Pages

Thursday, May 31, 2012

Diamond On Stage

WILFRED AWASILI MKOANI KILIMANJARO

WILFRED AWASILI MKOANI KILIMANJARO:   W ilfred Moshi ambaye ni Mtanzania wa kwanza kufika kilele cha mlima mrefu kiliko yote duniani amewasili jana saa saba mchana Nchini. ...

CITY SPORTS LOUNGE SIKU UFUNGUZI!!!

CITY SPORTS LOUNGE SIKU UFUNGUZI!!!: Naibu waziri wa Mawasiliano akisalimiana na Juma Pinto Siku ya Ufunguzi wa City Sports Lounge, picha za wananchi mbali mbali wali...

Serikali Italinda Amani kwa Nguvu Zote - Dk Shein

Serikali Italinda Amani kwa Nguvu Zote - Dk Shein: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein ,alipokuwa akizungumza na Wahariri na Waandishi wa habari wa v...

WABUNGE WA CHADEMA ZIARANI NCHINI MAREKANI WAAGWA ...

 WABUNGE WA CHADEMA ZIARANI NCHINI MAREKANI WAAGWA ...: Baaada ya kazi kubwa ya kuzindua na kuimarisha tawi la chadema Washington Dc Maryland na Virginia,Wabunge wa Chama Cha Demokrasia na Maen...

Wednesday, May 30, 2012

Mji wa Zanzibar Ukiwa katika Amani na Utulivu.

Mji wa Zanzibar Ukiwa katika Amani na Utulivu.:  Watalii wanaotembelea Mji wa Zanzibar wakiwa katika hali ya amani na utulivu wakitembelea maeneo ya Mji Mkongwe kujionea sehemu za histo...

Monday, May 28, 2012

AMANI ZANZIBAR KWANZA HALAFU MAMBO MENGINE BAADAE.

 Mashehe na viongozi wa jumuiya uamsho na mihadhara ya kiislamu wakisikiliza kwa makini jambo fulani likizungumzwa.Kila kitu kinazungumzika kwenye maridhiano.Tunawaomba mashehe wetu pamoja na Wazanzibar wote kwa ujumla wetu tuweze kudumisha utulifu na amani ya nchi yetu kweni inaonekana tunakotoka kuelekea ni kubaya zaidi. Tutulie tuanadae taratibu mzuri kabisa za kupeleka hayo madai na uhakaika kabisa vyombo husika vitayasikiliza, kwa undani wake na kufikia muafaka, kuliko kuendelea na vurugu mwisho wako ni kutofikia makubaliano, naamini kuwa Mwenyezi Mungu atatujaalia imani, busara, hekima na maridhiano.
Viongozi wa Jumuiya za Sekta ya Utalii Zanzibar wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani, akizungumzia hali iliojitokeza juzi ya fujo katika mitaa ya Mji wa Zanzibar. na kulani hali hiyo.isitokee tena ikaharibu Amani ya Visiwa vya Zanzibar ambavyo vinasifika kwa Amani katika Afrika Mashariki.
Mkuu wa jeshi la polisi Tanzani IGP Said M wema akizungumza na mashehe
na wadau wengine, pembeni ni waziri wa mambo ya mbani ya nchi na kamishna wa polisi Zanzibar.
Mussa Ali Mussa

HALI YA AMANI ZANZIBAR YAZIDI KUIMARIKA.
Maeneo ya mji wa Zanzibar yakiwa katika harakati za kuweka ulinzi na usalama wa wananchi na mali zao.Jeshi la polisi likifanya jukumu lake kuimarisha ulinzi na usalama

WAZIRI wa Mambo ya Ndani Akutana na Viongozi wa Di...

WAZIRI wa Mambo ya Ndani Akutana na Viongozi wa Di...: Waziri wa Mambo ya Ndani Tanzania Dk.Emmanuel Nchimbi, akizungumza na Viongozi wa Jumuiya za Kiislam na Wadau wac Sekta ya Utalii Zanziba...

: Hali Ilivyokuwa Usiku na Mchana wa Jana katika Mi...

Van Persie won’t say yes to Arsenal until they bring in top players

Van Persie won’t say yes to Arsenal until they bring in top players

TWIGA STARS WAGONGWA 2-1 NA ETHIOPIA

 TWIGA STARS WAGONGWA 2-1 NA ETHIOPIA: Twiga Stars TIMU ya taifa ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars, imeanza vibaya kampeni za kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la ...

Ghasia za sababisha uharibifu wa mali Zanzibar

Ghasia za sababisha uharibifu wa mali Zanzibar

Hali Ilivyokuwa Usiku na Mchana wa Jana katika Mi...

Sunday, May 27, 2012

Waziri wa nchi ofisi ya makamo wa pili wa rais, Mohd Aboud.
Kamishna mkuu wa jeshi la polisi Zanzibar, Mussa Ali Mussa..

Taarifa ya SMZ ya matukio ya uvunjifu wa amani

Posted on May 27, 2012 by zanzibaryetu

Aidha, serikali iliwasihi viongozi hao kuepuka matumizi ya lugha na vitendo vinavyoashiria uvunjifu wa amani katika nchi yetu na iliwataka pale ambapo wana maoni yoyote kuhusu serikali wafuate taratibu zilizowekwa na serikali itakuwa tayari kuzungumza nao ili kuwa na mustakabali mwema katika nchi yetu. Vile vile, kupitia taarifa maalumu ya serikali iliyotolewa Aprili Mei mwaka huu serikali ilieleza wazi kwamba tume ya marekebisho ya katiba imezinduliwa rasmi na kuwataka wananchi, taasisi na vikundi mbali mbali nchini vyenye nia ya kutaka kuelimisha umma kuhusu marekebisho ya katiba kufuata muongozo wa sheria namba 8 ya mwaka jana kama ilivyorekebishwa na sheria namba 2 ya mwaka huu 2012.

Taarifa rasmi ya serikali kwa wananchi kuhusu matukio ya uvunjifu wa amani nchini

Itakumbukwa kwamba tarehe 25 Aprili, 2012 Kamati Maalumu ya Mawaziri ilikutana na viongozi wa jumuiya ya Uamsho, Maimamu na Masheikh kuzungumzia hali iliyojitokeza nchini katika kufanya mihadhara ambayo ilikuwa inaashiria uvunjifu wa amani.

Katika kikao hicho serikali iliwataka viongozi hao wanapofanya mihadhara na mikutano inayohusu masuala ya maoni ya katiba wafuate taratibu zilizowekwa kisheria.

Aidha, serikali iliwasihi viongozi hao kuepuka matumizi ya lugha na vitendo vinavyoashiria uvunjifu wa amani katika nchi yetu na iliwataka pale ambapo wana maoni yoyote kuhusu serikali wafuate taratibu zilizowekwa na serikali itakuwa tayari kuzungumza nao ili kuwa na mustakabali mwema katika nchi yetu.

Vile vile, kupitia taarifa maalumu ya serikali iliyotolewa Aprili Mei mwaka huu serikali ilieleza wazi kwamba tume ya marekebisho ya katiba imezinduliwa rasmi na kuwataka wananchi, taasisi na vikundi mbali mbali nchini vyenye nia ya kutaka kuelimisha umma kuhusu marekebisho ya katiba kufuata muongozo wa sheria namba 8 ya mwaka jana kama ilivyorekebishwa na sheria namba 2 ya mwaka huu 2012.

Kwenda kinyuma na sheria hii ni kosa la jinai na hivyo iliwataka wananchi wote kujiepusha na vitendo vyote vinavyokwenda kinyume na matakwa ya sheria.

Ndugu wananchi mbali na juhudi hizo za serikali bado wapo watu wachache wasioitakia mema nchi yetu na umoja uliopo wanaendeleza kwa makusudi vitendo vya kuvunja taratibu za sheria jambo ambalo limepelekea jeshi la polisi kuchukua hatua za kisheria.

Ndugu wananchi serikali imesikitishwa na vitendo vilivyojitokeza vya vurugu na uvunjifu wa amani ambavyo vimeelezwa kwa kina na jeshi la polisi iliyotolewa mapema leo tarehe 25.05.2012 na kamishana wa polisi zanzibar.

Kutokana na hali hiyo serikali inawahakikishia wananchi wote kwamba itaendelea kudhibiti vitendo vyovyote vya uvunjifu wa sheria vinavyoashiria kuondolea nchi yetu amani na utulivu uliopo.

Ndugu wananchi serikali inawahakikishia wananchi kwamba jeshi la polisi litaendelea kuchukua hatua zifaazo ili kuwahakikishia usalama wa raia na mali zao unakuwepo na hali inaendelea kuwa shuwari amani na utulivu.

Ndugu wananchi bado serikali inasisitiza na kuwaomba wananchi wote waunge mkono juhudi za serikali na kuwacha kabisa kujiingiza katika vitendo ambavyo vinaashiria uvunjifu wa amani na utulivu katika nchi yetu.

Hivyo tunawaomba wananchi waendelee na shughuli zao kama kawaida na serikali itaendelea kuwahakikishia usalama wao.

Aidha serikali inawaomba wazazi kuwadhibiti vijana wao wasijiingize katika vitendo viovu na vurugu kwani jeshi la polisi na vikosi vyote vya ulinzi na usalama vitakuwa macho kupambana na vurugu hizo na vitendo vyote vya uvunjifu wa amani.

Kwa madhumuni ya kudhibiti amani na utulivu na usalama wa wananchi wetu serikali katika kipindi hiki itachukua hatua zifuatazo:

1. Inakataza mikusanyiko ya aina mbali mbali, maandamano, na mihadhara ya aina mbali mbali ambayo haijapata kibali cha serikali.
2. Serikali inaliagiza jeshi la polisi kuwatafuta na kuwafikisha katika vyombo vya sheria wale wote waliohusika na kufanya fujo zilizotokea katika maeneo mbali mbali ya zanzibar
3. serikali inakemea vikali vitendo vyote vya hujuma na uharibifu wa amali zilizofanywa katika taasisi za umma, dini na mali za watu binafsi.
4. Serikali inawapa pole wananchi na taasisi zilizoathirika na vurugu hizo na kuwahakikishia kuwa hatua kali zitachukuliwa dhidi ya wale wote waliohusika katiak kadhia hiyo.
Na mwisho tunawaomba wananchi kushirikiana na serikali kwa kutoa taarifa kwa jeshi la polisi pale ambapo itaonekana zipo dalili za uvunjifu wa amani katika maeneo yao.

Ahsanteni

Nawashukuru kwa kunisikiliza.

Mohammed Aboud Mohammed, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Zanzibar.


Barry injury only concern for satisfied Hodgson

Barry injury only concern for satisfied Hodgson

Usiku wa kuamkia leo hali ilikuwa hivi, lakini Mungu atujalie imani ili tusifike kubaya zaidi Wazanzibar ni watu waungwana na watiifu kunako mambo. Inasemekana na  habari zisizo na uhakika kwamba baadhi ya viongozi wa jumuiya wamekamatwa,lakini hakuna chombo kilichothibitisha halii hii.

Dozens of children killed in new Syria attack

Dozens of children killed in new Syria attack


Askari wa kutuliza ghasia [FFU] wakizunguka katika mji wa Zanzibar kuhakikisha kwamba, hali inakuwa shwari na shughuli kurudi katika hali ya kawaida.
. Sehemu za Michenzani inavyoonekana katika picha hii jinsi, ilivyo, hii ni katikati ya mji wa Zanzibar.Mungu ibariki Zanzibar na watu wake wote,sisi tunaomba amani tu itawale.

Saturday, May 26, 2012


Baadhi wa wanawake wa kiislamu wa Zanzibar wakiandamana  kwa amani barabarani pamoja na Jumuiya ya uamsho na mihadhara ya kiislamu Zanzibar,wakiishindikiza serekali ya Zanzibar na Muungano juu ya uhuru wa Wazanzibar.Hii inaonesha jinsi gani wananchi wanauelewa juu mbabo yao, yanayowahusu. Kila mtu ana haki ya kikatiba juu ya maamuzi ya nchi yake.

Mahafali ya Chuo Cha Afya Mbweni Zanzibar.

 Mahafali ya Chuo Cha Afya Mbweni Zanzibar.:  Mkurugenzi Mkuu Wizara ya Afya Dk Malik Abdalla na Walimu wa Chuo cha Afya Mbweni wakipokea maandamano ya Wahitimu ya Fani mbalimbali ka...

Mahafali ya Chuo Cha Afya Mbweni Zanzibar.

Mahafali ya Chuo Cha Afya Mbweni Zanzibar.:  Mkurugenzi Mkuu Wizara ya Afya Dk Malik Abdalla na Walimu wa Chuo cha Afya Mbweni wakipokea maandamano ya Wahitimu ya Fani mbalimbali ka...

MEMORIAL WEEKEND DAY I IN COLUMBUS, OHIO

 MEMORIAL WEEKEND DAY I IN COLUMBUS, OHIO:  Walimbwende wakiingia kuselebuka na kuanza Memorial weekend kwa African Flava Night kwenye kiota cha The Palace on the Square. Juu n...

TANZANIA BEGA KWA BEGA NA UNDP KUJENGA AFRIKA YENY...

TANZANIA BEGA KWA BEGA NA UNDP KUJENGA AFRIKA YENY...: Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa UNDP nchini Tanzania Dk. Alberic Kacou akizungumza kwa niaba ya UNDP kuhusiana na kuzindu...

WABUNGE WA UKRAINE WAZICHAPA KAVU KAVU MJENGONI

WABUNGE WA UKRAINE WAZICHAPA KAVU KAVU MJENGONI: Wabunge wa nchini Ukraine wakizichapa kavukavu wakati wakiwa katika moja ya Kikao cha Bunge nchini humo baada ya kupishana msimamo kuhus...

MAKAMANDA WA CHADEMA WAMEANZA KUINGIA WASHINGTON D...

MAKAMANDA WA CHADEMA WAMEANZA KUINGIA WASHINGTON D...: Libe Mwangombe Akiwa na Mh Nassari Joshua(aka) Dogo Janja Na Mh Mchungaji Msigwa Ndani Ya Capital Tayari Kwa Mkutano Wa Chadema Juma...

Friday, May 25, 2012

Hukumu ya Kesi ya Mh. John Mnyika

 Hukumu ya Kesi ya Mh. John Mnyika: Mahakama Kuu Kanda ya dar es Salaam leo imemtangaza mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika (Chadema) kuwa ni mbunge halali wa jimbo hilo. ...

Hafla ya Uzinduzi wa Kampeni mpya ya Bia ya Kilima...

Hafla ya Uzinduzi wa Kampeni mpya ya Bia ya Kilima...:  Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Lager,George Kavishe akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni mpya ya  100% Tanzania Flava iliyofanyika usiku...

TANZANIA BEGA KWA BEGA NA UNDP KUJENGA AFRIKA YENY...

TANZANIA BEGA KWA BEGA NA UNDP KUJENGA AFRIKA YENY...: Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa UNDP nchini Tanzania Dk. Alberic Kacou akizungumza kwa niaba ya UNDP kuhusiana na kuzindu...

Monday, May 21, 2012

Nchi za Kiarabu zataka suluhisho la haraka kwa mzozo wa Sudan

Nchi za Kiarabu zataka suluhisho la haraka kwa mzozo wa Sudan

Mahafali ya 14 ya Madrasat Nuur Islamiyat ya Ukuta...

Mahafali ya 14 ya Madrasat Nuur Islamiyat ya Ukuta...:     Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad. akihutubia katika mahafali ya 14 ya Madrasat Nuur Islamiyat ya Ukutani...

 Wananchi wakiangalia Samaki aina ya Papa aliyevul...

  Wananchi wakiangalia Samaki aina ya Papa aliyevul...:  Wananchi wakiangalia Samaki aina ya Papa aliyevulia katika bahari ya Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja, ambaye anakisiwa kuwa na kilo 150,...

ANKAL ATINGA KIJIJI CHA SWAHILI

 ANKAL ATINGA KIJIJI CHA SWAHILI:    Ankal akiwa na Deo Ruta nje ya Ofisi za Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani.  Ankal akiwa na mkula wa Mgahawa wa Kijiji cha Swah...

TANZANIA DMV YAFUNGWA 2-1 NA PORTUGAL

TANZANIA DMV YAFUNGWA 2-1 NA PORTUGAL: Timu ya Portugal Timu ya Tanzania, DMV mashabiki jukwaa la Tanzania DMV Jukwaa la mashabiki wa Portugal Picha juu na ch...

Taswila za vingozi wa Chama cha CCM, DMV wakiwa na...

Taswila za vingozi wa Chama cha CCM, DMV wakiwa na...:   Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mh. Rais Jakaya Kikwete akipata picha ya pamoja na viongozi wa CCM Washington D.C (DMV) Loveness Mamuya(Mwenye...

MTANZANIA WA KWANZA KUPANDA MLIMA EVEREST AMEFIKA ...

 MTANZANIA WA KWANZA KUPANDA MLIMA EVEREST AMEFIKA ...:   Mtanzania Wilfred Moshi, ambaye ni mtanzania wa kwanza kuipandisha bendera yetu katika mlima mkubwa kuliko yote, amefanikiwa kuifikis...

Megrahi afariki kutokana na saratani

Megrahi afariki kutokana na saratani

Sunday, May 20, 2012

ASYA IDAROUS KHAMSIN AFANYA VITU NYAKE, NC

 ASYA IDAROUS KHAMSIN AFANYA VITU NYAKE, NC:  Watanzania wa North Caroliana wakinunua vitu mbali mbali kutoka kwa mwanamitindo wa kimataifa aliyebobea, Asya Idarous Khamsin alipokua Nor...

SPIKA WA BUNGE AWEKA SHADA LA MAUA KATIKA ENEO LA ...

 SPIKA WA BUNGE AWEKA SHADA LA MAUA KATIKA ENEO LA ...:   Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda akioneshwa na Naibu Meya wa Mji wa Hiroshima  Mhe. Aramoto  sehemu maalum ya kuweka mashada kwa lengo la k...

Wafanyakazi Bora wa Mamlaka ya Bandari (TPA) watem...

Wafanyakazi Bora wa Mamlaka ya Bandari (TPA) watem...: Mwenyekiti wa DOWUTA Bandari ya Dar es Salaam Bw. Athman Mkangara akiwa na baadhi ya wafanyakazi bora katika hoteli ya Serena Ngorongoro. Ba...

CCM Yazinduwa Tovoti yake Mjini Dodoma.

CCM Yazinduwa Tovoti yake Mjini Dodoma.:  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akizinduwa Tovoti ya Chama cha Mapinduzi Mjini Dodoma jana.  Mwenyekiti w...

DK..Shein Akutana na watendaji wa Wizara ya Habari...

DK..Shein Akutana na watendaji wa Wizara ya Habari...: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,utamaduni n...

"Food Security at the G-8: Changing the developmen...

"Food Security at the G-8: Changing the developmen...:  President Barak Obama of the United States of America delivers his Keynote Speech at the opening of the symposium themed "Food Security ...

KUELEKEA SAFARI YA MWISHO YA KIPENZI CHETU PATRICK...

 KUELEKEA SAFARI YA MWISHO YA KIPENZI CHETU PATRICK...: Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Shabaan Nditi, Juma Nyosso, na Bocco wakiwa wamebeba jeneza la mchezaji mwenzio Patrick M...

KUTOKA MUNICH: MTANZANIA DJ MAX AMBAYE NI SHABIKI ...

KUTOKA MUNICH: MTANZANIA DJ MAX AMBAYE NI SHABIKI ...: DJ Max mtanzania ambaye anaishi Munich. Huyu ndio mwenyeji wangu ambaye ananisaida kunitembeza mjini hapa na kuelekeza juu ya vitu tofauti...

KUTOKA MUNICH: POMBE NDIO KINYWAJI KINACHOONGOZWA ...

 KUTOKA MUNICH: POMBE NDIO KINYWAJI KINACHOONGOZWA ...: Katika siku mbili nilizokaa hapa Munich nimegundua watu hapa hasa mashabiki wa soka wanapenda sana kunywa pombe. Pombe ndio kinywaji wanach...

FAHARI YA AFRICA: DIDIER DROGBAAAAAAAAAA - APIGA G...

FAHARI YA AFRICA: DIDIER DROGBAAAAAAAAAA - APIGA G...: Klabu ya Chelsea imefanikiwa kutwaa taji lake la kwanza la michuano ya klabu bingwa ya Ulaya tangu kuanzishwa kwake. Chelsea wamekuwa mabi...

SIKU YA MWISHO YA MAFISANGO JUU YA ARDHI - HARUNA ...

 SIKU YA MWISHO YA MAFISANGO JUU YA ARDHI - HARUNA ...: Michael Momburi, Kinshasa SAFARI ya mwisho ya kiungo wa Simba, Patrick Mafisango kuonekana duniani, inakamilishwa leo wakati sanduku leny...

Friday, May 11, 2012

Airtel Yatoa Msaada wa Madawati na Mipira kwa shul...

Airtel Yatoa Msaada wa Madawati na Mipira kwa shul...:  Msanii wa kizazi kipya Ambwene Yesaya maarufu kama AY, akiwatumbuiza wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Maarifa iliyopo Gongo La Mboto nje k...

BREAKING NEWS: ADIDAS KUIDHAMINI TAIFA STARS

BREAKING NEWS: ADIDAS KUIDHAMINI TAIFA STARS: Habari za uhakika nilizozipata kutoka ndani ya shirikisho la soka Tanzania TFF ni kwamba kampuni ya utengenezaji wa mavazi ya Adidas imein...

Wednesday, May 9, 2012

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AMTEMBLEA WAZIRI MWANDOS...

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AMTEMBLEA WAZIRI MWANDOS...: Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mark Mwandosya wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es Salaam kumj...

Obama invites four Africa leaders to Camp David

Obama invites four Africa leaders to Camp David: US President Barack Obama has invited four African Leaders to Camp David for a G-8 Summit to be held on May 19. The four leaders ...

JOSHUA NASSARI ARIPOTI KITUO KIKUU CHA POLISI MKOA...

 JOSHUA NASSARI ARIPOTI KITUO KIKUU CHA POLISI MKOA...:  Wakili Albert Msando akizungumza na waandishi wa habari jana katika makao makuu ya Jeshi hilo mkoani Arusha akiwa na  Mbunge wa Jimbo l...

WAWAKILISHI WA BONGO BBA HAWA HAPA-GPL

WAWAKILISHI WA BONGO BBA HAWA HAPA-GPL: Wawakilishi wa Tanzania ndani ya Big Brother ‘StarGame’ 2012, Julio na Hilda. 
 Sifael Paul na Intaneti KITENDAWILI cha nani anaiwa...

TANZANIA YAICHAPA LESOTHO 57-13 MICHUANO YA AFRIKA...

 TANZANIA YAICHAPA LESOTHO 57-13 MICHUANO YA AFRIKA...: Kikosi cha timu ya Taifa ya Lesotho. Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akisalimiana na wachezaji wa timu ya Taifa ya Netiboli ya Tanzania 'T...

Heavy rain may cause more flooding

Coleen and Wayne Rooney's rainy day at the races

Coleen and Wayne Rooney's rainy day at the races

Sunday, May 6, 2012

LIVE MATCH CENTRE: SIMBA 5-0 YANGA FULL TIME

: LIVE MATCH CENTRE: SIMBA 5-0 YANGA FULL TIME: KICK OFF: SIMBA VS YANGA DK: 1 - Emmanuel Okwi wanawainua Simba vitini JUKWAA LA MASHABIKI WA YANGA WANASIMBA Young African...

SIMBA YAFANYIA UNYAMA YANGA YAIBANJUA 5-0

 SIMBA YAFANYIA UNYAMA YANGA YAIBANJUA 5-0: Mchezaji wa timu ya Simba mganda Emmanuel Okwi akishangilia goli mara baada ya kuifungia timu yake goli la kuongoza katika mchezo wa kum...

PAPISS DEMBA CISSE: KLABU TANO KUBWA BARANI ULAYA ...

 PAPISS DEMBA CISSE: KLABU TANO KUBWA BARANI ULAYA ...: Kipindi cha kiangazi mwaka 2011 wakati Papiss Cisse akiwa anaichezea SC Freiburg - akiwa amefunga magoli 22 katika mechi 32 za Bundesliga - ...

DROGBA AENDELEZA MAAJABU WEMBLEY - AIONGOZA CHELSE...

DROGBA AENDELEZA MAAJABU WEMBLEY - AIONGOZA CHELSE...: Chelsea vs Liverpool 2-1 All Goals & Highlights... by kofiswag

DROGBA AENDELEZA MAAJABU WEMBLEY - AIONGOZA CHELSE...

 DROGBA AENDELEZA MAAJABU WEMBLEY - AIONGOZA CHELSE...: Chelsea vs Liverpool 2-1 All Goals & Highlights... by kofiswag

PREVIEW SIMBA NA YANGA

PREVIEW SIMBA NA YANGA: Simba VIKOSI: SIMBA: Juma Kaseja, Nassor Chollo, Amir Maftah, Shomary Kapombe, Kelvin Yondan, Patrick Mafisango, Uhuru Suleiman, Mw...

Saturday, May 5, 2012

Ripoti yasema polisi Kenya wanawanyanyasa wakimbizi

Ripoti yasema polisi Kenya wanawanyanyasa wakimbizi

Baraza Jipya la Mawaziri

 Baraza Jipya la Mawaziri: 1.OFISI YA RAIS Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais ( Mahusiano na Uratibu ) Ndugu Stephen M. Wasira, Mb., Waziri wa Nchi, Ofisi ya Ra...

BAADHI YA MAWAZIRI WALIOPOTEZA NAFASI ZAO

 BAADHI YA MAWAZIRI WALIOPOTEZA NAFASI ZAO: Aliyekuwa Waziri wa Fedha, Mhe. Mustafa Mkulo. Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. William Ngeleja. Aliyekuwa Wa...

Polisi yasomba wapigadebe Posta Mpya

Polisi yasomba wapigadebe Posta Mpya: Juu na chini ni WAPIGADEBE wanne wamekamatwa katika kituo cha mabasi cha Posta Mpya kwa tuhuma za kuwabughudhi abiria kituoni hapo. ...

SOKO LA MITUMBA TANDALE LAUZWA KINYUME NA SHERIA

SOKO LA MITUMBA TANDALE LAUZWA KINYUME NA SHERIA: Wafanyabiashara ya mitumba wakiwa wamepanga bidhaa zao jana uku kipande cha soko hilo la mitumba lililopo Tandale Dar es salaam ikiwa in...

MASHINDANO YA KUMI BORA YAFANA ILALA

 MASHINDANO YA KUMI BORA YAFANA ILALA:  Mpambano ni mkali kweli kweli   Bondia Hamisi Nassoro kushoto akioneshana uwezo wa kutupa masumbwi na Charo Issa wakati wa mashindan...

Thursday, May 3, 2012

Mama Asha Atembelea Soba House Pemba

 Mama Asha Atembelea Soba House Pemba:   Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar   Mama Asha Suleiman   Iddi akizungumza na Vijana wanaobadilishwa tabia katika Nyumba ya Kuba...

Wednesday, May 2, 2012

Maonesho ya Wafanyakazi Mei Mosi Viwanja vya Amani...

 Maonesho ya Wafanyakazi Mei Mosi Viwanja vya Amani...: Mfanyakazi wa Shirika la  Posta Kanda ya Zanzibar Khamis Suwed, akitowa maelezo kwa mteja aliyefika katika  banda lao katika maones...

Ligi Kuu ya Zanzibar Jamuhuri na Zimamoto yatoka k...

Ligi Kuu ya Zanzibar Jamuhuri na Zimamoto yatoka k...:  Wachezaji timu ya Jamuhuri wakimlalamikia mshika Kibendera kwa kuwaminyia mchezaji wa timu ya Zimamoto amefunga goli akiwa ameotea, na ...

Waziri wa Biashara na Viwanda Nassor Mazrui akifun...

 Waziri wa Biashara na Viwanda Nassor Mazrui akifun...:  Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Nassor Mazrui, akifunga maonesho ya Wafanyakazi ya Mei Mosi katika Viwanja vya Amaan nj...

WASIKILIZE HAPA WAZEE WA YANGA

SHOMARI KAPOMBE NA FELIX SUNZU WATAKIWA TP MAZEMBE...

 SHOMARI KAPOMBE NA FELIX SUNZU WATAKIWA TP MAZEMBE...: SIKU mbili baada ya kuonyesha kiwango cha juu katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika, kiraka wa Simba, Shomari Kapombe na mshambuliaji...

ZANTEL YAZINDUA OFA MBILI MPYA- UHURU KWA TANZANIA...

ZANTEL YAZINDUA OFA MBILI MPYA- UHURU KWA TANZANIA...: Mkurugenzi wa Biashara wa Zantel Zanzibar Mohammed Mussa akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na viwango vya Umoja ambavy...

CRISTIANO RONALDO, BENZEMA NA HIGUAIN WAVUNJA REKO...

 CRISTIANO RONALDO, BENZEMA NA HIGUAIN WAVUNJA REKO...: C ristiano Ronaldo, Benzema na Higuain wametengeneza historia mpya kwenye La Liga baada ya kila mmoja magoli 20 au zaidi katika ligi...

Tuesday, May 1, 2012

Leo ni siku ya wafanyakazi duniani

Leo ni siku ya wafanyakazi duniani

CHUMBE ISLAND ZANZIBAR

Chumbe Island is the most beautiful island, which conserve envirounment from pollution, hotels and bangalows are situated in the island, they provide including seafoods, all types, crabs, octopus, fish, shells, lobstar, and other kind of food, they provide also diving trip, snorking and sea playing with dolphin are situated in the isles

lukwangule entertainment: Waswidi wakishangaa sehemu ya kanisa mkunazini

lukwangule entertainment: Waswidi wakishangaa sehemu ya kanisa mkunazini: Watalii kutoka Sweden wakitembelea sehemu za historia za mji mkongwe wa Zanzibar kwenye kanisa la Anglican, Mkunazini kama walivyokutwa na ...

RED COLLOBUS IN ZANZIBAR


Red clobus is situated only in Zanzibar, nowhere in the world except in Zanzibar at Jozani forest, at south region in Zanzibar, please come to Zanzibar and visit the red colobus an excited monkey, where they play with people very closely.

SLAVE TRADE IN ZANZIBAR

SLAVE TRADE

During slavery, Zanzibar played as the main market for selling and buying human beings as other commodities. It was the last one to be established in the history of slave trade and was officially closed in 1873. After the abolition, some people were still going on with such trade illegally. They Used to transport their goods (slaves) secretly to mangapwani where there were underground slave caves and chambers and kept them there before being exported to overseas. Join Us to get the real detailed history as this tour include a visit to some very important slavery related historical sites such as the horrible underground slave caves and chambers, former slave market , Tippu-Tip house, Kelele square ( A site where the arrival slaves were unloaded from the local dhows), Dr Livingstone house etc.

HOUSE OF WONDER ZANZIBAR

The house of wonder was the historical house in East central Africa. Situated in stone town in Zanzibar, it was the first house to have lift, electrical services. Now this house used in memory issues, where by history of Zanzibar was situated there come in Zanzibar and you will see it.

Siku ya Wafanyakazi Mei Mosi Viwanja Ukumbi wa Sal...

Rais Jakaya Kikwete awasili Tanga leo

 Rais Jakaya Kikwete awasili Tanga leo:    Picha juu na chini ni  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mamia ya wakaazi wa jiji la Tanga leo April 30, 2012 baada ya kuwasili ...

Takukuru yawachunguza Mawaziri wanaotuhumiwa

Takukuru yawachunguza Mawaziri wanaotuhumiwa: Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dk Edward Hoseah Boniface Meena SAKATA la ufisadi ulioanikwa kwenye ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa ...

DUH!!! MAKUBWA HAYA SHABIKI MAN U

KALI YA LEO: CHEKA NI MCHAWI - ALINIROGA NA KIFO C...

 KALI YA LEO: CHEKA NI MCHAWI - ALINIROGA NA KIFO C...: Mada Maugo. Baada ya pambano la juzi kati ya mabondia Francis Cheka na Mada Maugo, stori kubwa kwenye midomo ya wat...

DIAMOND AFANYA MAMBO MAKUBWA DAR LIVE

 DIAMOND AFANYA MAMBO MAKUBWA DAR LIVE: Mwanamuziki Diamond  anayevuma kwa sasa hapa nchini  kifanya onyesho zito na la kukata na shoka mbele ya mashabiki wake  kwenye uku...

JE MBIO ZA UBINGWA NCHINI ENGLAND NDIO ZIMEISHIA H...

 JE MBIO ZA UBINGWA NCHINI ENGLAND NDIO ZIMEISHIA H...: Manchester City 1-0 Manchester United by goalsarena2012-3

It's not finished; United have easy games - Mancini

It's not finished; United have easy games - Mancini