Pages

Tuesday, July 31, 2012

WANACHAMA WAPYA WALIOJIUNGA CCM DMV

WANACHAMA WAPYA WALIOJIUNGA CCM DMV:  Wanachama wapya DMV wajiunga na Chama Cha Mapinduzi kushoto ni Dedy Luba na Dj Seif Wanachama wapya wakiwa na Mwenyekiti Loveness Mamu...

WACHINA NA MAREKANI WAONGOZA KWA MEDALI - AFRICA N...

WACHINA NA MAREKANI WAONGOZA KWA MEDALI - AFRICA N...: Rank Country Gold Silver Bronze 1 People's Republic of China 9 5 3 17 2 United States of America 5 7 5 17 3 Fra...

BAADA YA NGASSA KUIBUSU LOGO YA YANGA - AZAM WATOA...

BAADA YA NGASSA KUIBUSU LOGO YA YANGA - AZAM WATOA...: Siku chache baada ya mchezaji wa kimataifa wa Tanzania Mrisho Ngassa kuonekana akiwa amevaa jezi ya Yanga na kuibusu logo ya klabu hiyo, w...

Monday, July 30, 2012

FUTARI YA PAMOJA DMV

FUTARI YA PAMOJA DMV: Iddi Sandaly Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV akiongea jambo kwenye Futari ya pamoja iliyofanyika Hillandale Park, Silver Spring.\, Mary...

YANGA BINGWA WA KAGAME - WAITANDIKA AZAM...

HIVI NDIVYO YANGA WALIVYOKABIDHIWA MWALI WAO WA KA...

 HIVI NDIVYO YANGA WALIVYOKABIDHIWA MWALI WAO WA KA...: Picha zote kwa hisani ya ya http://yusufbadi.blogspot.com/

KALI YA LEO: PEPE KALLE ALIVYOWAPONGEZA YANGA

: COASTAL UNION YAMSAJILI RASMI JERRY SANTO ALIYEWAH...

COASTAL UNION YAMSAJILI RASMI JERRY SANTO ALIYEWAH...: Klabu ya Coastal Union jana imetangaza rasmi usajili wa kiungo wa kimataifa wa Kenya Jerry Santo, ambaye msimu wa 2010-2011 alikuwa mmoja ya...

Fedha Investment yaja na huduma bora kwa wakazi wa...

Fedha Investment yaja na huduma bora kwa wakazi wa...:  Jengo la Fedha Investment linavyoonekana kwa nje.Kampuni hii inajihusisha na utoaji wa huduma mbali mbali za kijamii,kama vile,M-Pesa,Tigo ...

Mama Shein Akijumuika na Watoto wa Nyumba ya Wato...

Mama Mwanamwema Shein Ajumuika na Watoto wa Kiji...

Friday, July 27, 2012

Wake wa Viongozi Watowa Msaada wa Vyakula kwa Waze...

Wake wa Viongozi Watowa Msaada wa Vyakula kwa Waze...:  Mke vwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi akisalimiana na Wafanyakazi na Wazee wa Sebleni alipofika kutowa msaada wa V...

DK.Shein Akutana na Mabalozi

DK.Shein Akutana na Mabalozi:  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na ujumbe wa Uongozi wa Chama cha Wanasheria Za...

Thursday, July 26, 2012

KUAPISHWA KWA WAZIRI MPYA WA MIUNDOMBINU NA MAWASILIANO

Muheshimiwa Rashid Seif akila kiapo mbele ya Mh. Rais wa Zanzibar, bado serekali in changamoto katika kuhakikisha kwamba sekta ya mawsiliano, hasa vyombo vya baharini. Serekali inahitajika kununua meli kubwa kwa ajili ya usafiri wa abiria na mizigokatika visiwa hivi, ikiwa pamoja na kuzikagua meli na boti kila muda ufikapo. Serekali yetu kwa kujali wananchi wake, tunaiomba kuzingatia hili il wananchi waendelee kuwa na imani nayo. Mh. waziri tunaomba ushirikiane na serekali katika kufanikisha hilo.

Tuesday, July 24, 2012

Simplicity on Ramadan menu for crisis-hit Sudan

Simplicity on Ramadan menu for crisis-hit Sudan: Food costs have been the main driver for Sudan’s “alarming” inflation levels, the World Bank said before prices rose even higher in June, to...

Jumuiya ya Nchi za Kiarabu: Lazima Assad aondoke

 Jumuiya ya Nchi za Kiarabu: Lazima Assad aondoke: Mawaziri wa mambo ya nchi za nje wa Jumuiya ya nchi za kiarabu wamemtolea wito rais Bashar al-Assad kuachia madaraka ili kuepusha umwagaji...

'You're not such a tough guy now': Colorado victim...

'You're not such a tough guy now': Colorado victim...: Mugshot: James Holmes, 24, appeared in court for the first time, on Monday suspected with going on a shooting spree at a Colorado cinema o...

NANI KUIBUKA MFUNGAJI BORA KAGAME CUP: NI BAHANUZI...

 NANI KUIBUKA MFUNGAJI BORA KAGAME CUP: NI BAHANUZI...:  HAWA NDIO WAFUMANI NYAVU BORA WA KAGAME CUP MAPKA SASA. 1: Taddy Etikiama AS Vita 5    Said Bahanuzi ...

Mafunzo yaaga Mashindano ya Kagame yafungwa na Yan...

Mafunzo yaaga Mashindano ya Kagame yafungwa na Yan...: Mchezaji wa timu ya Yanga Stefano Mwasika akikokota mpira kuelekea goli la timu ya Mafunzo ya Zanzibar huku beki wa timu ya Mafunzo Isma...

Waziri Masoud Ajiuzulu

 Waziri Masoud Ajiuzulu: Salma Said, Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano wa Zanzibar, Hamad Masoud Hamad amejiuzulu wadhifa wake leo jioni imeelezwa. Kwa muji...

Thursday, July 19, 2012

Miili ya maiti waliofariki kwa ajali ya Mv skatgit vikiteremshwa uwanja wa maisara mjini unguja.





KUZAMA KWA MELI YA SKATGIT KATIKA BAHARI YA CHUMBE.



Matukio mbali mbali katika picha kuhusiana na kuzama kwa meli Skatgit eneo la Chumbe
Mzamiaji akiokoa maiti kutoka majini

Boti ya Flying horse ikikimbilia eneo la tukio.

Abiria walionusurika na ajli wakisubiri kuokolewa juu ya chombo kilichozama.


Hata vyombo vidogo vilishiriki katika uokoaji

Hata hivyo hali bahari haikuwa shuwari  wakati wa zoezi la uokoaji kama inavyoonekana boti ya KMKM.

Licha ya kuwa bahari imechafuka shughuli ya uokoaji ziliendele jana.

shughuli za uokoaji hadi wakati wa usiku.
KUZAMA KWA MELI ZANZIBAR.

Wednesday, July 18, 2012

Yaliyojiri Bandari ya Malindi Wananchi Wakisubiri ...

 Yaliyojiri Bandari ya Malindi Wananchi Wakisubiri ...: Picha zote na Ramadhan Othman Ikulu

Picha ziadi maafa ya meli

Picha ziadi maafa ya meli: Watalii na raia wa kigeni pia walikuwemo katika meli iliyozama hawa ni baadhi ya waliosalimika Abiria waliookolewa kutoka katika mel...

Majeruhi Wakiwa Bandarini na Hospitali ya Mnazi Mm...

Majeruhi Wakiwa Bandarini na Hospitali ya Mnazi Mm...:  Mmoja wa Majeruhi akipata huduma ya Kwanza baada ya kuokolewa akiwa katika bandari ya malindi  Daktari akitowa huduma ya kwanza kwa ...
Watu wakisubiri kuona jamaa zao walionusurika kwa ajali ya meli zanzibar katika eneo la Forodhani mjini Unguja.
AJALI YA MELI ZANZIBAR.
Baadhi ya majeruhi wa ajali ya meli iliyotokea leo saa nane mchana meli ikitokea Dares salaam kuelekea Zanzibar, ilipofika maeneo ya chumbe meli ilikumbwa na dhoruba kalina kuanza kuzama. Hawa ni kiongoni mwa abiria waliookolewa katika ajali hio. Vilevile kulikuwemo na raia wa kigeni lkn haikufahamika mara moj ni raia wa nchi gani kama wanavyoonekana ktk picha hii.

k
Kijana akijaribu kumuokoa mwanawe alie kuwemo katika ajali ya meli.
meli ya Mv Karama ikimalizika kuzama mchana wa leo eneo lakisiwa cha chumbe karibu na kisiwa cha Unguja.

Saturday, July 14, 2012

Yanga Hoi kwa Atletico yafungwa 2--0

Yanga Hoi kwa Atletico yafungwa 2--0:  Wachezaji wa timu ya Yanga wakiingia Uwanjani katika mchezo wa Ufunguzi wa Michuano ya Kombe la Kagame inayofanyika Uwanja wa Taifa  Mji...

Wednesday, July 4, 2012

NSSF YAPATA TUZO MBILI KATIKA MAONYEHO YA SABASABA...

NSSF YAPATA TUZO MBILI KATIKA MAONYEHO YA SABASABA...: Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya zanzibar, Balozi Seif Ali Idi akito hotuba yake katika ufunguzi wa Maonyesho ya Biashara...

Sunday, July 1, 2012

Amani Makungu apeta Uchaguzi Mdogo wa ZFA Zanzibar...

Amani Makungu apeta Uchaguzi Mdogo wa ZFA Zanzibar...: Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo akifungua Mkutano Mkuu wa ZFA ,kumchagua Rais wa ZFA Taifa uliofanyika ukumbi wa Salama Bwawani. ...

Tamasha la Wazi la Filamu Tanzania lazinduliwa Jij...

Tamasha la Wazi la Filamu Tanzania lazinduliwa Jij...:  Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa Tamasha la Wazi la Filamu za Kitanzania maarufu kama Bongo Movie linalodhaminiwa na Kinywaji cha Grand Malt,...

HOTUBA YA MHE. DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS W...

HOTUBA YA MHE. DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS W...: Ndugu Wananchi,           Kama ilivyo ada naomba nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehma, kwa kutujaalia uzima na kutuwezesha ...

YANGA WALIVYOISAMBARATISHA EXPRESS YA UGANDA KWEN...

 YANGA WALIVYOISAMBARATISHA EXPRESS YA UGANDA KWEN...: Mechi kati ya Yanga na Express ya Uganda, imemalizika wenyeji wameshinda 2-1, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam...

IKER 'SAINT' CASILLAS VS GIANLUIGI BUFFON: NANI KI...

IKER 'SAINT' CASILLAS VS GIANLUIGI BUFFON: NANI KI...: HIZI NDIO REKODI ZAO KWENYE SOKA MPAKA SASA - NANI KUFUNIKA USIKU WA LEO IKER CASILLAS GIANLUIGI BUFFON 20 May 1981 KUZALIW...

Msafara wa Rais haukurushiwa mawe, ni uzush...

 Ikulu: Msafara wa Rais haukurushiwa mawe, ni uzush...: Ikulu imekanusha taarifa zilizoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari (sio NIPASHE) kuwa juzi msafara wa Rais Jakaya Kikwete ulirus...