Baadhi wa wanawake wa kiislamu wa Zanzibar wakiandamana kwa amani barabarani pamoja na Jumuiya ya uamsho na mihadhara ya kiislamu Zanzibar,wakiishindikiza serekali ya Zanzibar na Muungano juu ya uhuru wa Wazanzibar.Hii inaonesha jinsi gani wananchi wanauelewa juu mbabo yao, yanayowahusu. Kila mtu ana haki ya kikatiba juu ya maamuzi ya nchi yake.
No comments:
Post a Comment