Usiku wa kuamkia leo hali ilikuwa hivi, lakini Mungu atujalie imani ili tusifike kubaya zaidi Wazanzibar ni watu waungwana na watiifu kunako mambo. Inasemekana na habari zisizo na uhakika kwamba baadhi ya viongozi wa jumuiya wamekamatwa,lakini hakuna chombo kilichothibitisha halii hii.
No comments:
Post a Comment