Pages

Friday, March 29, 2013

JENGO LA GHOROFA 15 LAANGUKA SAMORA DAR ES SALAM.



Tingatinga likifukua kifusi katika eneo la tukio leo asubuhi.
 
 
Gari lililokuwa karibu na jengo hilo likiwa limebonyezwa kama chapati likitolewa eneo la tukio kuweza kuwato majeruhi waliofunikwa na kifusi cha gorofa hilo.

No comments:

Post a Comment