KUAPISHWA KWA WAZIRI MPYA WA MIUNDOMBINU NA MAWASILIANO
|
Muheshimiwa Rashid Seif akila kiapo mbele ya Mh. Rais wa Zanzibar, bado serekali in changamoto katika kuhakikisha kwamba sekta ya mawsiliano, hasa vyombo vya baharini. Serekali inahitajika kununua meli kubwa kwa ajili ya usafiri wa abiria na mizigokatika visiwa hivi, ikiwa pamoja na kuzikagua meli na boti kila muda ufikapo. Serekali yetu kwa kujali wananchi wake, tunaiomba kuzingatia hili il wananchi waendelee kuwa na imani nayo. Mh. waziri tunaomba ushirikiane na serekali katika kufanikisha hilo. |
No comments:
Post a Comment