Ufafiri wa kuaminika kati ya Visiwa vya Unguja na Pemba, ukiwa na uhakika wa kwenda na kurudi Pemba ukiwa wa uhakika, kama wanavyoonekana abiria wa boti ya Royal Express, wakishuka katika boti hiyo wakitokea kisiwani Pemba wakiwasili katika bandari ya Unguja wakitokea Pemba, tatizo la usafiri kati ya visiwa hivi imekuwa ya kupingia mfano. kutokana na hatua za wafanyabiashara kutowa huduma hiyo ya kwenda na kurudi siku hiyo hiyo.
No comments:
Post a Comment