AJALI YA MELI ZANZIBAR.
Baadhi ya majeruhi wa ajali ya meli iliyotokea leo saa nane mchana meli ikitokea Dares salaam kuelekea Zanzibar, ilipofika maeneo ya chumbe meli ilikumbwa na dhoruba kalina kuanza kuzama. Hawa ni kiongoni mwa abiria waliookolewa katika ajali hio. Vilevile kulikuwemo na raia wa kigeni lkn haikufahamika mara moj ni raia wa nchi gani kama wanavyoonekana ktk picha hii.
Kijana akijaribu kumuokoa mwanawe alie kuwemo katika ajali ya meli.

No comments:
Post a Comment