Pages

Monday, September 17, 2012

VURUGU ZILIZOJITOKEZA WAKATI WA UCHAGUZI JIMBO LA BUBUBU,LAKINI HALI NI SHWARI ASUBUHI HII



Kumekuwa na vurugu za hapa na pale, Polisi kupambana na vijana kwenye kituo cha kupigia kura wakati wa uchaguzi mdogo kumchagua Mwakilishi wa jimbo la Bububu Zanzibar jana. (

Polisi wa kutuliza ghasia wakiwa katika doria eneo la Bububu

Polisi wa kuzuia ghasai wakijaribu kuwadhibiti baadhi ya vijana waiokuwa karibu na kituo cha upigaji kura

Askari wa kutuliza ghasia pamoja na vikosi vya vbalantia wakishuka katika gari wakati weakidhibiti rabsha rabsha na purukushani zilizojitokea wakati wa upigaji kura
Mawakala wa vyama tofauti vilivyoshiriki katika uchaguzi wa bububu wakifuatilia kwa makini maendeleo ya zoezi hilo
Mmoja katika wapiga kura wa jimbo la Bububu akipiga kura yake
Picha zote na Martin Kabemba

No comments:

Post a Comment