| Mzamiaji akiokoa maiti kutoka majini |
| Boti ya Flying horse ikikimbilia eneo la tukio. |
| Abiria walionusurika na ajli wakisubiri kuokolewa juu ya chombo kilichozama. |
| Hata vyombo vidogo vilishiriki katika uokoaji |
| Hata hivyo hali bahari haikuwa shuwari wakati wa zoezi la uokoaji kama inavyoonekana boti ya KMKM. |
| Licha ya kuwa bahari imechafuka shughuli ya uokoaji ziliendele jana. |
| shughuli za uokoaji hadi wakati wa usiku. |
No comments:
Post a Comment