Hapa hapiti mtu ndivyo inavyonekana akinena
beki wa timu ya Malindi Khamis Ibrahim Kapenta akimzuia mshambuliaji wa timu ya
Bandari Sharif Kitwana.
Wapenzi na Wanachama wa timu zinazoshiriki Ligi
Kuu ya Grand Malta wakifuatilia mchezo kati ya Malindi na Bandari uliofanyika
uwanja wa Amaan.
Mshambuliaji wa timu ya Bandari Sharif Kitwana
akimiliki mpira huku beki wa timu ya Malindi Khamis Ibrahim Kapenta akijaribu
kumzuia
Mchezaji wa timu ya Bandari Mohammed Hussein
akiwapita mabeki wa timu ya Malindi katika mchezo wa ligi Kuu ya Grand Malta
mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya Bandari imeshinda 3-2
Mshambuliaji wa timu ya Bandari Zanzibar Sharif
Kitwana akimiliki mpira katika mchezo wa ligu Kuu ya Grand Malta na huku beki wa
timu ya Malindi Samir Khamis akijiandaa kumzuia, timu ya Bandari imeshinda
3-2
Viongozi wa timu ya Malindi wakiwa wameduwaa
baada timu yao kulala kwa mabao 3-2, katika mchezowaxLigi Kuu ya Grand Malta
Zanzibar iliofanyika uwanja wa Amaan.
Wachezaji wa timu ya
Bandari Zanzibar wakishangilia gali lao la tatu waklati wa mchezo wa ligi Kuuya
Grand Malta Zanzibar, timu ya Bandari imeshinda 3-2
No comments:
Post a Comment