Kifo cha Steven Kanumba habari zisizo rasmi na kuthibitishwa zinasema kwamba anahusika mojmakwa moja, lakini tuwaachilie vyombo vinavyohusika kutoa taarifa juu ya kadhia hii; kwa ujumla wakaazi wa dar es salaam na kabibu nchi mzima wanafuatilia kwa kabibu sana taarifa hizi ambazo ni nzito miongoni mwa masikio ya watu na macho yao kuweza kuamini kabis lakini hivi ndivyo ilivyo RIP AMEFARIKI dunia usiku wa leo haspitali ya Muhimbili
No comments:
Post a Comment