Pages

Wednesday, June 20, 2012

DAR ES SALAAM

BENJAMIN MKAPA TOWER
.
Hili ni jengo refu ambalo linapatikana katikati ya Dar es salaam, eneo la posta mpya.Ni jengo lenye ghorofa 30. Jengo ambalo linaongoza Africa kwa urefu lipo Afrika ya kusini lina ghorofa 50 lilijengwa mwaka 42 iliyopita. Ifikapo mwaka 2015 Afrika itashuhudia jengo refu zaidi nchini Angola lenye ghorofa 70. Hata hivyo Tanzania itashuhudia majengo mawili PSPF Tower wenye ghorofa 35 karibuni.

No comments:

Post a Comment