununuzi na usafirishaji wa vifaa kupelekwa Mikoani.

Naye Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha, Uchumi na Mipango ya Maendeleo Zanzibar Mh. Omar Yussuf Mzee alisema kwa upande wa Zanzibar matayarisho ya Sensa yako katika hatua ya za mafunzo kuelekea kipindi muhimu cha kuhesabu watu.

Mh. Omar alisema shughuli za uhamasishaji pia zimefikia hatua nzuri kwa kupitia na kushirikishwa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar kwa kuendelesha Mikutano na Viongozi wa Dini. Alisema shughuli hiyo pia imekwenda sambamba na maandalizi ya matangazo, vipindi vya uhamasishaji katika Taasisi za Habari pamoja na michezo ya kuigizwa inayoandaliwa na wasanii maafuru nchini.

Mapema Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu { UNFPA } Bibi Mariam Khan ambae alipata fursa ya kutoa salamu katika kikao hicho alisema Dunia wakti wote inahitaji kuwa na Takwimu sahihi ya idadi ya watu kwa Maendeleo ya Ustawi wao Kiuchumi na Ustawi wa Jamii.

Bibi Mariam alisema Shirika hilo litaendelea kushirikiana na Tanzania ikiwa ni miongoni mwa Nchi 140 Duniani zinazopata huduma kutoka shirika hilo katika harakati za makusanyo ya Takwimu ili kuwa na uhakika wa mipango sahihi ya Maendeleo.

Mwenyekiti Mwenza wa Kikao hicho cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi Balozi Seif Ali Iddi alilipongeza Shirika hilo la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu { UNFPA } kwa hatua zake za kuunga mkono Maandalizi ya Sensa ya Watu na Makazi ya Tanzania mwaka huu wa 2012.

Balozi Seif alisema hatua ya Shirika hilo hasa katika masuala ya uwezeshaji na Taaluma imewawezesha watendaji wa Kamati ya Sensa na zile za Takwimu bara na Zanzibar kuendelea kufanya kazi kitaalamu zaidi.

Mapema Mwenyekiti huyo mwenza wa Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa Balozi Seif Ali Iddi alielezea kuridhika kwake na hali nzuri ya Kituo kikuu cha Vifaa vya Sensa kilichopo Kibaha ambacho kinaendelea na matengenezo ya mwisho.

Alisema kazi kubwa iliyopo hivi sasa ni kwa viongozi kuendelea kuhamasisha Wananchi umuhimu wa kujiandaa kwa ajili ya uandikishaji wa sense wakati za zoezi utakapowadia.

Thursday, August 2, 2012

DIET AND NUTRITION

WALE WA DIET MNAENDELEAJE?

Tuesday, July 31, 201218comments


Imeshapita wiki sasa toka tuanze ile diet yetu ya mwezi mzima.Diet yetu ni ya juice kwa wingi,maji kwa wingi na mboga mboga.Nilipata ujumbe kwa dada aliyeomba tusaidiane kupeana tips za namna ya kutengeneza juice mbali mbali.Mie natoa kadhaa na kama unazo na wewe tuandikie hapa kwenye maoni.
Ikumbukwe kuwa juice yetu lazima iwe nzito na isiwe na sukari.Hapa ntakutajia aina za matunda utakazochanganya na kupata cocktail saaafiii.
1.Nanasi na carot unapata juice nzuri na
2.Tikiti maji na ndizi
3.Pesheni na parachichi
4.Embe na limao
5.Embe na nanasi
6.Embe,chungwa na pesheni.
Zile siku zetu za samaki kumbuka ni samaki choma au wa kuchemsha.
Kuku pia wa kuchemsha au kuchoma.Kumbuka kunywa maji mengi sana angalau hata lita 2.
Mazoezi kama kawa ni muhimu hata kwa dk 30
Kuna hii gym inaitwa AZURA nitaanza kufanya mazoezi hapo siku chache zijazo.Nimeongea na uongozi wa hapo na tumekubaliana nao mambo kadhaa.Nitatoa nafasi tatu kwa wadau wangu humu za kufanya mazoezi bure mpaka utakapo fikia malengo yako.Ni gym nzuri ya kisasa na ipo ufukweni mwa bahari maeneo ya Kawe.Tutafanya mazoezi pamoja mimi na wewe tukiwa chini ya uangalizi wao ili tupate matokeo mazuri.Tutapima afya kama kuna kisukari,blood pressure na kupewa ushauri katika maswala ya chakula.

Haya basi endelea kutembelea hapa ili upate kujua namna ya kushiriki na kushinda nafasi hii adimu na ya kipekee.

MHE. ZITTO ZUBEIR KABWE.

MAELEZO BINAFSI YA MHE. ZITTO ZUBERI KABWE DHIDI YA TUHUMA ZA RUSHWA HUSUSAN KUELEKEA KATIKA KUPITISHA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI NA MADINI

Ndugu Waandishi,

Nalazimika kukutana nanyi kutoa maelezo juu ya tuhuma zenye shinikizo la kisiasa zinazoelekezwa kwangu binafsi kwamba hata mimi nimeshiriki katika vitendo vya rushwa, kwa nafasi yangu kama Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mashirika ya Umma. Taarifa hizo, kama kawaida ya uzushi mwingine wowote zimesambazwa kimkakati na kwa kasi kubwa kiasi cha kuukanganya umma.

Nafahamu nabeba dhamana kubwa ya uongozi, taswira yangu ya uongozi daima imeakisi njozi na matumaini ya wananchi wa Kigoma Kaskazini, wananchi wanyonge na vijana kote nchini bila kujali itikadi zao za kisiasa, jinsia zao, makabila yao na rika zao. Hivyo, nawajibika kupitia kwenu kuwatoa hofu juu ya hisia potofu zinazopandikizwa kwao na wale wasiopenda kuona baadhi yetu tukiwaunganisha na kuwasemea watanzania wasio na sauti, dhidi ya vitendo vya hujuma na vyenye dhamira ovu kwa taifa.

Mkakati huo wa kuniunganisha na baadhi ya Waheshimiwa Wabunge wanaotuhumiwa kwa kupokea Rushwa unatekelezwa kwa njia zifuatazo:

Kumekuwa na kauli za watendaji wa serikali ambao wamekuwa wakizieneza na hususan kutoa taswira kwamba baadhi ya kauli zangu zinatokana na ushawishi wa rushwa;

Kuna taarifa ambazo zimeandikwa tena katika kurasa za mbele za baadhi ya vyombo vya habari zikidai ’’Zitto kitanzini’’ ama ’’Zitto sawa na popo nundu’’ zikiashiria kwamba na mimi ni mla rushwa; na

Waandishi wa habari na jamii kwa ujumla wamefikia kuaminishwa habari hizi kiasi cha wengine kuuliza kwa nini Mhe. Zitto Kabwe hakutajwa katika orodha iliyotolewa na Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani.

Ndugu Waandishi,
Naomba kutoa ufafanuzi wa hicho kinachoelezwa kwamba nina ushiriki katika masuala ya rushwa hususan kwenye masuala yanayohusu sekta ya Nishati na Madini:-

Mara baada ya bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Usambazaji wa Umeme Tanzania (TANESCO) chini ya Uenyekiti wake Meja Jenerali Mstaafu Robert Mboma kutangaza kwamba imemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Nd. William Mhando ili kupisha uchunguzi wa baadhi ya vitendo/mwenendo wake, Kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC) ambayo mimi ni Mwenyekiti wake ilimuandikia Mhe. Spika kumuomba aridhie ili Kamati iweze kuwaita Bodi ya TANESCO, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Mahesabu ya Serikali (CAG) na pia Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) kujiridhisha na tuhuma zote zinazotajwa zinafanyiwa uchunguzi wa kina na hatua kuchukuliwa;

Kamati ya POAC ninayoiongoza ilimuomba Mhe. Spika kuwaita wahusika tajwa kwa kuwa zilikuwapo tetesi kuwa kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi huyo siku chache kabla ya Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kulikuwa na lengo la kufunika ’madudu’ makubwa zaidi kwa kulichagiza Bunge na tukio hilo dogo, mkakati ambao naona umefanikiwa sana. Isitoshe, Kamati kutaka kujiridhisha na hatua za Bodi ni sehemu ya msingi ya utekelezaji wa majukumu ya Kamati yaliyowekwa kwa mujibu wa Kanuni za Kudumu za Bunge na pia Shirika la TANESCO ni moja kati ya mashirika ambayo yanawajibika kwetu kwa hesabu zake na pia ufanisi wake kwa ujumla. Tumefanya hivyo pia katika mashirika mengine, hili la TANESCO sio tukio la kipekee;

Kitendo hiki cha halali na kwa mujibu wa Kanuni kilichofanywa na Kamati yangu kimetafsiriwa kwa makusudi na baadhi ya watu kwamba ni ishara ya kuwa sisi au zaidi kwamba mimi nina maslahi binafsi na TANESCO na hususan Mkurugenzi wake Injinia Mhando, ndio maana tumetaka maelezo ya Bodi. Ukweli kwamba Kamati ya POAC tumewaita pia Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Mahesabu (CAG) na Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) kwa jambo hilo hilo umefichwa kwa makusudi!

Baada ya tukio hilo, nikiwa hapa Dodoma, mwandishi wa habari wa gazeti moja alinifuata akiniambia kuwa wamekutana na Mhe. Waziri Mhongo na Katibu Mkuu wake, Nd. Eliachim Maswi hapa hapa Bungeni na wamewaambia kuwa mimi nimepewa rushwa. Hakutaja nimepewa rushwa na nani, kiasi gani na wala kwa lengo gani!
Nimejaribu kumtafuta kwa simu Mhe. Waziri Mhongo na Katibu Mkuu wake ili wanipe ufafanuzi juu ya mimi na Kamati ya POAC kuhusishwa na tuhuma hizi bila mafanikio, hali ambayo inaniondolea mashaka juu ya ushiriki wao katika kueneza au kuthibitisha uvumi huo. Najaribu sana kujizuia kutokuwa na mashaka na ushiriki wao huo ikizingatiwa uzito na taswira ya nafasi zao katika jamii, lakini wameshindwa kunidhihirishia tofauti.

Sasa naomba kutoa ufafanuzi rasmi kuhusu mlolongo wa matukio hayo tajwa ambayo yanatumiwa na baadhi ya wanasiasa kuonesha kwamba eti nimehusika na vitendo vya rushwa.

Binafsi sijawahi kuwa na mawasiliano ya aina yeyote na uongozi wa TANESCO kushawishiwa juu ya hatua ambazo POAC ndio imezichukua za kutaka kujiridhisha juu ya utaratibu uliotumika. Ieleweke wazi kabisa kuwa, hakuna wakati wowote, popote ambapo mimi binafsi au Kamati yetu imekataa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO kuchunguzwa kwa tuhuma zozote. Ambacho tumesisitiza wakati wote ni ufuatwaji wa taratibu, kanuni na sheria, hili nitalisimamia iwe masika au kiangazi;

Ni kwa sababu hiyo, na kwa kujiamini kabisa nimeunga mkono suala la tuhuma za rushwa zinazotajwa zichunguzwe na Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwa kina;

Nimekwenda mbali zaidi kukiomba chama changu CHADEMA kifanye pia uchunguzi na tathmini yake kwa kina kujiridhisha na tuhuma hizo;

Natumia fursa hii pia kuomba vyombo vya Dola vichunguze tuhuma hizo kwa nafasi yake ili kuweza kupata ukweli;

Ninaahidi kushiriki kikamilifu iwapo nitatakiwa katika uchunguzi wowote utakaofanywa na niko tayari kuwajibika iwapo nitakutwa na hatia yeyote.

Napenda niwatoe hofu wananchi wa jimbo la Kigoma Kaskazini walionituma kuja kuwawakilisha hapa Bungeni na Watanzania wote kwa ujumla kwamba:-

Mimi Zitto Zuberi Kabwe sina bei, sijawahi kuwa nayo na sitarajii kuwa nayo huko mbeleni. Daima nimesimamia kidete maadili ya uongozi bora katika maisha yangu yote ya siasa, na nawaahidi sitarudi nyuma katika mapambano dhidi ya rushwa katika nchi hii pamoja na mikakati ya aina hii ya kunidhoofisha na kunivunja moyo;

Nafarijika na salam mbali mbali zinazotolewa kunifariji na kusisitiza kuwa nisilegeze kamba katika mapambano haya, nimepokea ujumbe mwingi kwa simu, sms, tweeter na hata facebook na niko pamoja nanyi Watanzania wenzangu kamwe sitarudi nyuma hadi kieleweke. Naamini katika nchi yetu tunazo rasilimali za kutosha mahitaji/haja ya kila mmoja wetu lakini si ‘tamaa/ulafi’ wa baadhi ya watanzania wenzetu;

Napenda kuweka rekodi sawa kwa Watanzania kwamba nimekuwa Mbunge hiki ni kipindi cha pili, Mimi ni Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC) huu ni takriban mwaka wa saba sasa, Kamati yangu inasimamia mashirika 259 ya Umma na si TANESCO peke yake. Mchango wa Kamati hii katika Bunge na kwa ustawi wa Mashirika ya Umma ni bayana na haujawahi kutiliwa shaka. Kamati yetu imeokoa upotevu mkubwa wa mali za umma na kuokoa fedha za umma kutokana na umakini wake. Tumefanya hivyo CHC hivi karibuni, Kiwira na kwenye mashirika mengine mengi. Kote huko uadilifu na uzalendo wa Kamati hii haujawahi kuhojiwa. Inatuwia vigumu kuona kuwa tunahojiwa katika suala hili la TANESCO. Hapa pana kitendawili.

Zipo hoja pandikizi za kutaka Kamati ya POAC ivunjwe na haswa zikinilenga mimi binafsi. Nafahamu kiu ya wasioitakia mema nchi yetu kuiona POAC ikivunjwa au sura zikibadilishwa kwa kuwa Kamati hii imekuwa mwiba kwa mikakati yao ya kifisadi. Kwa maoni yangu, Kamati ya POAC isihusishwe na tuhuma hizi kwa vyovyote vile. Niko tayari nihukumiwe mimi kama mimi na sio kuhusisha wajumbe wengine ambao hawatajwi mahala popote katika tuhuma hizi mbaya sana katika historia ya Bunge letu. Nitakuwa tayari kunusuru Kamati ya POAC na maslahi ya taifa letu kwa kujiuzulu Uenyekiti iwapo itathibitika pasipo shaka kuwa nimehongwa. Kamati ya POAC ni muhimu zaidi kuliko mimi.

Nafahamu pia kuwa kuna wanasiasa hasa wa Upinzani ambao wanautaka sana Uenyekiti wa POAC na wanafanya kila njia kutaka kuidhoofisha. Lakini hawajui kuwa anaepanga wajumbe wa Kamati ni Spika wa Bunge.

Msishangae pia kuja baadae kubaini kwamba baadhi ya wanasiasa wenye midomo mikubwa ya kutuhumu wenzao wao ndio vinara wa kupokea rushwa.

Ni lazima tufike mahali kama viongozi kwamba utaratibu unapokiukwa na yeyote yule, au uongo unapotolewa hadharani tuseme bila kuogopa. Hili ndio jukumu letu kama wabunge na viongozi. Kusimamia ufuatiliaji wa utaratibu ni jukumu letu kama Kamati ya POAC na ndio sababu ya msingi ya kuanzishwa kwa mamlaka kama CAG na PPRA. Haiwezekani, tuwe na set ya kanuni kwa kundi fulani na nyingine kwa makundi mengine, au kuhukumu ufuataji wa taratibu kwa kuangalia sura ya mtu usoni

Mwisho
Kumejengeka tabia hivi sasa ya kuwamaliza wanasiasa wenye kudai uwajibikaji na uzalendo. Kumeanzishwa kiwanda kwenye medani ya siasa cha kuzalisha majungu na fitna zenye lengo la kuwachonganisha wanasiasa wa aina hiyo na wananchi kwa kutumia vyombo vya habari na nguvu ya fedha. Naamini mbinu hizi chafu, kama nyingine nyingi zilizojaribiwa kwangu huko nyuma nazo zitashindwa.

Naamini katika kweli na kweli daima huniweka huru. Naamini kuwa mwale mdogo wa mwanga wa mshumaa hufukuza kiza. Kwa imani hiyo, sitasalimu amri mbele ya dhamira zao ovu hata nitakapobaki peke yangu katika mapambano hayo ya kulinda na kutetea rasilimali za taifa zinufaishe watanzania wote.

Daima nitaongozwa na busara ya Hayati Shabaan Robert isemayo, ‘Msema kweli huchukiwa na marafiki zake, nitakapofikwa na ajali hiyo, sitaona wivu juu ya wale wawezao kudumu na marafiki zao siku zote, siwezi kuikana kweli kwa kuchelea upweke wa kitambo, nikajitenga na furaha ya kweli itakayotokea pale uwongo utakapojitenga”.

Ahsanteni sana.

OLYMPIC 2012 AMERICA VICTORY.

Michael Phelps IS the greatest Olympian ever: The Baltimore Bullet silences his doubters by winning 19th medal with gold in men's relay

By DAILY MAIL REPORTER
n just 200 meters today, Michael Phelps became the greatest Olympian of all time as he claimed his first gold medal of the 2012 Games with the powerful stroke of his outstretched arm, grasping a glory unknown to any other competitor in the world.

The swimmer secured his 19th medal with victory in the men's 4x200mn relay, smashing the 48-year record of Russian gymnast Larissa Latyina and earning himself a place in history.

After taking a disappointing second place medal earlier in the day, he now has 15 golds, two silver and two bronze medals over three Olympics.

Sweet Success
Sweet Success: Michael Phelps of the U.S. smiles after winning the men's 4x200m freestyle relay final during the London 2012 Olympic Games

Cheers
Cheers: U.S. team members Michael Phelps, left, and Conor Dwyer, right, celebrate with their gold medals and US flags after winning gold in the Men's 4x200m Freestyle Relay Final

swimmer Debbis Phelps, mother of US' Michael Phelps cries during the men's 4x200m freestyle relay final swimming event at the London 2012 Olympic Games on July 31, 2012 in London. Happy Ending: Debbis Phelps, mother of U.S.' Michael Phelps, right, cries during the men's 4x200m freestyle relay final swimming event while his teammates cheer him on at the finish

Smile: U.S.'s Michael Phelps celebrates after winning gold in the Men's 4 x 200m Freestyle Relay Final, which secured him a record 19th Olympic medal

Phelps's historic achievement is a welcome boost for the swimmer, who has so far fallen short of expectations at the London Games - finishing fourth in the 400m medley on the opening day of the Games.

In the relay race today the United States team of Ryan Lochte, Conor Dwyer, Ricky Berens and Phelps on the anchor leg won in 6 minutes, 59.70 seconds. France took the silver in 7:02.77, while China was third in 7:06.30. Before the race, they all huddled together, fully aware of their moment in history.

0LYMPIC 2012 BREAT BRITAIN

Gazeti la NIPASHE : Mtanzania mwingine aaga Olimpiki

Ammar Ghadiyal
Mtanzania Ammar Ghadiyal amefuata nyayo za bondia Seleman Kidunda kuaga mapema Michezo ya Olimpiki 2012 baada ya kutolewa katika raundi ya kwanza ya mashindano ya kuogelea ya mita 100 'freestyle' yaliyofanyika jijini London, Uingereza jana.

Ammar ambaye, hata hivyo, ushiriki wake ulikuwa ni wa kujifurahisha kwavile hakufuzu na alicheza Olimpiki kupitia nafasi maalum za upendeleo, alishindwa vibaya jana baada ya kushika nafasi ya 57 kati ya washiriki 62 akitumia muda wa dakika 1:05.

Mashindano hayo ya awali ya wanaume yalikuwa ni ya kusaka washindi 16-Bora ambao wamesonga mbele katika safari yao ya kuwania medali.

Mwakilishi mwingine wa Tanzania, Magdalena Moshi, ambaye pia hakufuzu kama Ghadiyal, anatarajia kujifurahisha leo katika mashindano ya kuogelea ya mita 100 (wanawake).

Magdalena, kama ilivyokuwa kwa Ghadiyal, hatapewa medali hata akishinda kwa sababu hakufuzu kwa Michezo ya Olimpiki 2012 na atashiriki kupitia nafasi maalum za upendeleo zinazotolewa na shirikisho la mchezo huo duniani (FINA) kwa nchi ambazo zimeshindwa kabisa kuwa na muogeleaji hata mmoja aliyefuzu.

Baada ya bondia Kidunda kudundwa kirahisi kwa pointi 20-7 dhidi ya bondia Vasilii Belous wa Moldova katika pambano la hatua ya awali lililofanyika juzi la kusaka washindi 16-Bora, matumaini ya Tanzania sasa yamebaki kwa wanariadha wanne tu ambapo mwanadada Zakia Mrisho atachuana Agosti 8 katika mbio za mita 5,000.

Wanariadha wengine wa mbio za Marathon, Samson Ramadhan, Mohamed Msenduki, na Faustine Mussa watatupa karata zao Agosti 12.

EBOLA.

Ebola Symptoms

In cases of Ebola, symptoms typically begin to develop within about four to six days of being infected. Symptoms of Ebola commonly include such things as fever, sore throat, vomiting, weakness, stomach pain, and a dry, hacking cough. Death usually occurs during the second week of Ebola symptoms, most often as a result of massive blood loss.


Ebola Symptoms: An Overview

When a person becomes infected with Ebola virus, the virus begins to multiply within the body. After four to six days on average, Ebola symptoms can begin. The period between infection with the virus and the start of Ebola symptoms is called the incubation period. The Ebola incubation period can be as short as 2 days or as long as 21 days.

Common Ebola Symptoms

The start of Ebola symptoms is usually abrupt. Common Ebola symptoms can include:
A rash, red eyes, hiccups, and internal and external bleeding may be seen in some patients. When the rash develops on dark skin, it is often not recognized until the rash begins to peel.
In pregnant women, abortion (miscarriage) and heavy vaginal bleeding are common Ebola symptoms.
Death usually occurs during the second week of Ebola symptoms. Death in Ebola victims is usually from massive blood loss.

SENEGAL AND EGYPT IN QUATER FINAL 0LYMPIC 2012.

 


Moussa Konate ndiye aliyeisawazishia timu yake ya Senegal baada ya United Arab Emirates kutangulia kupata goli la kwanza kupitia mchezaji wake Ismaeil Matar.
Moussa anayo nafasi nzuri yakuondoka na kiatu cha dhahabu kutokana na kufunga magoli yote manne ya Senegal hadi hivi sasa.
Katika hatua ya robo fainali Senegal itakutana na Mexico baada ya Mexico kuifunga Switzerland goli 1-0 na hivyo kushikilia uskani wa kundi B.
Nayo timu ya Misri imefanikiwa kutinga hatua hiyo ya robo fainali baada ya kuifunga Belarus goli 3-1 na sasa watapambana na Japan siku ya jumamosi kwenye uwanja wa Old Trafford.

WACHEZAJI 21 WATEULIWA KIKOSI CHA TAIFA STARS,CHUJI NA BAHANUZI KUONGEZWA.


Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen leo (Agosti 1 mwaka huu) ametangaza kikosi cha wachezaji 21 kwa ajili ya mechi ya kirafiki itakayochezwa ugenini Agosti 15 mwaka huu.
Wachezaji walioitwa Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager wanatakiwa kuripoti kambi kwenye hoteli ya Tansoma, Dar es Salaam, Agosti 8 mwaka huu saa 1 jioni tayari kwa mazoezi yatakayoanza siku inayofuata.
Makipa walioitwa kwenye kikosi hicho ni Deogratias Munishi (Azam), nahodha Juma Kaseja (Simba) na Mwadini Ali (Azam). Mabeki ni nahodha msaidizi Aggrey Morris (Azam), Erasto Nyoni (Azam), Kelvin Yondani (Yanga) na Shomari Kapombe (Simba).
Viungo ni Athuman Idd (Yanga), Frank Domayo (Yanga), Haruna Moshi (Simba), Mrisho Ngassa (Azam), Mwinyi Kazimoto (Simba), Ramadhan Chombo (Azam), Ramadhan Singano (Simba), Salum Abubakar (Azam) na Shabani Nditi (Mtibwa Sugar).
Wachezaji wanaounda safu ya ushambuliaji ni John Bocco (Azam), Mbwana Samata (TP Mazembe, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo- DRC), Said Bahanuzi (Yanga), Simon Msuva (Yanga) na Thomas Ulimwengu (TP Mazembe, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo- DRC).
Boniface Wambura
Ofisa Habari
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

Dk SHEIN ZIARANI WILAYA YA KUSINI PEMBA, 01/08/2012.




Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Wazee wa kijiji cha Chokocho Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba Leo,akiwa katika ziara maalum kisiwani humo. [Picha na Othman Maulid.]

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,akisalimiana na Wazee wa kijiji cha Chokocho Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba Leo,akiwa katika ziara maalum kisiwani humo. [Picha na Othman Maulid.]

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Watoto wa kijiji cha Chokocho Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba Leo,akiwa katika ziara maalum Kisiwani humo. [Picha na Othman Maulid.]

MZEE HASSAN NASSOR MOYO  AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI JANA. 




-Mwandishi wa Habari Mwandamizi Salim Said Salim akimkaribisha Mwanasiasa Mkongwe Hassana Nassor Moyo kuzungumza na Waandishi mbalimbali kuhusiana na Mambo ya Muungano hapo katika Ukumbi wa Hoteli ya Rumaisa Bwawani Zanzibar

Baadhi ya Waandishi wa Habari mbalimbali waliohudhuria Katika Mkutano wa Mwanasisa Mkongwe Hassan Nassor Moyo akizungumzia mambo ya Muungano hapo katika Ukumbi wa Hoteli ya Rumaisa Bwawani Zanzibar.

Mwanasiasa Mkongwe Hassan Nassor Moyo Akionyesha hati za makubaliano ya mambo ya Muungano mbele ya Waandishi wa Habari mbalimbali waliohudhuria katika mkutano wake hapo katika Ukumbi wa Hoteli ya Rumaisa Bwawani Zanzibar.

Mwanasiasa Mkongwe Hassan Nassor Moyo akizungumza na Waandishi wa Habari mbalimbali kuhusiana na Mambo ya Muungano hapo katika Ukumbi wa Hoteli ya Rumaisa Bwawani Zanzibar

-Mwandishi wa Habari wa Gaazeti la Zanzibar leo Mwantanga Ame akimuuliza maswali Mwanasiasa Mkongwe Hassan Nassor Moyo hapo katika Ukumbi wa Hoteli ya Rumaisa Bwawani Zanzibar.

Picha zote na Yussuf Simai, Maelezo

Wednesday, August 1, 2012



RACE FOR OLYMPIC 2012 MEDALS IN ENGLAND

CHINA, USA, JAPAN has 23 medals from different event


SAKATA LA USAJILI WA NGASSA - SIMBA WATUMA OFA YA MIL.25, YANGA MIL.20: NGASSA ASEMA ATACHEZA POPOTE ATAKAPORIDHIKA NAPO


Siku moja baada ya klabu ya Azam kutangaza kumuweka sokoni Mrisho Khalfan Ngassa kwa ada ya uhamisho wa $50,000, kulwa na doto wa soka la Tanzania vilabu vikongwe Simba na Yanga vimetuma ofa rasmi ya kutaka kumsaini mshambuliaji ambaye pia anaichezea timu ya taifa ya Tanzania.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na klabu ya Azam kupitia mtandao wake rasmi hadi sasa klabu ya Simba imetuma ofa ya shilingi millioni 25 na Yanga wametuma millioni 20.

Taarifa hiyo ilisomeka: "Hadi hivi sasa Ofa ya Simba ni shilingi Milioni 25 na Yanga ni Milioni 20. kutokana na hilo. Simba wapo kwenye nafasi kubwa ya kumnyakua Mrisho Ngasa. Kesho ni siku ya Mwisho. Ingawa tungependa kumuuza Mrisho Ngasa Yanga lakini tutampeleka kwa timu iliyotoa ofa nzuri zaidi
Lengo la Azam FC lilikuwa ni kumpeleka Mrisho kwenye timu ambayo atacheza kwa raha na amani, kutokana na yeye kuivaa na kuibusu Jezi ya Yanga siku ambayo Azam FC haikuwa na mchezo na Yanga... Azam FC inaamini kuwa Yanga ilikuwa Sehemu sahihi kwa Mrisho, lakini uongozi wa Yanga umeonekana kutokuwa na haja na Mrisho na ndiyo maana umeonekana kukataa kutoa ofa ya maana. Kutokana na sababu hizo Azam FC italazimika kumuuza Mrisho Ngasa Simba kwani hatuhitaji kuwa na mchezaji ambaye anafanya vitendo vya kuidharau brand ya Azam FC ambayo tunajaribu kuijenga."
Baada ya kutoka kwa taarifa tuliwasiliana na mchezaji mwenyewe Mrisho Ngassa kuzungumzia suala la uhamisho wake alisema: "Mimi nina mkataba na Azam na wao ndio wana maamuzi dhidi yangu. Kama wameamua kuniuza mie sina tatizo. I am proffesional footballer, hii ndio kazi yangu na nitaifanya popote nitakaporidhika napo."


By Aidan Charlie

LIGI KUU YA TANZANIA BARA KUENDESHWA NA KAMPUNI MSIMU UNAOKUJA




KWA mara ya kwanza Ligi Kuu Bara itaandika historia msimu ujao, ambapo sasa itasimamiwa na kuendeshwa na kampuni, 'Tanzania Premium League' (TPL). Hatua ya kupitisha mabadiliko hayo, ilifikiwa katika kikao cha siku mbili cha Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

Akizungumza jana, mwenyekiti wa kamati ya kuendesha mchakato wa kampuni, Wallace Karia alisema TFF imepitisha kampuni kuwa chombo huru cha kuendesha ligi hiyo itakayoanza rasmi Septemba Mosi mwaka huu.

"Tulichokuwa tunatofautiana na TFF juu ya ligi kuendeshwa na chombo huru, lakini sasa kamati ya utendaji imetoa baraka," alisema Karia."Kuna mambo madogo ya kufanyiwa mabadiliko, hata hivyo hali hiyo siyo kikwazo cha ligi kusimamiwa na chombo huru," aliongeza Kiria.

Karia alisema baadhi ya maeneo ya kufanyiwa marekebisho ni suala la muundo wa kisheria wa uendeshaji ligi na kasoro ndogo walizozibaini awali.

Kimuundo kutakuwa na Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa TPL, kiongozi wa juu wa klabu iliyoshinda Ligi Kuu msimu uliotangulia.

Pia kutakuwa na Makamu Wenyeviti wa Bodi watatu, ambao ni viongozi wa juu wa timu mbili zilizoshika nafasi ya pili na tatu na Makamu wa pili wa Rais wa TFF anayewakilisha klabu.

"Pia bodi ya wakurugenzi wa kampuni ya Ligi Kuu inahusisha wenyeviti au wakurugenzi au kiongozi wa juu wa klabu zote 14 (16) zinazocheza Ligi Kuu, ambapo kila klabu itatoa mjumbe mmoja na TFF pia itakuwa na hisa kwenye kampuni.

Wajumbe wengine wa bodi ya wakurugenzi wa kampuni ya ligi ambao hawatapiga kura ni mjumbe mmoja kutoka Chama cha Wanasoka wa Kulipwa, Chama cha Waamuzi (FRAT), Chama cha Makocha (TAFCA0 na Wadhamini wa Ligi Kuu.

"Kutakuwa na kamati huru ya nidhamu na rufaa ambayo itateuliwa na Bodi ya wakurugenzi ya TPL kila mwaka. Maamuzi ya kamati hii yatapaswa kutekelezwa na klabu zote zinazoshiriki Ligi Kuu lakini yanaweza kupigwa kwenye Kamati ya Nidhamu na Rufaa ya TFF," aliongeza Kiria.

Uhusiano kati ya TPL na TFF utaruhusu Makamu wa pili wa Rais TFF kuwa makamu wenyeviti wa bodi ya wakurugenzi wa TPL.

Aidha, uchaguzi wa makamu wa rais wa TFF utafanywa na Bodi ya Wakurugenzi wa TPL au UTAFOC na kiongozi huyo atapaswa kuwa ama kiongozi wa juu wa klabu ya Ligi Kuu au Ligi Daraja la Kwanza au mmoja wa wanahisa wa Klabu inayoshiriki Ligi Kuu au Daraja la Kwanza.

Kuhusiana na mapato ya milango ambayo kwa sasa TFF inachukua asilimia 10, TPL itapaswa kutoa asilimia ya hisa za TFF kutoka pato lake na klabu zitapaswa kutoa asilimia tano (5%) pato la milangoni.

Kuhusu kumiliki hisa za kampuni, klabu zote zinazocheza Ligi Kuu zitakuwa na hisa sawa kwenye kampuni, ambazo zitapatikana kutokana na klabu kuwa mwananchama, na iwapo iwapo itashuka daraja, hisa zake zitahamia kwa klabu iliyopanda daraja.

Wakati huohuo, klabu zote 14 zinazoshiriki Ligi Kuu zinatarajia kufanya kikao leo kwenye ukumbi wa JB Delmont, ambapo moja ya ajenda ni kujadili kwa kina suala la kampuni hiyo.Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Yanga, Mwesigwa Celestine alikiri kuwapo kwa mkutano huo leo.

Msemaji wa Shirikisho la soka nchini, TFF, Boniface Wambura hakukataa wala kukubali taarifa hizo zaidi ya kusema wakati kikao cha Kamati ya Utendaji kinakutana, yeye hakuwepo ofisini.


What Is Ebola?

Although much remains unknown about Ebola, scientists have begun to piece together some of the puzzle. Ebola was first identified in 1976 in the Democratic Republic of Congo (formerly Zaire) and named for a river that flows through that African nation. Part of the filovirus family, Ebola virus has four subtypes, each named for the location in which it was discovered: Ebola-Zaire, Ebola-Sudan, Ebola-Ivory Coast, and Ebola-Reston. The Ebola-Reston virus, first detected in the United States in 1989, was discovered in sick monkeys imported from the Philippines to a research laboratory in Reston, Virginia. Although a few laboratory workers later showed signs of the virus in the blood, none of them became ill.
Decades after its identification, researchers continue to search for the natural reservoir, or origin, of the Ebola virus. The virus probably resides in the rain forests of Africa and Asia. Scientists think that the Ebola virus is animal-borne (or zoonotic) and that it is passed to primates (monkeys and apes) and humans by another animal.
* epidemic (eh-pih-DEH-mik) is an outbreak of disease, especially infectious disease, in which the number of cases suddenly becomes far greater than usual. Usually epidemics are outbreaks of diseases in specific regions, whereas worldwide epidemics are called pandemics.

How Common Is Ebola?

Although outbreaks of Ebola have been widely publicized because of the horrifying symptoms of the disease and the suddenness with which it
In October 2000 an epidemic of Ebola broke out in Gulu, Uganda, and in 4 months it killed 224 people. Some doctors believe that eating ape meat contaminated with the virus may be one source of infection. It is hoped that research to determine the natural source of the virus and the ways in which it is transmitted to primates and humans will provide information about how to prevent future outbreaks.
In October 2000 an epidemic of Ebola broke out in Gulu, Uganda, and in 4 months it killed 224 people. Some doctors believe that eating ape meat contaminated with the virus may be one source of infection. It is hoped that research to determine the natural source of the virus and the ways in which it is transmitted to primates and humans will provide information about how to prevent future outbreaks.
kills, the disease is actually quite rare. Since the virus was discovered, about 1,500 cases of Ebola virus infection have been reported in humans, and over 1,000 of those infected died.

Is Ebola Contagious?

Ebola virus is extremely contagious * , but scientists do not know exactly how it spreads. They do know that it can spread through direct contact with infected blood, especially on contaminated needles, and possibly through the nasal or respiratory secretions of someone who is infected. Health care workers and family members tending to the people who have the virus risk becoming infected. The needles used to take blood samples are an extreme biohazard * because accidental needle pricks to health care workers can transmit the infection to them. Traditions in some African cultures may contribute to the spread of Ebola virus. For example, some funeral rites require a ritual cleansing of the corpse, which can bring a loved one into contact with the blood or other body fluids of the deceased. Also, ape meat is considered a delicacy in parts of Africa. Some scientists recommend that people not eat it because it might contain the Ebola virus, which can infect non-human primates such as monkeys and chimpanzees.
* contagious (kon-TAY-jus) means transmittable from one person to another, usually referring to an infection.
* biohazard is a biological agent or condition that causes a threat to humans.
* shock is a serious condition in which blood pressure is very low and not enough blood flows to the body's organs and tissues. Untreated, shock may result in death.

What Are the Signs and Symptoms of
Ebola Virus Infection?

In the first few days after infection with Ebola virus, symptoms resemble those of other diseases: fever, headache, and muscle aches. The disease rapidly progresses to more serious symptoms such as rash, chest pain, severe bloody vomiting and diarrhea, uncontrolled internal bleeding, kidney and liver failure, and shock * .
Doctors can diagnose Ebola fever based on symptoms seen in patients as they quickly become ill during outbreaks. Blood tests can sometimes identify the virus directly, or antibodies * to Ebola produced by the body during infection can be detected in the blood. Doctors have to be careful when performing tests because simply injecting a needle into a patient who is prone to hemorrhage * can trigger uncontrolled bleeding.

How Is Ebola Treated?

There is no medication to treat or cure Ebola infection. Patients with Ebola fever are hospitalized and receive supportive care to treat symptoms. They may receive intravenous * (IV) fluids to protect against dehydration * ; monitoring of blood pressure, heart rate, and breathing; and treatment for bleeding or other infections that may develop during the illness. During past outbreaks, 50 to 90 percent of people who developed symptoms of the disease died. Those who survive usually recover in several weeks.
Researchers have recently discovered a protein on the surface of the Ebola virus that is involved in attacking blood vessels, and this finding may help to explain the massive bleeding that leads to most Ebola deaths. Researchers are attempting to develop new drugs or a vaccine directed against this protein, which might prevent the disease or at least reduce the severity of the symptoms and the number of deaths caused by the virus.
* antibodies (AN-tih-bah-deez) are protein molecules produced by the body's immune system to help fight specific infections caused by microorganisms, such as bacteria and viruses.
* hemorrhage (HEH-muh-rij) is uncontrolled or abnormal bleeding.
* intravenous (in-tra-VEE-nus) means within or through a vein. For example, medications, fluid, or other substances can be given through a needle or soft tube inserted through the skin's surface directly into a vein.
* dehydration (dee-hi-DRAY-shun) is a condition in which the body is depleted of water, usually caused by excessive and unreplaced loss of body fluids, such as through sweating, vomiting, or diarrhea.

Can Ebola Be Prevented?

Because there is no vaccine to prevent Ebola virus infection and no medication to halt it, the first line of defense for health officials is to isolate infected patients in a hospital. Health care workers use gloves and masks when coming into contact with patients to try to prevent the virus from
An electron micrograph shows Ebola virus particles. Delmar Publishers, Inc.
An electron micrograph shows Ebola virus particles.
Delmar Publishers, Inc.
spreading. However, as the epidemic in Gulu showed, even those precautions sometimes fail.

Research efforts to determine the natural source of the virus and how it is carried to primates and humans will likely provide information about how to prevent future outbreaks.

Stranger Than Fiction

The tale read like something from a Stephen King novel. Ebola virus had infected and killed monkeys in a laboratory in Reston, Virginia. A biohazard SWAT team descended on the Reston Primate Quarantine Unit and, working in secret just miles from the nation's capital, struggled to decontaminate the monkey house.
In his tense and terrifying book, The Hot Zone, Richard Preston recounts in detail how the U.S. Veterinary Corps at Frederick, Maryland, spotted Ebola at Reston in 1989 and recruited the secret SWAT team to contain the deadly virus.
Scientists later named the virus subtype Ebola-Reston and determined that, although it is deadly to monkeys, it does not cause Ebola fever in humans. The following year, the same virus was found in monkeys in labs in Texas and Pennsylvania.
Researchers were able to trace the infected monkeys back to a single exporter in the Philippines. In the United States, several of the monkeys died and four people were infected with the virus, although none of them became ill.

 

EBOLA OUTBREAK IN EAST AND CENTRAL AFRICA CONTRIES

An emergency team from the international medical humanitarian organisation Médecins Sans Frontières/Doctors Without Borders (MSF) is in Kigadi, in western Uganda’s Kibaale district, to help fight an outbreak of the Ebola virus. Other MSF teams in Uganda are closely monitoring the situation.



The Ebola outbreak, confirmed by Ugandan government on 28 July, has killed at least 14 people, while at least 20 more are thought to be infected.
The MSF team’s priorities are to identify and care for people who have been infected, as well as all those who have been in contact with them, and to ensure that emergency medical services are functioning. They will also work to identify how and where the virus is spreading, and to isolate people who are infected so as to limit the transmission of the disease.
“It’s very important to react quickly to find where the disease is focused and to isolate it as fast as possible,” says Olimpia de la Rosa, MSF’s emergency coordinator for Uganda ebola intervention. “It is also essential to take care of the caregivers – which means supporting and working closely with the Ugandan health teams who are already struggling to stop the virus spreading.”
Ebola hemorrhagic fever spreads rapidly through direct contact with infected people or animals, and can be transmitted through blood, bodily fluids and even contact with clothes worn by an infected person. It is caused by a virus first identified in 1976 in Sudan’s Western Equatoria province and in Zaire (now Democratic Republic of Congo). Stringent infection control measures are crucial to limit the deadly spread of the virus.

Dk Shein Afutarisha Mkoa wa Kusini Pemba

 Dk Shein Afutarisha Mkoa wa Kusini Pemba: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa tatu kushoto) akijumuika na Viongozi na wananchi wa...