Nchini Senegal, miereka ya kitamaduni inapendwa zaidi kuliko soka huku wachezaji wakijipatia pesa nyingi na hata kuwa watu maarufu. Katika sehemu nyingi za nchi mchezo huu ni wa wanaume pekee lakini katika maeneo ya mashinani , hususan Kusini mwa nchi, kuna historia ndefu ya wanawake kushiriki miereka na ndio maana timu yua taifa inajumuisha watu kutoka eneo hilo. Picha na maelezo: Laeila Adjovi.
Sirefina Diediou alijiunga na kikosi cha taifa mwaka jana. Anasema likuwa anapigana na vijana alipokuwa shuleni na ilimchukua mamake muda kukubali kuwa anapenda mchezo huu.
No comments:
Post a Comment