Pages

Saturday, April 6, 2013

Kesi ya mauaji ya padri Mushi yaanza.

Mtuhumiwa wa mauaji ya Padri Evarist Mushi, Omar Mussa Makame (35) aliyevaa shati la rangi ya wardi amefikishwa Mahakama Kuu kwa tuhuma za mauaji ya kiongozi huyo wa dini kwa mara ya kwanza.
Mtuhumiwa na mshtakiwa ya mauaji ya Padri Evarist Mushi, Omar Mussa Makame (35), amefikishwa Mahakama Kuu kwa tuhuma za mauaji ya padri huyo kwa mara ya kwanza.

No comments:

Post a Comment