Picha ziadi maafa ya meli: Watalii na raia wa kigeni pia walikuwemo katika meli iliyozama hawa ni baadhi ya waliosalimika Abiria waliookolewa kutoka katika mel...
Wednesday, July 18, 2012
Majeruhi Wakiwa Bandarini na Hospitali ya Mnazi Mm...
Majeruhi Wakiwa Bandarini na Hospitali ya Mnazi Mm...: Mmoja wa Majeruhi akipata huduma ya Kwanza baada ya kuokolewa akiwa katika bandari ya malindi Daktari akitowa huduma ya kwanza kwa ...
AJALI YA MELI ZANZIBAR.
Baadhi ya majeruhi wa ajali ya meli iliyotokea leo saa nane mchana meli ikitokea Dares salaam kuelekea Zanzibar, ilipofika maeneo ya chumbe meli ilikumbwa na dhoruba kalina kuanza kuzama. Hawa ni kiongoni mwa abiria waliookolewa katika ajali hio. Vilevile kulikuwemo na raia wa kigeni lkn haikufahamika mara moj ni raia wa nchi gani kama wanavyoonekana ktk picha hii.
Kijana akijaribu kumuokoa mwanawe alie kuwemo katika ajali ya meli.
Baadhi ya majeruhi wa ajali ya meli iliyotokea leo saa nane mchana meli ikitokea Dares salaam kuelekea Zanzibar, ilipofika maeneo ya chumbe meli ilikumbwa na dhoruba kalina kuanza kuzama. Hawa ni kiongoni mwa abiria waliookolewa katika ajali hio. Vilevile kulikuwemo na raia wa kigeni lkn haikufahamika mara moj ni raia wa nchi gani kama wanavyoonekana ktk picha hii.
Kijana akijaribu kumuokoa mwanawe alie kuwemo katika ajali ya meli.
Saturday, July 14, 2012
Yanga Hoi kwa Atletico yafungwa 2--0
Yanga Hoi kwa Atletico yafungwa 2--0: Wachezaji wa timu ya Yanga wakiingia Uwanjani katika mchezo wa Ufunguzi wa Michuano ya Kombe la Kagame inayofanyika Uwanja wa Taifa Mji...
Sunday, July 8, 2012
Rais Kikwete alipotembelea banda la Chuo Kikuu cha...
Rais Kikwete alipotembelea banda la Chuo Kikuu cha...: Rais Jakaya Kikwete akiangalia picha za watu mashuhuri waliowahi kusoma Chuo Kikuu cha Dar es salaam siku alipotembelea banda la chuo hicho...
Wednesday, July 4, 2012
NSSF YAPATA TUZO MBILI KATIKA MAONYEHO YA SABASABA...
NSSF YAPATA TUZO MBILI KATIKA MAONYEHO YA SABASABA...: Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya zanzibar, Balozi Seif Ali Idi akito hotuba yake katika ufunguzi wa Maonyesho ya Biashara...
Monday, July 2, 2012
Ulimboka aanza matibabu Afrika Kusini
Ulimboka aanza matibabu Afrika Kusini: Geofrey Nyang’oro MWENYEKITI wa Jumuiya ya Madaktari, Dk Steven Ulimboka amewasili Afrika ya Kusini kuanza kupatiwa matibabu. Dk Ulimboka ...
Sunday, July 1, 2012
Amani Makungu apeta Uchaguzi Mdogo wa ZFA Zanzibar...
Amani Makungu apeta Uchaguzi Mdogo wa ZFA Zanzibar...: Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo akifungua Mkutano Mkuu wa ZFA ,kumchagua Rais wa ZFA Taifa uliofanyika ukumbi wa Salama Bwawani. ...
Tamasha la Wazi la Filamu Tanzania lazinduliwa Jij...
Tamasha la Wazi la Filamu Tanzania lazinduliwa Jij...: Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa Tamasha la Wazi la Filamu za Kitanzania maarufu kama Bongo Movie linalodhaminiwa na Kinywaji cha Grand Malt,...
HOTUBA YA MHE. DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS W...
HOTUBA YA MHE. DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS W...: Ndugu Wananchi, Kama ilivyo ada naomba nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehma, kwa kutujaalia uzima na kutuwezesha ...
YANGA WALIVYOISAMBARATISHA EXPRESS YA UGANDA KWEN...
YANGA WALIVYOISAMBARATISHA EXPRESS YA UGANDA KWEN...: Mechi kati ya Yanga na Express ya Uganda, imemalizika wenyeji wameshinda 2-1, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam...
IKER 'SAINT' CASILLAS VS GIANLUIGI BUFFON: NANI KI...
IKER 'SAINT' CASILLAS VS GIANLUIGI BUFFON: NANI KI...: HIZI NDIO REKODI ZAO KWENYE SOKA MPAKA SASA - NANI KUFUNIKA USIKU WA LEO IKER CASILLAS GIANLUIGI BUFFON 20 May 1981 KUZALIW...
Msafara wa Rais haukurushiwa mawe, ni uzush...
Ikulu: Msafara wa Rais haukurushiwa mawe, ni uzush...: Ikulu imekanusha taarifa zilizoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari (sio NIPASHE) kuwa juzi msafara wa Rais Jakaya Kikwete ulirus...
Saturday, June 30, 2012
Friday, June 29, 2012
BABA WA DK. ULIMBOKA AANGUA KILIO
BABA WA DK. ULIMBOKA AANGUA KILIO: Baadhi ya wanaharakati anuai wakiwa na maua walipomtembelea Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari, Dk. Ulimboka kumfariji jana. Baadhi...
Thursday, June 28, 2012
JAMII: DAKTARI ULIMBOKA ALIPOFIKISHWA MUHIMBILI AKIWA MAH...
JAMII: DAKTARI ULIMBOKA ALIPOFIKISHWA MUHIMBILI AKIWA MAH...: Ilibidi usalama kuimarishwa kwenye eneo la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili muda mfupi kabla ya Mwnyekiti wa Jumuia ya Madaktari Tanzania S...
KAMANDA WA MATUKIO: NDUGU WA DK ULIMBOKA WAWAPIGA STOP WANAHABARI WALI...
KAMANDA WA MATUKIO: NDUGU WA DK ULIMBOKA WAWAPIGA STOP WANAHABARI WALI...: Askari wakilinda usalama jana wakati Dk. Ulimboka anafikishwa Hospitali ya Taifa Muhimbi, kupata matibabu. Mchana huu sakata limetokea kat...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza Awasilish...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza Awasilish...: Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe Fatma Ferej, akiwasilisha hutuba ya Bajeti ya Ofisi yake katka K...
50 CENT INJURED IN A CAR CRASH
50 CENT INJURED IN A CAR CRASH: 50 Cent was rushed to hospital after his SUV was hit from behind by a truck in New...
Unyama:Dk Ulimboka aelezea alivyokamatwa
Unyama:Dk Ulimboka aelezea alivyokamatwa: Mwenyekiti wa Jumuiya ya madaktari Tanzanina Dk Steven Ulimboka akiwa amejeruhiwa Waandishi Wetu NI unyama. Mwenyekiti wa Jumuiya ya ...
Matukio mbali mbali hospitali ya Muhimbili leo
Matukio mbali mbali hospitali ya Muhimbili leo: Madaktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam wakimpakia kwenye Gari Daktari Mwenzao aliepatwa na Mkasa wa Kutekwa Nyara...
Wednesday, June 27, 2012
Dkt. STEPHEN ULIMBOKA AOKOTWA PORINI AKIWA TAABANI...
Dkt. STEPHEN ULIMBOKA AOKOTWA PORINI AKIWA TAABANI...: Mwenyekiti wa Jumuiya ya madaktari nchini, Dk Stephen Ulimboka amelazwa katika hospital ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuokotwa katika p...
TOP 10 YA MADEMU WA WACHEZAJI KWENYE EURO 2012 AMB...
TOP 10 YA MADEMU WA WACHEZAJI KWENYE EURO 2012 AMB...: Netherlands - Yolanthe Sneijder (Wesley Sneijder) Don't feel too sorry for Wes after a hard day at the office, at least he's got somet...
ALIYEWATUKANA ASHLEY YOUNG NA COLE KWENYE TWITTER ...
ALIYEWATUKANA ASHLEY YOUNG NA COLE KWENYE TWITTER ...: Haya ndio matusi ya kibaguzi ambayo bwana Steve raia wa Uingereza aliwatukana wachezaji wawili wa England ambao weusi Ashley Young wa M...
LEO NI KUMBUKUMBU YA MIAKA MITANO TANGU AMINA CHIF...
LEO NI KUMBUKUMBU YA MIAKA MITANO TANGU AMINA CHIF...: Marehemu Amina Chifupa Amina Chifupa alipenda michezo hali iliyompelekea mara kwa mara kutoa misaada mbalimbali ya vifaa vya michezo. ...
Ras Mkumbuu Ruins
Ras Mkumbuu Ruins: All Photos and text by Ali Sultan I had a chance to visit Ras Mkumbuu - June 26-2012. Ras Mkumbuu is one ...
Sunday, June 24, 2012
Zambia waishukuru Precision Air kuanza Safari za D...
Zambia waishukuru Precision Air kuanza Safari za D...: Mkurugenzi Mkuu na CEO wa Precision Air, Alfonse Kioko akizungumza wakati wa tafrija ya uzinduzi wa safari za Shirika hilo la ndege jana ku...
UZINDUZI WA MOVIE YA WEMA SEPETU WATISHA - OMOTOLA...
UZINDUZI WA MOVIE YA WEMA SEPETU WATISHA - OMOTOLA...: Wema Sepetu "Superstar" Chalz Baba na Steve Nyerere walikuwepo kutoa sapoti kwa msanii mwenzao Vijana ku...
Yaliyojili kwenye usahili wa Epiq Bongo Star Searc...
Yaliyojili kwenye usahili wa Epiq Bongo Star Searc...: WASHIRIKI WAKIPANGA MSTARI KINGIA KWA MAJAJI MADAM RITA AKISIMAMA KUMPONGEZA SALMA YUSUF KWA KUIMBA VIZURI WASHIR...
Wednesday, June 20, 2012
Fainali UEFA Euro 2012 Engalnd 1 Ukraine 0
Fainali UEFA Euro 2012 Engalnd 1 Ukraine 0: Timu ya Uingereza yafanikiwa kuingia robo fainali kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ukraine Kabla ya mpira kuanza kati ya Engalnd vsUkraine...
SOKONI KARIAKOO
SOKONI KARIAKOO
Harakati za watu kujitafutia riziki zao ndani ya jiji zikiendelea, watu mbalimabali kama unavyojionea wakitafuta mahitaji yao kwa ajili ya kujiandaa na mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani na sikukuuu ya Idd el fitri.Tunamuomba Mwenyezi Mungu atujaalie mfungo mwema wa mwezi mtukufu, atujaalie amani, atupunguzie shida ndani ya nchi yetu.Amin.
Harakati za watu kujitafutia riziki zao ndani ya jiji zikiendelea, watu mbalimabali kama unavyojionea wakitafuta mahitaji yao kwa ajili ya kujiandaa na mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani na sikukuuu ya Idd el fitri.Tunamuomba Mwenyezi Mungu atujaalie mfungo mwema wa mwezi mtukufu, atujaalie amani, atupunguzie shida ndani ya nchi yetu.Amin.
DAR ES SALAAM
BENJAMIN MKAPA TOWER
.
Hili ni jengo refu ambalo linapatikana katikati ya Dar es salaam, eneo la posta mpya.Ni jengo lenye ghorofa 30. Jengo ambalo linaongoza Africa kwa urefu lipo Afrika ya kusini lina ghorofa 50 lilijengwa mwaka 42 iliyopita. Ifikapo mwaka 2015 Afrika itashuhudia jengo refu zaidi nchini Angola lenye ghorofa 70. Hata hivyo Tanzania itashuhudia majengo mawili PSPF Tower wenye ghorofa 35 karibuni.
.
Hili ni jengo refu ambalo linapatikana katikati ya Dar es salaam, eneo la posta mpya.Ni jengo lenye ghorofa 30. Jengo ambalo linaongoza Africa kwa urefu lipo Afrika ya kusini lina ghorofa 50 lilijengwa mwaka 42 iliyopita. Ifikapo mwaka 2015 Afrika itashuhudia jengo refu zaidi nchini Angola lenye ghorofa 70. Hata hivyo Tanzania itashuhudia majengo mawili PSPF Tower wenye ghorofa 35 karibuni.
Wiki ya Maadhimisho ya Upigaji Vita Matumizi na Bi...
Wiki ya Maadhimisho ya Upigaji Vita Matumizi na Bi...: Afisa Uhusiano wa UN Tanzania Stella Vuzo, akizungumza katika moja ya Nyumba za Sober House,Mpendae ikiwa ni maadhimisho ya kupiga Vit...
Mario Van Peebles ndani ya ZIFF
: Mario Van Peebles ndani ya ZIFF: Kama umeshaitazama All Things Fall Apart ya 50 Cent yule jamaa aliyeigiza kama baba yake ndiye huyu Mario Van Peebles ambaye atakuwa m...
CHELSEA Tanzania leo imewatangaza wasanii watakaot...
CHELSEA Tanzania leo imewatangaza wasanii watakaot...: CHELSEA Tanzania leo imewatangaza wasanii watakaopamba sherehe za ubingwa zitakazofanyika kwenye ukumbi wa Msasani Beach Club Jumapili hii. ...
DAWA YA NYWELE YA CARROLL NDIO SIRI YA USHANGILIAJ...
DAWA YA NYWELE YA CARROLL NDIO SIRI YA USHANGILIAJ...: Muda mfupi baada ya Wayne Rooney kuwafunga Ukriane kweye Euro 2012 na goli la kichwa, mshambuliaji huyo wa England alishangilia goli kwa m...
Saturday, June 16, 2012
TAIFA STARS YAWASILI NCHINI MSUMBIJI TAYARI KWA KU...
TAIFA STARS YAWASILI NCHINI MSUMBIJI TAYARI KWA KU...: . Kocha Kim Paulsen akiwaongoza wachezaji wake baada ya kushuka kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa maputo leo nchini Msumbiji ambako ...
Bongo Pix Blog: Himba tribe walijua weye?
Bongo Pix Blog: Himba tribe walijua weye?: The Himba are an ethnic group of about 20,000 to 50,000
people living in northern Namibia, in the Kunene region (formerly K...
people living in northern Namibia, in the Kunene region (formerly K...
Matilda Martin ndie Redd's Miss Dar City Center 20...
Matilda Martin ndie Redd's Miss Dar City Center 20...: Redd's Miss Dar City Center 2012,Matilda Martin (katikati) akiwa na mshindi wa pili wa taji hilo,Magdalena Munisi (kushoto) na Mshindi wa t...
TAIFA STARS YANG'ARA TAIFA - WATANDIKA GAMBIA 2-1
TAIFA STARS YANG'ARA TAIFA - WATANDIKA GAMBIA 2-1: Kikosi cha Taifa Stars kilichoanza leo. TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Gambia j...
Friday, June 15, 2012
MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA KAMPENI YA ...
MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA KAMPENI YA ...: Mke wa Rais NaMwenyekiti wa Taasisi ya WAMA , Mama Salma Kikwete akizungumza kwa kusisitiza jambo wakati wa Ufunguzi wa Kampeni ya Matiba...
WAFANYAKAZI WA SHIRIKA YA UMOJA WA MATAIFA (UN) NA...
WAFANYAKAZI WA SHIRIKA YA UMOJA WA MATAIFA (UN) NA...: Mshauri Mkuu wa Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bw. Christopher John Ozga akifanyiwa vipimo na Bw. Deochris Kaimukilwa baa...
Mhe Abraham Mwampashe Jaji wa Mahakama Kuu Zanzi...
Mhe Abraham Mwampashe Jaji wa Mahakama Kuu Zanzi...: Mhe Abraham Mwampashe Jaji wa Mahakama Kuu Zanzibar akizinduwa Kitabu cha Ripoti ya Haki za Binaadamu kilichoandikwa na Kituo cha Hudum...
SHOMARY KAPOMBE MWANAMICHEZO BORA WA MWAKA 2011
SHOMARY KAPOMBE MWANAMICHEZO BORA WA MWAKA 2011: TUZO ZA TASWA ZILIVYOFANA USIKU HUU DIAMOND JUBILEE Rais wa TFF, Leodegar Tenga wa pili kulia akiwa na Jellah Mtagwa kushoto kw...
Sunday, June 10, 2012
MATUKIO MBALIMBALI MKUTANO WA CCM JANGWANI LEO
MATUKIO MBALIMBALI MKUTANO WA CCM JANGWANI LEO: Uzalendo Oyeeeeeeeeeeeeee......!!!!! Vuvuzelaaaaaaaa........ Dkt Harrison Mwakyembe akihutubia Dkt John Pombe Magufuli akimwaga mistari...
ARSHAVIN AWAONGOZA URUSI KUWAGONGA 4-1 CZECH
ARSHAVIN AWAONGOZA URUSI KUWAGONGA 4-1 CZECH: Russia 4-1 Czech Republic (Euro 2012 - Group A) by fasthighlights-2012
Tuesday, June 5, 2012
MBUNGE WA BAHI OMARY BADWEL, AFIKISHWA KIZIMBANI L...
MBUNGE WA BAHI OMARY BADWEL, AFIKISHWA KIZIMBANI L...: Mbunge wa Bahi (CCM), Omary Ahmed Badwel, akiwa chini ya ulinzi wakati alipofikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijin...
Upelelezi kesi ya Lulu bado haujakamilika
Upelelezi kesi ya Lulu bado haujakamilika: Tausi Ally na James Magai UPELELEZI wa kesi ya mauaji inayomkabili muigizaji nyota wa filamu, Elizabeth Michael maarufu kama Lulu bado h...
DONE DEAL: MANCHESTER UNITED YATHIBITISHA KUMSAINI...
DONE DEAL: MANCHESTER UNITED YATHIBITISHA KUMSAINI...: Manchester United wamethibitisha kukamilisha usajili wa mchezaji bora wa ligi kuu ya Ujerumani Shinji Kagawa, aliyekuwa akiichezea Dortmund ...
Vikosi vya KMKM Vyapatiwa Mafunzo ya Uzamiaji na W...
: Vikosi vya KMKM Vyapatiwa Mafunzo ya Uzamiaji na W...: Mkurugenzi wa Kampuni zinazotowa mafunzo ya upigaji mbizi na Uokozi { L&W na In Deep Diver Training } za Nchini Uingereza Bw. Jim Kellet...
Sunday, June 3, 2012
TEAM TANZANIA YASHIRIKI RACE OF CURE
TEAM TANZANIA YASHIRIKI RACE OF CURE: Nancy G. Brinker mwanzilishi wa matembezi Susan G. Komen akiongea jambo kabla matembezi hayajaanza. Susan G. Komen ni dada yake aliyefariki ...
Waziri Mbarouk Awaahidi Wachezaji wa Timu ya Taifa...
: Waziri Mbarouk Awaahidi Wachezaji wa Timu ya Taifa...: Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Mhe. Said Ali Mbarouk, akimkabidhi Bendra ya Zanzibar Nahodha wa timu hiyo Abdi Kassim wa...
Mamia Wajitokeza kwa Wingi Mbio za Susan G Komen K...
Mamia Wajitokeza kwa Wingi Mbio za Susan G Komen K...: Wananchi hao wakiwemo waTanzania walikusanyika katika viwanja vya Down Town Washington DC siku ya Jumamosi June,2,2012 katika kuitikia w...
Thursday, May 31, 2012
WILFRED AWASILI MKOANI KILIMANJARO
WILFRED AWASILI MKOANI KILIMANJARO: W ilfred Moshi ambaye ni Mtanzania wa kwanza kufika kilele cha mlima mrefu kiliko yote duniani amewasili jana saa saba mchana Nchini. ...
CITY SPORTS LOUNGE SIKU UFUNGUZI!!!
CITY SPORTS LOUNGE SIKU UFUNGUZI!!!: Naibu waziri wa Mawasiliano akisalimiana na Juma Pinto Siku ya Ufunguzi wa City Sports Lounge, picha za wananchi mbali mbali wali...
Serikali Italinda Amani kwa Nguvu Zote - Dk Shein
Serikali Italinda Amani kwa Nguvu Zote - Dk Shein: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein ,alipokuwa akizungumza na Wahariri na Waandishi wa habari wa v...
WABUNGE WA CHADEMA ZIARANI NCHINI MAREKANI WAAGWA ...
WABUNGE WA CHADEMA ZIARANI NCHINI MAREKANI WAAGWA ...: Baaada ya kazi kubwa ya kuzindua na kuimarisha tawi la chadema Washington Dc Maryland na Virginia,Wabunge wa Chama Cha Demokrasia na Maen...
Wednesday, May 30, 2012
Mji wa Zanzibar Ukiwa katika Amani na Utulivu.
Mji wa Zanzibar Ukiwa katika Amani na Utulivu.: Watalii wanaotembelea Mji wa Zanzibar wakiwa katika hali ya amani na utulivu wakitembelea maeneo ya Mji Mkongwe kujionea sehemu za histo...
Tuesday, May 29, 2012
Monday, May 28, 2012
Mashehe na viongozi wa jumuiya uamsho na mihadhara ya kiislamu wakisikiliza kwa makini jambo fulani likizungumzwa.Kila kitu kinazungumzika kwenye maridhiano.Tunawaomba mashehe wetu pamoja na Wazanzibar wote kwa ujumla wetu tuweze kudumisha utulifu na amani ya nchi yetu kweni inaonekana tunakotoka kuelekea ni kubaya zaidi. Tutulie tuanadae taratibu mzuri kabisa za kupeleka hayo madai na uhakaika kabisa vyombo husika vitayasikiliza, kwa undani wake na kufikia muafaka, kuliko kuendelea na vurugu mwisho wako ni kutofikia makubaliano, naamini kuwa Mwenyezi Mungu atatujaalia imani, busara, hekima na maridhiano.
Viongozi wa Jumuiya za Sekta ya Utalii Zanzibar
wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani, akizungumzia hali iliojitokeza juzi ya
fujo katika mitaa ya Mji wa Zanzibar. na kulani hali hiyo.isitokee tena
ikaharibu Amani ya Visiwa vya Zanzibar ambavyo vinasifika kwa Amani katika
Afrika Mashariki.
| Mkuu wa jeshi la polisi Tanzani IGP Said M wema akizungumza na mashehe na wadau wengine, pembeni ni waziri wa mambo ya mbani ya nchi na kamishna wa polisi Zanzibar. Mussa Ali Mussa |
HALI YA AMANI ZANZIBAR YAZIDI KUIMARIKA.
Maeneo ya mji wa Zanzibar yakiwa katika harakati za kuweka ulinzi na usalama wa wananchi na mali zao.Jeshi la polisi likifanya jukumu lake kuimarisha ulinzi na usalama
WAZIRI wa Mambo ya Ndani Akutana na Viongozi wa Di...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani Akutana na Viongozi wa Di...: Waziri wa Mambo ya Ndani Tanzania Dk.Emmanuel Nchimbi, akizungumza na Viongozi wa Jumuiya za Kiislam na Wadau wac Sekta ya Utalii Zanziba...
TWIGA STARS WAGONGWA 2-1 NA ETHIOPIA
TWIGA STARS WAGONGWA 2-1 NA ETHIOPIA: Twiga Stars TIMU ya taifa ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars, imeanza vibaya kampeni za kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la ...
Sunday, May 27, 2012
![]() |
| Waziri wa nchi ofisi ya makamo wa pili wa rais, Mohd Aboud. |
![]() |
| Kamishna mkuu wa jeshi la polisi Zanzibar, Mussa Ali Mussa.. |
Taarifa ya SMZ
ya matukio ya uvunjifu wa amani
Posted
on May 27, 2012 by zanzibaryetu
Aidha,
serikali iliwasihi viongozi hao kuepuka matumizi ya lugha na vitendo
vinavyoashiria uvunjifu wa amani katika nchi yetu na iliwataka pale ambapo wana
maoni yoyote kuhusu serikali wafuate taratibu zilizowekwa na serikali itakuwa
tayari kuzungumza nao ili kuwa na mustakabali mwema katika nchi yetu. Vile
vile, kupitia taarifa maalumu ya serikali iliyotolewa Aprili Mei mwaka huu
serikali ilieleza wazi kwamba tume ya marekebisho ya katiba imezinduliwa rasmi
na kuwataka wananchi, taasisi na vikundi mbali mbali nchini vyenye nia ya
kutaka kuelimisha umma kuhusu marekebisho ya katiba kufuata muongozo wa sheria
namba 8 ya mwaka jana kama ilivyorekebishwa na sheria namba 2 ya mwaka huu
2012.
Taarifa
rasmi ya serikali kwa wananchi kuhusu matukio ya uvunjifu wa amani nchini
Itakumbukwa
kwamba tarehe 25 Aprili, 2012 Kamati Maalumu ya Mawaziri ilikutana na viongozi
wa jumuiya ya Uamsho, Maimamu na Masheikh kuzungumzia hali iliyojitokeza nchini
katika kufanya mihadhara ambayo ilikuwa inaashiria uvunjifu wa amani.
Katika
kikao hicho serikali iliwataka viongozi hao wanapofanya mihadhara na mikutano
inayohusu masuala ya maoni ya katiba wafuate taratibu zilizowekwa kisheria.
Aidha,
serikali iliwasihi viongozi hao kuepuka matumizi ya lugha na vitendo vinavyoashiria
uvunjifu wa amani katika nchi yetu na iliwataka pale ambapo wana maoni yoyote
kuhusu serikali wafuate taratibu zilizowekwa na serikali itakuwa tayari
kuzungumza nao ili kuwa na mustakabali mwema katika nchi yetu.
Vile
vile, kupitia taarifa maalumu ya serikali iliyotolewa Aprili Mei mwaka huu
serikali ilieleza wazi kwamba tume ya marekebisho ya katiba imezinduliwa rasmi
na kuwataka wananchi, taasisi na vikundi mbali mbali nchini vyenye nia ya
kutaka kuelimisha umma kuhusu marekebisho ya katiba kufuata muongozo wa sheria
namba 8 ya mwaka jana kama ilivyorekebishwa na sheria namba 2 ya mwaka huu
2012.
Kwenda
kinyuma na sheria hii ni kosa la jinai na hivyo iliwataka wananchi wote
kujiepusha na vitendo vyote vinavyokwenda kinyume na matakwa ya sheria.
Ndugu
wananchi mbali na juhudi hizo za serikali bado wapo watu wachache wasioitakia
mema nchi yetu na umoja uliopo wanaendeleza kwa makusudi vitendo vya kuvunja
taratibu za sheria jambo ambalo limepelekea jeshi la polisi kuchukua hatua za
kisheria.
Ndugu
wananchi serikali imesikitishwa na vitendo vilivyojitokeza vya vurugu na
uvunjifu wa amani ambavyo vimeelezwa kwa kina na jeshi la polisi iliyotolewa
mapema leo tarehe 25.05.2012 na kamishana wa polisi zanzibar.
Kutokana
na hali hiyo serikali inawahakikishia wananchi wote kwamba itaendelea kudhibiti
vitendo vyovyote vya uvunjifu wa sheria vinavyoashiria kuondolea nchi yetu
amani na utulivu uliopo.
Ndugu
wananchi serikali inawahakikishia wananchi kwamba jeshi la polisi litaendelea
kuchukua hatua zifaazo ili kuwahakikishia usalama wa raia na mali zao unakuwepo
na hali inaendelea kuwa shuwari amani na utulivu.
Ndugu
wananchi bado serikali inasisitiza na kuwaomba wananchi wote waunge mkono
juhudi za serikali na kuwacha kabisa kujiingiza katika vitendo ambavyo vinaashiria
uvunjifu wa amani na utulivu katika nchi yetu.
Hivyo
tunawaomba wananchi waendelee na shughuli zao kama kawaida na serikali
itaendelea kuwahakikishia usalama wao.
Aidha
serikali inawaomba wazazi kuwadhibiti vijana wao wasijiingize katika vitendo
viovu na vurugu kwani jeshi la polisi na vikosi vyote vya ulinzi na usalama
vitakuwa macho kupambana na vurugu hizo na vitendo vyote vya uvunjifu wa amani.
Kwa
madhumuni ya kudhibiti amani na utulivu na usalama wa wananchi wetu serikali
katika kipindi hiki itachukua hatua zifuatazo:
1.
Inakataza mikusanyiko ya aina mbali mbali, maandamano, na mihadhara ya aina
mbali mbali ambayo haijapata kibali cha serikali.
2. Serikali inaliagiza jeshi la polisi kuwatafuta na kuwafikisha katika vyombo vya sheria wale wote waliohusika na kufanya fujo zilizotokea katika maeneo mbali mbali ya zanzibar
3. serikali inakemea vikali vitendo vyote vya hujuma na uharibifu wa amali zilizofanywa katika taasisi za umma, dini na mali za watu binafsi.
4. Serikali inawapa pole wananchi na taasisi zilizoathirika na vurugu hizo na kuwahakikishia kuwa hatua kali zitachukuliwa dhidi ya wale wote waliohusika katiak kadhia hiyo.
Na mwisho tunawaomba wananchi kushirikiana na serikali kwa kutoa taarifa kwa jeshi la polisi pale ambapo itaonekana zipo dalili za uvunjifu wa amani katika maeneo yao.
2. Serikali inaliagiza jeshi la polisi kuwatafuta na kuwafikisha katika vyombo vya sheria wale wote waliohusika na kufanya fujo zilizotokea katika maeneo mbali mbali ya zanzibar
3. serikali inakemea vikali vitendo vyote vya hujuma na uharibifu wa amali zilizofanywa katika taasisi za umma, dini na mali za watu binafsi.
4. Serikali inawapa pole wananchi na taasisi zilizoathirika na vurugu hizo na kuwahakikishia kuwa hatua kali zitachukuliwa dhidi ya wale wote waliohusika katiak kadhia hiyo.
Na mwisho tunawaomba wananchi kushirikiana na serikali kwa kutoa taarifa kwa jeshi la polisi pale ambapo itaonekana zipo dalili za uvunjifu wa amani katika maeneo yao.
Ahsanteni
Nawashukuru
kwa kunisikiliza.
Mohammed
Aboud Mohammed, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Zanzibar.
Askari wa kutuliza ghasia [FFU] wakizunguka katika mji wa Zanzibar kuhakikisha kwamba, hali inakuwa shwari na shughuli kurudi katika hali ya kawaida.
. Sehemu za Michenzani inavyoonekana katika picha hii jinsi, ilivyo, hii ni katikati ya mji wa Zanzibar.Mungu ibariki Zanzibar na watu wake wote,sisi tunaomba amani tu itawale.
Askari wa kutuliza ghasia [FFU] wakizunguka katika mji wa Zanzibar kuhakikisha kwamba, hali inakuwa shwari na shughuli kurudi katika hali ya kawaida.
. Sehemu za Michenzani inavyoonekana katika picha hii jinsi, ilivyo, hii ni katikati ya mji wa Zanzibar.Mungu ibariki Zanzibar na watu wake wote,sisi tunaomba amani tu itawale.
Saturday, May 26, 2012
Baadhi wa wanawake wa kiislamu wa Zanzibar wakiandamana kwa amani barabarani pamoja na Jumuiya ya uamsho na mihadhara ya kiislamu Zanzibar,wakiishindikiza serekali ya Zanzibar na Muungano juu ya uhuru wa Wazanzibar.Hii inaonesha jinsi gani wananchi wanauelewa juu mbabo yao, yanayowahusu. Kila mtu ana haki ya kikatiba juu ya maamuzi ya nchi yake.
Mahafali ya Chuo Cha Afya Mbweni Zanzibar.
Mahafali ya Chuo Cha Afya Mbweni Zanzibar.: Mkurugenzi Mkuu Wizara ya Afya Dk Malik Abdalla na Walimu wa Chuo cha Afya Mbweni wakipokea maandamano ya Wahitimu ya Fani mbalimbali ka...
Mahafali ya Chuo Cha Afya Mbweni Zanzibar.
Mahafali ya Chuo Cha Afya Mbweni Zanzibar.: Mkurugenzi Mkuu Wizara ya Afya Dk Malik Abdalla na Walimu wa Chuo cha Afya Mbweni wakipokea maandamano ya Wahitimu ya Fani mbalimbali ka...
MEMORIAL WEEKEND DAY I IN COLUMBUS, OHIO
MEMORIAL WEEKEND DAY I IN COLUMBUS, OHIO: Walimbwende wakiingia kuselebuka na kuanza Memorial weekend kwa African Flava Night kwenye kiota cha The Palace on the Square. Juu n...
TANZANIA BEGA KWA BEGA NA UNDP KUJENGA AFRIKA YENY...
TANZANIA BEGA KWA BEGA NA UNDP KUJENGA AFRIKA YENY...: Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa UNDP nchini Tanzania Dk. Alberic Kacou akizungumza kwa niaba ya UNDP kuhusiana na kuzindu...
WABUNGE WA UKRAINE WAZICHAPA KAVU KAVU MJENGONI
WABUNGE WA UKRAINE WAZICHAPA KAVU KAVU MJENGONI: Wabunge wa nchini Ukraine wakizichapa kavukavu wakati wakiwa katika moja ya Kikao cha Bunge nchini humo baada ya kupishana msimamo kuhus...
MAKAMANDA WA CHADEMA WAMEANZA KUINGIA WASHINGTON D...
MAKAMANDA WA CHADEMA WAMEANZA KUINGIA WASHINGTON D...: Libe Mwangombe Akiwa na Mh Nassari Joshua(aka) Dogo Janja Na Mh Mchungaji Msigwa Ndani Ya Capital Tayari Kwa Mkutano Wa Chadema Juma...
Friday, May 25, 2012
Hukumu ya Kesi ya Mh. John Mnyika
Hukumu ya Kesi ya Mh. John Mnyika: Mahakama Kuu Kanda ya dar es Salaam leo imemtangaza mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika (Chadema) kuwa ni mbunge halali wa jimbo hilo. ...
Hafla ya Uzinduzi wa Kampeni mpya ya Bia ya Kilima...
Hafla ya Uzinduzi wa Kampeni mpya ya Bia ya Kilima...: Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Lager,George Kavishe akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni mpya ya 100% Tanzania Flava iliyofanyika usiku...
TANZANIA BEGA KWA BEGA NA UNDP KUJENGA AFRIKA YENY...
TANZANIA BEGA KWA BEGA NA UNDP KUJENGA AFRIKA YENY...: Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa UNDP nchini Tanzania Dk. Alberic Kacou akizungumza kwa niaba ya UNDP kuhusiana na kuzindu...
Monday, May 21, 2012
Mahafali ya 14 ya Madrasat Nuur Islamiyat ya Ukuta...
Mahafali ya 14 ya Madrasat Nuur Islamiyat ya Ukuta...: Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad. akihutubia katika mahafali ya 14 ya Madrasat Nuur Islamiyat ya Ukutani...
Subscribe to:
Posts (Atom)























