WAISLAM WAANDAMANA KUTAKA KUACHIWA HURU KWA WALIOKAMATWA KWA KUPINGA SENSA
Umati wa Waislamu ukiwa umekusanyika nje ya Wizara ya Mambo ya Ndani kushinikiza wenzao waliokamatwa baada ya kugomea zoezi la Sensa. Picha hii imepigwa kwa kutumia simu ya Black Berry. Habari na picha zaidi zitawajia hapo baadae
No comments:
Post a Comment