Pages

Sunday, May 26, 2013

TAIFA STARS KWENDA MOROCCO KUPITIA ETHIOPIA


Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuondoka leo (Mei 26 mwaka huu) usiku kwenda Addis Ababa, Ethiopia ambapo itaweka kambi na kucheza mechi moja ya kirafiki kabla ya kwenda Morocco.
 

No comments:

Post a Comment