Pages

Wednesday, April 17, 2013

MAONESHO YA HUDUMA ZINAZOTOLEWA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI

Wanafunzi wa chuo kikuu cha sayansi ya tiba shirikishi Muhimbili waliotembea maonesho hayo wakipata maelezo kutoka kwa mkuu wa idara ya radiolojia.

 Idara ya upasuaji wa moyo ulihudhuriwa na watu wengi sana katika banda lao siku ya ufunguzi wa maonesho hayo wakiwemo wanafunzi wa chuo kikuu cha sayansi ya tiba shirikishi Muhimbili, maonesho hayo wamefunguliwa leo katika viwanja vya hospitali hio na yataendelea hadi Ijumma
 

 

 

 

No comments:

Post a Comment