Pages

Saturday, December 8, 2012

TIMU YA TAIFA YA TANZANIA, NYEUPE KWA SASA.

Thanks MARCIO MAXIMO mtu yeyote  anayeguswa na soka la watanzania naamini anakukumbuka na anaguswa na maelezo haya. Ni muda mfupi tu ulitubadilisha watanzania na kupenda sok,a tunaamini kuna siku tutakuona tena Tanzania.Wale wabaya wako hawapo tena tanzania.

Watanzania wote walikuwa kitu kimoja katika mpira,nani asiyeamini,roho vilikuwa nyeupe kabisa, tulikuwa hatumuogopi yeyote, hata Brazili tulimuhitaji kwa wakati ule, lakini wapi.............?

No comments:

Post a Comment