WANANCHI wakiwa nje ya mlango kuu wa kuingia hospitali Kuu ya Mnazi mmoja, wakisubiri kupata ruhusa ya kuingia ndani ya jengo hilo kuonana na Madaktari, utaratibu huu umekuwa usumbufu kwa wagonjwa wanaofika katika hospitali hiyo, kupata huduma muhumu, kutokana na usumbufu wanaopata kutoka kwa walinzi wa hospitali hiyo
No comments:
Post a Comment