Saturday, June 30, 2012
Friday, June 29, 2012
BABA WA DK. ULIMBOKA AANGUA KILIO
BABA WA DK. ULIMBOKA AANGUA KILIO: Baadhi ya wanaharakati anuai wakiwa na maua walipomtembelea Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari, Dk. Ulimboka kumfariji jana. Baadhi...
Thursday, June 28, 2012
JAMII: DAKTARI ULIMBOKA ALIPOFIKISHWA MUHIMBILI AKIWA MAH...
JAMII: DAKTARI ULIMBOKA ALIPOFIKISHWA MUHIMBILI AKIWA MAH...: Ilibidi usalama kuimarishwa kwenye eneo la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili muda mfupi kabla ya Mwnyekiti wa Jumuia ya Madaktari Tanzania S...
KAMANDA WA MATUKIO: NDUGU WA DK ULIMBOKA WAWAPIGA STOP WANAHABARI WALI...
KAMANDA WA MATUKIO: NDUGU WA DK ULIMBOKA WAWAPIGA STOP WANAHABARI WALI...: Askari wakilinda usalama jana wakati Dk. Ulimboka anafikishwa Hospitali ya Taifa Muhimbi, kupata matibabu. Mchana huu sakata limetokea kat...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza Awasilish...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza Awasilish...: Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe Fatma Ferej, akiwasilisha hutuba ya Bajeti ya Ofisi yake katka K...
50 CENT INJURED IN A CAR CRASH
50 CENT INJURED IN A CAR CRASH: 50 Cent was rushed to hospital after his SUV was hit from behind by a truck in New...
Unyama:Dk Ulimboka aelezea alivyokamatwa
Unyama:Dk Ulimboka aelezea alivyokamatwa: Mwenyekiti wa Jumuiya ya madaktari Tanzanina Dk Steven Ulimboka akiwa amejeruhiwa Waandishi Wetu NI unyama. Mwenyekiti wa Jumuiya ya ...
Matukio mbali mbali hospitali ya Muhimbili leo
Matukio mbali mbali hospitali ya Muhimbili leo: Madaktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam wakimpakia kwenye Gari Daktari Mwenzao aliepatwa na Mkasa wa Kutekwa Nyara...
Wednesday, June 27, 2012
Dkt. STEPHEN ULIMBOKA AOKOTWA PORINI AKIWA TAABANI...
Dkt. STEPHEN ULIMBOKA AOKOTWA PORINI AKIWA TAABANI...: Mwenyekiti wa Jumuiya ya madaktari nchini, Dk Stephen Ulimboka amelazwa katika hospital ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuokotwa katika p...
TOP 10 YA MADEMU WA WACHEZAJI KWENYE EURO 2012 AMB...
TOP 10 YA MADEMU WA WACHEZAJI KWENYE EURO 2012 AMB...: Netherlands - Yolanthe Sneijder (Wesley Sneijder) Don't feel too sorry for Wes after a hard day at the office, at least he's got somet...
ALIYEWATUKANA ASHLEY YOUNG NA COLE KWENYE TWITTER ...
ALIYEWATUKANA ASHLEY YOUNG NA COLE KWENYE TWITTER ...: Haya ndio matusi ya kibaguzi ambayo bwana Steve raia wa Uingereza aliwatukana wachezaji wawili wa England ambao weusi Ashley Young wa M...
LEO NI KUMBUKUMBU YA MIAKA MITANO TANGU AMINA CHIF...
LEO NI KUMBUKUMBU YA MIAKA MITANO TANGU AMINA CHIF...: Marehemu Amina Chifupa Amina Chifupa alipenda michezo hali iliyompelekea mara kwa mara kutoa misaada mbalimbali ya vifaa vya michezo. ...
Ras Mkumbuu Ruins
Ras Mkumbuu Ruins: All Photos and text by Ali Sultan I had a chance to visit Ras Mkumbuu - June 26-2012. Ras Mkumbuu is one ...
Sunday, June 24, 2012
Zambia waishukuru Precision Air kuanza Safari za D...
Zambia waishukuru Precision Air kuanza Safari za D...: Mkurugenzi Mkuu na CEO wa Precision Air, Alfonse Kioko akizungumza wakati wa tafrija ya uzinduzi wa safari za Shirika hilo la ndege jana ku...
UZINDUZI WA MOVIE YA WEMA SEPETU WATISHA - OMOTOLA...
UZINDUZI WA MOVIE YA WEMA SEPETU WATISHA - OMOTOLA...: Wema Sepetu "Superstar" Chalz Baba na Steve Nyerere walikuwepo kutoa sapoti kwa msanii mwenzao Vijana ku...
Yaliyojili kwenye usahili wa Epiq Bongo Star Searc...
Yaliyojili kwenye usahili wa Epiq Bongo Star Searc...: WASHIRIKI WAKIPANGA MSTARI KINGIA KWA MAJAJI MADAM RITA AKISIMAMA KUMPONGEZA SALMA YUSUF KWA KUIMBA VIZURI WASHIR...
Wednesday, June 20, 2012
Fainali UEFA Euro 2012 Engalnd 1 Ukraine 0
Fainali UEFA Euro 2012 Engalnd 1 Ukraine 0: Timu ya Uingereza yafanikiwa kuingia robo fainali kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ukraine Kabla ya mpira kuanza kati ya Engalnd vsUkraine...
SOKONI KARIAKOO
SOKONI KARIAKOO
Harakati za watu kujitafutia riziki zao ndani ya jiji zikiendelea, watu mbalimabali kama unavyojionea wakitafuta mahitaji yao kwa ajili ya kujiandaa na mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani na sikukuuu ya Idd el fitri.Tunamuomba Mwenyezi Mungu atujaalie mfungo mwema wa mwezi mtukufu, atujaalie amani, atupunguzie shida ndani ya nchi yetu.Amin.
Harakati za watu kujitafutia riziki zao ndani ya jiji zikiendelea, watu mbalimabali kama unavyojionea wakitafuta mahitaji yao kwa ajili ya kujiandaa na mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani na sikukuuu ya Idd el fitri.Tunamuomba Mwenyezi Mungu atujaalie mfungo mwema wa mwezi mtukufu, atujaalie amani, atupunguzie shida ndani ya nchi yetu.Amin.
DAR ES SALAAM
BENJAMIN MKAPA TOWER
.
Hili ni jengo refu ambalo linapatikana katikati ya Dar es salaam, eneo la posta mpya.Ni jengo lenye ghorofa 30. Jengo ambalo linaongoza Africa kwa urefu lipo Afrika ya kusini lina ghorofa 50 lilijengwa mwaka 42 iliyopita. Ifikapo mwaka 2015 Afrika itashuhudia jengo refu zaidi nchini Angola lenye ghorofa 70. Hata hivyo Tanzania itashuhudia majengo mawili PSPF Tower wenye ghorofa 35 karibuni.
.
Hili ni jengo refu ambalo linapatikana katikati ya Dar es salaam, eneo la posta mpya.Ni jengo lenye ghorofa 30. Jengo ambalo linaongoza Africa kwa urefu lipo Afrika ya kusini lina ghorofa 50 lilijengwa mwaka 42 iliyopita. Ifikapo mwaka 2015 Afrika itashuhudia jengo refu zaidi nchini Angola lenye ghorofa 70. Hata hivyo Tanzania itashuhudia majengo mawili PSPF Tower wenye ghorofa 35 karibuni.
Wiki ya Maadhimisho ya Upigaji Vita Matumizi na Bi...
Wiki ya Maadhimisho ya Upigaji Vita Matumizi na Bi...: Afisa Uhusiano wa UN Tanzania Stella Vuzo, akizungumza katika moja ya Nyumba za Sober House,Mpendae ikiwa ni maadhimisho ya kupiga Vit...
Mario Van Peebles ndani ya ZIFF
: Mario Van Peebles ndani ya ZIFF: Kama umeshaitazama All Things Fall Apart ya 50 Cent yule jamaa aliyeigiza kama baba yake ndiye huyu Mario Van Peebles ambaye atakuwa m...
CHELSEA Tanzania leo imewatangaza wasanii watakaot...
CHELSEA Tanzania leo imewatangaza wasanii watakaot...: CHELSEA Tanzania leo imewatangaza wasanii watakaopamba sherehe za ubingwa zitakazofanyika kwenye ukumbi wa Msasani Beach Club Jumapili hii. ...
DAWA YA NYWELE YA CARROLL NDIO SIRI YA USHANGILIAJ...
DAWA YA NYWELE YA CARROLL NDIO SIRI YA USHANGILIAJ...: Muda mfupi baada ya Wayne Rooney kuwafunga Ukriane kweye Euro 2012 na goli la kichwa, mshambuliaji huyo wa England alishangilia goli kwa m...
Saturday, June 16, 2012
TAIFA STARS YAWASILI NCHINI MSUMBIJI TAYARI KWA KU...
TAIFA STARS YAWASILI NCHINI MSUMBIJI TAYARI KWA KU...: . Kocha Kim Paulsen akiwaongoza wachezaji wake baada ya kushuka kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa maputo leo nchini Msumbiji ambako ...
Bongo Pix Blog: Himba tribe walijua weye?
Bongo Pix Blog: Himba tribe walijua weye?: The Himba are an ethnic group of about 20,000 to 50,000
people living in northern Namibia, in the Kunene region (formerly K...
people living in northern Namibia, in the Kunene region (formerly K...
Matilda Martin ndie Redd's Miss Dar City Center 20...
Matilda Martin ndie Redd's Miss Dar City Center 20...: Redd's Miss Dar City Center 2012,Matilda Martin (katikati) akiwa na mshindi wa pili wa taji hilo,Magdalena Munisi (kushoto) na Mshindi wa t...
TAIFA STARS YANG'ARA TAIFA - WATANDIKA GAMBIA 2-1
TAIFA STARS YANG'ARA TAIFA - WATANDIKA GAMBIA 2-1: Kikosi cha Taifa Stars kilichoanza leo. TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Gambia j...
Friday, June 15, 2012
MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA KAMPENI YA ...
MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA KAMPENI YA ...: Mke wa Rais NaMwenyekiti wa Taasisi ya WAMA , Mama Salma Kikwete akizungumza kwa kusisitiza jambo wakati wa Ufunguzi wa Kampeni ya Matiba...
WAFANYAKAZI WA SHIRIKA YA UMOJA WA MATAIFA (UN) NA...
WAFANYAKAZI WA SHIRIKA YA UMOJA WA MATAIFA (UN) NA...: Mshauri Mkuu wa Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bw. Christopher John Ozga akifanyiwa vipimo na Bw. Deochris Kaimukilwa baa...
Mhe Abraham Mwampashe Jaji wa Mahakama Kuu Zanzi...
Mhe Abraham Mwampashe Jaji wa Mahakama Kuu Zanzi...: Mhe Abraham Mwampashe Jaji wa Mahakama Kuu Zanzibar akizinduwa Kitabu cha Ripoti ya Haki za Binaadamu kilichoandikwa na Kituo cha Hudum...
SHOMARY KAPOMBE MWANAMICHEZO BORA WA MWAKA 2011
SHOMARY KAPOMBE MWANAMICHEZO BORA WA MWAKA 2011: TUZO ZA TASWA ZILIVYOFANA USIKU HUU DIAMOND JUBILEE Rais wa TFF, Leodegar Tenga wa pili kulia akiwa na Jellah Mtagwa kushoto kw...
Sunday, June 10, 2012
MATUKIO MBALIMBALI MKUTANO WA CCM JANGWANI LEO
MATUKIO MBALIMBALI MKUTANO WA CCM JANGWANI LEO: Uzalendo Oyeeeeeeeeeeeeee......!!!!! Vuvuzelaaaaaaaa........ Dkt Harrison Mwakyembe akihutubia Dkt John Pombe Magufuli akimwaga mistari...
ARSHAVIN AWAONGOZA URUSI KUWAGONGA 4-1 CZECH
ARSHAVIN AWAONGOZA URUSI KUWAGONGA 4-1 CZECH: Russia 4-1 Czech Republic (Euro 2012 - Group A) by fasthighlights-2012
Tuesday, June 5, 2012
MBUNGE WA BAHI OMARY BADWEL, AFIKISHWA KIZIMBANI L...
MBUNGE WA BAHI OMARY BADWEL, AFIKISHWA KIZIMBANI L...: Mbunge wa Bahi (CCM), Omary Ahmed Badwel, akiwa chini ya ulinzi wakati alipofikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijin...
Upelelezi kesi ya Lulu bado haujakamilika
Upelelezi kesi ya Lulu bado haujakamilika: Tausi Ally na James Magai UPELELEZI wa kesi ya mauaji inayomkabili muigizaji nyota wa filamu, Elizabeth Michael maarufu kama Lulu bado h...
DONE DEAL: MANCHESTER UNITED YATHIBITISHA KUMSAINI...
DONE DEAL: MANCHESTER UNITED YATHIBITISHA KUMSAINI...: Manchester United wamethibitisha kukamilisha usajili wa mchezaji bora wa ligi kuu ya Ujerumani Shinji Kagawa, aliyekuwa akiichezea Dortmund ...
Vikosi vya KMKM Vyapatiwa Mafunzo ya Uzamiaji na W...
: Vikosi vya KMKM Vyapatiwa Mafunzo ya Uzamiaji na W...: Mkurugenzi wa Kampuni zinazotowa mafunzo ya upigaji mbizi na Uokozi { L&W na In Deep Diver Training } za Nchini Uingereza Bw. Jim Kellet...
Sunday, June 3, 2012
TEAM TANZANIA YASHIRIKI RACE OF CURE
TEAM TANZANIA YASHIRIKI RACE OF CURE: Nancy G. Brinker mwanzilishi wa matembezi Susan G. Komen akiongea jambo kabla matembezi hayajaanza. Susan G. Komen ni dada yake aliyefariki ...
Waziri Mbarouk Awaahidi Wachezaji wa Timu ya Taifa...
: Waziri Mbarouk Awaahidi Wachezaji wa Timu ya Taifa...: Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Mhe. Said Ali Mbarouk, akimkabidhi Bendra ya Zanzibar Nahodha wa timu hiyo Abdi Kassim wa...
Mamia Wajitokeza kwa Wingi Mbio za Susan G Komen K...
Mamia Wajitokeza kwa Wingi Mbio za Susan G Komen K...: Wananchi hao wakiwemo waTanzania walikusanyika katika viwanja vya Down Town Washington DC siku ya Jumamosi June,2,2012 katika kuitikia w...
Subscribe to:
Posts (Atom)