Pages

Wednesday, June 20, 2012

SOKONI KARIAKOO

SOKONI KARIAKOO

Harakati za watu kujitafutia riziki zao ndani ya jiji zikiendelea, watu mbalimabali kama unavyojionea wakitafuta mahitaji yao kwa ajili ya kujiandaa na mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani na sikukuuu ya Idd el fitri.Tunamuomba Mwenyezi Mungu atujaalie mfungo mwema wa mwezi mtukufu, atujaalie amani, atupunguzie shida ndani ya nchi yetu.Amin.

No comments:

Post a Comment