Pages

Tuesday, August 14, 2012

TAIFA STAR KUELEKEA BOTSWANA

TAIFA STARS WAKWEA PIPA LEO ALFAJIRI KUELEKE GABORONE, BOTSWANA.

Wachezaji wa timu ya Taifa, Taifa Stars wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere tayari kwa kupanda ndege kwenda Gaborone, Botswana kwa ajili ya mechi ya kimataifa ya kirafiki itakayochezwa kesho Jumatano.
Nohodha wa timu ya Taifa,Taifa Stars Juma Kasseja akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere tayari kwa kupanda ndege kwenda Gaborone, Botswana kwa ajili ya mechi ya kimataifa ya kirafiki itakayochezwa kesho Jumatano.
Washambuliaji wa timu ya taifa, (Taifa Stars) Mrisho Ngassa (kulia) na Haruna Moshi Boban wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam kwa ajili ya safari ya kwenda Gaborone, Botswana kucheza mechi ya kirafiki ya kimataifa kesho Jumatano.
Wachezaji wa timu ya Taifa,Taifa Stars wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam,kwa ajili ya safari ya kwenda Gaborone, Botswana kucheza mechi ya kirafiki ya kimataifa kesho Jumatano.

Monday, August 13, 2012

2012 OLYMPIC LONDON

KUNDI LA ‘SPICE GIRLS’ KUPAGAWISHA KATIKA SHEREHE ZA KUFUNGA MICHEZO YA OLIMPIKI 2012.








Imefahamika kuwa lililokuwa kundi maarufu la muziki nchini Uingereza la ‘Spice Girls’ limeungana tena na linatarajiwa kufanya onesho kabambe wakati wa sherehe za kufunga michezo Olimpiki 2012 jiji London.
Hata kabla ya wanamuziki wenyewe wa kundi hilo kuthibitisha habari hizo, tayari kamera za mitandao ya habari zimewanasa wakifanya mazoezi kwa ajili ya ‘show’ ya siku ya Jumapili.
Kikosi kizima cha kundi hilo kinachoundwa na Victoria Beckham, Geri Halliwell, Emma Bunton, Mel C na Mel B wameonekana wakinya mazoezi ya nguvu yanayolenga kuuthibitishia umma uwezo wao.

MANCHESTER CITY AGAIN.

Sunday, August 12, 2012

TEVEZ, YAYA TOURE NASRI WAVUNJA DARAJA - WAIKUNG'UTA CHELSEA KWENYE NGAO YA JAMII.


Chelsea 2-3 Manchester City (Community Shield)... by goalsarena2012-3
 

END OF OLLYMPIC 2012 LONDON.

Feeling sad about the end of the Games? Eric Idle leads 80,000 crowd in rendition of Always Look on the Bright Side of Life

By IAN GARLAND

The audience at the Olympics closing ceremony were treated to a taste of Britain's comedy heritage tonight when Monty Python star Eric Idle appeared onstage.

The actor led the 80,000-strong crowd through a singalong rendition of Always Look on the Bright Side of Life, while a bizarre troupe of dancers performed around him.

They included jigging Morris Dancers, a choir of rugby players and skating nuns and when the song finished, a human cannonball was launched across the stadium.

He was followed by a performance by pop icons Queen, including vocals from Jessie J and from beyond the grave, by the band's late singer Freddie Mercury.

Comedy legend: Monty Python star Eric Idle appears at the Closing Ceremony to lead the audience through a singalong of his hit Always Look On The Bright Side of Life
Comedy legend: Monty Python star Eric Idle appears at the Closing Ceremony to lead the audience through a singalong of his hit Always Look On The Bright Side of Life

Finale: A heartstopping array of colours zigzag through the night sky above the Olympic Park as fireworks conclude the London 2012 Olympic Games
Finale: A heartstopping array of colours zigzag through the night sky above the Olympic Park as fireworks conclude the London 2012 Olympic Games

Alight: Fireworks explode into the London night sky as the Olympic closing ceremony comes to a spectacular end
Alight: Fireworks explode into the London night sky as the Olympic closing ceremony comes to a spectacular end

Inside the stadium, audience members and athletes look on as the Olympic Park is illuminated Inside the stadium, audience members and athletes look on as the Olympic Park is illuminated by a breathtaking display

It's over: Fireworks light up the Olympic Village in Stratford, east London as London 2012 draws to an emotional close
It's over: Fireworks light up the Olympic Village in Stratford, east London as London 2012 draws to an emotional close

Supermodel: As the stadium is turned into a giant catwalk, London-born model Kate Moss appears wearing a gold Alexander McQueen dress
Supermodel: As the stadium is turned into a giant catwalk, London-born model Kate Moss appears wearing a gold Alexander McQueen dress

Shimmering: Naomi Campbell, draped in gold, takes over, strutting in a dazzling gold McQueen dress with a long trainShimmering: Naomi Campbell, draped in gold, takes over, strutting in a dazzling gold McQueen dress with a long train

Within moments, The Beatles' hit Because, performed by London gospel choir Urban Voices Collective, merged into Edward Elgar's Salut d'Amour by cellist Julian Lloyd Webber on top of the Royal Albert Hall.

As the morning traffic jam came to life, newspaper-clad vehicles from black cabs and vintage cars to folding bikes revved their engines and honked their horns as newspaper-dressed businessmen and women portrayed a busy Monday morning on Waterloo Bridge.

Winston Churchill, played by King's Speech actor Timothy Spall, stood atop Big Ben reciting the same lines from Shakespeare's The Tempest which helped open the Games 16 days ago: "Be not afeard: the isle is full of noises."

As the deafening noise grew to a crescendo, Churchill brought the worldwide audience's focus to the royal box as a fanfare announced the arrival of Prince Harry and International Olympic Committee president Jacques Rogge.

As Union flags were waved from car windows, the packed stadium was led in the British National Anthem by the London Symphony Orchestra and the Urban Voices Collective.

Read more>>

DR ULIMBOKA AREJEA KUTOKA MATIBABUNI

Angalia na sikiliza kwa makini Video ya Dr Ulimboka alivyorejea nchini akitokea Afrika Kusini kwenye matibabu.

Picture: Dr. Ulimboka Stephen
Mwenyekiti wa jumuia ya madaktari Tanzania Dr Steven Ulimboka aliyekuwa nchini Afrika ya kusini kwa ajili ya matibabu baada ya Kutekwa kupigwa na watu wasiojulikana amerejea nchini na kulakiwa na madaktari wenzake,wanaharakati wa haki za binadam na wananchi wa kawaida.

WASIOLIPA MITIHANI SUZA KUZUILIWA.

Wasiolipa ada kutofanya mitihani SUZA


Kiongozi wa Serekali ya Wanafunzi akimuunesha orodha ya Wanafunzi ambao majina yao yanasubiri malipo yao kutoka Bodi ya Mkopo ya Elimu ya Juu .

Wanafunzi wa Chuo Kikuu ch Taifa Zanzibar SUZA, wakiwa nje ya Ofisi ya Mhasibu wa Chuo wakisubiri hatma yao, kuweza kufanya mitihani yao inayotarajiwa kufanyika wiki ijayo.

Wasiolipa ada kutofanya mitihani SUZA

Na Mwanajuma Mmanga

UONGOZI wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimezuwiya kufanya mitihani kwa wanafunzi wote ambao hawajakamilisha ada za masomo hali ambayo imepelekea mgongano na mizozo baina ya wanafunzi na uongozi wa chuo hicho.

Kauli hiyo imetolewa na wanafunzi wa chuo hicho walipokuwa katika maandamano ya kudai haki yao kufanya mitihani hiyo.

Mmoja miongoni mwa wanafunzi wa chuo hicho Ali Kombo alisema wiki moja baadae tunatarajia kufanya mitihani hiyo ghafla wanapokea taarifa ya kuwa kila mwanafunzi hajakamilisha malipo ya ada hatomruhusu kufanya mtihani jambo ambalo ni kinyume na matakwa yao.

Pia alisema kuna baadhi ya wanafunzi wanalipiwa na bodi ya mikopo la taifa lakini mpaka sasa hawajaingiziwa fedha hizo hali ambayo inarejesha nyuma masomo yao.

"Sisi baadhi yetu tushalipiwa na bodi kwa asilimia 90 na kumebaki asilimia 10 tu kwanini wakatuzuilia kutofanya mitihani hiyo. hii fedha kama asilimia 80 ishalipiwa na bodi wakati hela hiyo inakuja moja kwa moja inaingia kwenye akaunti" alisema.

Kwa upande wa Rais wa Serikali ya wanafunzi wa chuo hicho Ali Sharifu Kombo, alisema kuwa yeye binafsi kwa kushirikiana na uongozi wa serikali yake wameshafuatilia kwenye bodi ya mikopo Tanzania na kuhakikishiwa kuwa fedha hizo tayari wameshaingiziwa.

Makamu Mkuu wa chuo hicho Profesa Idrisa Rai alisema fedha za wanafunzi hao bado hazijaingizwa nao kama uongozi wanalalamikia kudai ada za masomo ya wanafunzi kwa lengo la maendeleo ya chuoni hapo.

Sambamba na hilo Nae Kaimu Meneja wa Bodi ya Mikopo Tanzania, Patric Show alisema fedha za wanafunzi hao tayari zimeshaingiziwa katika akaunti zao na hivyo inawezekana ikawa ni kuchelewa kwa mawasiliano baina ya bodi na Uongozi wa chuo hicho.

Meneja huyo wa bodi hiyo alisema mchakato mzima uliosababisha kuchelewa kwa kufika barua hiyo katika bodi ya mikopo Dar es Salaam kwa muhusika mkuu ni Sajent wa bodi, lakini kumbe kabla ya hapo Mhasibu wa chuo hicho, Rukia tayari ameshaingiziwa tokea jana.

Kutokana na kuchelewa kwa kupelekwa kwa barua hiyo tayari zimeshaingizwa ndani ya akaunti zao kwa kila mwanafunzi ambae yuko chuoni hapo.

Meneja huyo amekiri kuwa fedha hizo tayari zimeshaingizwa ndani ya akaunti hizo jumla ya shilingi milioni 13, kwa orodha ya wanafunzi 58 wa chuo SUZA.

Hivyo amewataka wanafunzi hao kuwa wastahamilivu katika kuvuta subra na kuwa wasikivu kwani mipango yote ishakaa sawa na kila mmoja atapata haki yake na atafanya mtihani huo.




Friday, August 10, 2012

BOLT LEGAND.

01:09

Day 13 Review: Golden night for 'legend' Bolt

Not content with just becoming a legend, Usain Bolt claimed he is 'the greatest athlete to live' after becoming the first man to win the Olympic Games sprint double twice in succession.
Usain Bolt of Jamaica
Usain Bolt celebrates during the Victory Ceremony for the men's 200m on Day 13 at London 2012.
While millions would already consider Bolt a legend for winning triple gold in Beijing and defending his 100m title at London 2012 on Sunday, the Jamaican insisted he also had to retain his 200m title to achieve such status.
And the 25-year-old did precisely that with another imperious performance, leading a Jamaican clean sweep ahead of 100m silver medallist Yohan Blake and Warren Weir, both of whom are just 22.
'I'm now a living legend, I'm also the greatest athlete to live,' said Bolt, who said he gave up on breaking his own world record of 19.19 after feeling a twinge in his back coming off the top bend, settling for winning in 19.32.
'Now I am going to sit back, relax and think about what's next. I don't know what I really want to do after this, whether to run the 100 or 200 or try something else. I need to find a (new) goal that's going to motivate me to great things.
'But I am not ready to retire. I love this sport. The rest of the season I am just going to have fun because I did what I came here to do.'
Kenya's David Rudisha lit up the Olympic Stadium with a sensational victory in the 800m, breaking his own world record in the process.

Rudisha made the most of ideal conditions, storming through the first lap in 49.28 and powering to the gold medal in 1:40.91.
There was success for the USA as Christian Taylor added the Olympic title to his world Triple Jump crown and Ashton Eaton claimed Decathlon gold.
The final gold medal of the evening went to Czech Barbora Spotakova, who successfully defended her Javelin Throw title with a best effort of 69.55m.

ENGLAND VICTORY 2012 OLYMPIC.

Jones overcomes pain to win gold

Jade Jones fought through the pain barrier to land Britain's first taekwondo Olympic gold with a stunning victory over world champion Hou Yuzhuo of China in the women's under-57kg final at ExCeL.

Jade Jones of Great Britain celebrates with her gold medal
Jade Jones of Great Britain celebrates with her gold medal after the women's -57kg Taekwondo final on Day 13.
The Wales teenager - world silver medallist after being beaten by Hou in Korea last year - had opened her Olympic debut with an impressive 15-1 victory over Serbian Dragana Gladovic and dispatched Japan's Mayu Hamada 13-3 in the last eight before a late rally of trademark headkicks beat world number one Tseng Li-Cheng of Chinese Taipei.
The 19-year-old from Flintshire showed no fear in the final tonight against the Chinese fighter, closing out a 6-4 victory as South Arena 1 erupted.
Jones was not going to let anything get in the way of her Olympic dream.
"I hurt my foot in the very first fight, it was a kick to the shin, so I had an injection in it," said Jones.
"At first, I was whinging and feeling sorry for myself, but I just had to deal with because I wanted to win."

OLYMPIC 2012 ENGLAND.

Adams claims historic gold

Nicola Adams sealed her golden moment with an Ali shuffle as she overwhelmed China's double world champion Ren Cancan 16-7 to be crowned the first-ever Olympic women's Boxing champion at ExCeL.
Adams dropped Ren in the second round on her way to a comprehensive Fly Weight victory against an opponent who had beaten her in each of the previous two World Championships finals.
Adams made a superb start, producing much the cleaner work in the opening round, firing home a quick combination and a left hook and making it difficult for Ren to find her range as she bounced in and out of reach.
A beautiful straight left followed by a right hook towards the end of the round helped Adams into a deserved 4-2 lead, but it was far from over against the Chinese champion who stormed out for the second and landed a big right hand in a furious flurry of action.
Adams was completely unfazed, landing with a beautiful countering left, then a right as she bullied the Chinese fighter onto the ropes and unleashed a left followed by a chopping right which dumped Ren to the canvas for a count.
It was a staggering round by Adams, who took a 9-4 lead into the second half of the contest, but will have known to stay on her guard against an opponent who has dominated at the top of her division for four years.
In a quieter third, Adams proved a master at keeping Ren out of range, darting in to score with crisp counters, and at the end of the third the gold medal was almost hers after establishing a colossal 14-5 lead.

WATENDAJI MAHAKMA KUU KUAPISHWA.

Rais Kikwete amwapisha Mtendaji Mkuu wa Mahakama na wasajili

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amemwapisha Mtendaji mkuu wa Mahakama pamoja na Msajili mkuu wa Mahakama na msajili wa mahakama ya rufani katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam.Walioapishwa leo ni Mtendaji mkuu wa Mahakama Bwana Hussein Katanga,Msajili Mkuu wa Mahakama Bwana Ignus Paul Kitusi na Msajili wa Mahakama ya Rufani Bwana Panterine Muliisa Kente.Pichani Mtendaji mkuu wa Mahakama Bwana Hussein Katanga akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue(kushoto) pamoja na maofa waandamizi wa mahakama aliowaapisha leo asubuhi ikulu jijini Dar es Salaam.(Wapili kushoto) ni Mtendaji mkuu wa Mahakama Bwana Hussein Katanga,(Wanne kushoto) ni Msajili Mkuu wa Mahakama Bwana Ignus Paul Kitusi na kulia ni Msajili wa Mahakama ya Rufani Bwana Panterine Muliisa Kente(picha na Freddy Maro)

PROFESSOR MAHALU ASHINDA KESI

BALOZI MAHALU ASHINDA KESI ILIYOKUWA IKIMKABILI KATIKA MAHAKAMA YA KISUTU

Waandishi wa habari wakimfuata Balozi Profesa Mahalu akiwa pamoja na Mdogo wake Mirasi Rama wakitoka nje ya Mahakama ya Kisutu Mchana huu mara baada ya kushinda kesi iliyokuwa ikimkabili akidaiwa kununua nyumba ya Ubalozi wa Tanzania nchini Italia, Akisoma hukumu iliyosomwa kuanzia Saa sita leo na Hakimu Mfawidhi mkazi wa mahakama ya Kisutu Mh. Ilivin Mugeta imemtoa Balozi Profesa Mahalu katika hatia na kumwachia huru (PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWEBLOG)
Balozi Profesa Mahalu akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kushinda kesi yake katika mahakama ya kisutu leo.
Wakili wa Balozi Profesa Mahalu Bw. Alex Mgongolwa akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya mteja wake kushinda kesili iliyokuwa ikimkabili kwenye mahakama ya Kisutu jijini Dar es salaam.
Balozi Profesa Mahalu katikati akitoka nje ya mahaka ya Kisutu huku akiwa ameongozana na mdogo wake Mirasi Rama kulia ni Wakili wa kujitegemea Mabere Nyaucho Marando

RAIS KIKWETE AKIWASILI ACCRA, GHANA

Friday, August 10, 2012

RAIS JAKAYA KIKWETE AWASILI ACCRA KUSHIRIKI MAZISHI YA RAIS WA GHANA JOHN EVANS ATTA MILLS

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili jana Agosti 9, 2012 katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kotoko jijini Accra, Ghana, kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo Marehemu John Evans Atta Mills anayetarajiwa kuzikwa leo Ijumaa Agosti 10, 2012.

PICHA NA IKULU

HARAKATI ZA SIKUKUU, MAKAMO WA RAIS ATEMBELEA WAFANYA BIASHARA.

Maalim Seif Atembelea Wafanyabiashara wa Jua Kali Saateni Zanzibar.

Mfanyabiashara wa soko la Saateni Khamis Ali Mohd akitoa maelezo kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad kuhusiana na hali ya kudorora kwa biashara katika soko hilo, wakati Maalim Seif alipotembelea eneo hilo jana.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiulizia bei ya viatu, wakati alipofanya ziara ya kutembelea eneo la biashara la Saateni mjini Zanzibar.maaarufu kwa jina la jua kali.

Mfanyabiashara ya mitumba katika soko la Saateni akitoa maelezo kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad alipotembelea eneo hilo jana.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiangalia biashara ya mitumba, wakati alipofanya ziara ya kutembelea eneo la biashara la Saateni mjini Zanzibar.(Picha na OMKR)
Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Atembelea Wafanyabiashara Jua Kali. 

Na Hassan Hamad (OMKR).

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad ameelezea umuhimu wa kutafutwa muwekezaji kwa ajili ya kulijenga na kuliendeleza soko la saateni, ili kuweka mazingira bora ya kibiashara katika soko hilo.

Amesema mazingira yaliyopo sasa hayaridhishi kutokana na kutokuwa na miundombinu imara, hali inayowafanya baadhi ya wafanyabiashara kufikia uamuzi wa kulihama soko hilo na kuelekea darajani, eneo ambalo haliruhusiwi kwa wafanyabiashara wadogowadogo.

Maalim Seif ametoa kauli hiyo leo alipofanya ziara ya kutembelea soko la Saateni kuangalia hali ya biashara inavyokwenda hasa katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan.

Amesema iwapo soko hilo litaimarishwa na kuwekewa miundombinu ya kisasa, litaweza kuwavutia wafanyabiashara wengi na kupunguza tatizo la ajira kwa vijana ambao kwa kiasi kikubwa wamekuwa wakikabiliwa na tatizo hilo.

“Dawa ya kuwadhibiti wafanyabiashara wadogo wadogo walioko darajani ni kulijenga eneo la Saateni na kuwekea miundombinu ya kisasa, wala haina haja ya kutumia nguvu, watakuja wenyewe Saateni”, alifahamisha Maalim Seif.

Aidha ameuagiza uongozi wa baraza la manispaa Zanzibar kuharakisha ujenzi wa vyoo katika eneo hilo, ili kuwaondoshea usumbufu wafanyabiashara na wananchi wanaofika katika eneo hilo.

“Naomba kwa sasa kipaumbele kiwe ni ujenzi wa vyoo kwani wananchi wanaofika katika eneo hili na wengi na bila shaka watakuwa wanasumbuka”, aliagiza.

Sambamba na hilo, Makamu wa Kwanza wa Rais amesema soko la Saateni linaweza kuimarika zaidi iwapo kituo cha daladala cha darajani kitahamishiwa katika eneo hilo.

Kwa upande wao wafanyabiashara wa Saateni wamesema hali ya biashara katika eneo hilo sio nzuri, hali inayotokana na wananchi wengi kufikia eneo la darajani na kumalizia shughuli zao za kibiashara katika soko hilo.

Wamesema ni vigumu kwa sasa wananchi kwenda katika soko la saateni kutokana na usumbufu uliopo wa daladala, na kuomba kituo cha daladala kihamishiwe eneo la Saateni ili kuwawezesha wananchi kufika moja kwa moja katika soko hilo.

“Hatuwezi kuwa na masoko mawili katika nchi hii ndogo, tunaomba kituo cha daladala kihamishiwe Saateni kama tulivyoahidiwa, na serikali kutowaonea muhali wafanyabiashara wenzetu wadogowadogo walioko darajani, wawahamishe wawalete huku tuungane la si hivyo na sisi tutarejea darajani”, alitanabahisha mfanyabiashara mmoja wa soko hilo aliyejitambulisha kwa jina la Makame Mussa.

Mfanyabiashara mwengine wa soko hilo nd. Khamis Ali Mohd amesema biashara zao zimekuwa zikiyumba kutoka na wafanyabiashara wa Darajani kuendelea kuweko huko, na eneo la Saateni kusahauliwa kabisa kibiashara.

“Mimi ni mjenzi ambaye nililazimika kujenga milango kadhaa kutokana na ahadi tuliyopewa kuwa wafanyabisahara wa darajani wote watakauja huku, hivyo nilijenga kutokana na makubalianao yetu na manispaa kuwa asilimia 50 ya milango niwakodishe wafanyabiashara wanaotoka darajani, lakini hadi leo hakuna aliyekuja”, alilalamika Khamis huku akionyesha milango yake kadhaa iliyofungwa kwa muda mrefu bila ya kufanyiwa biashara yoyote.

Amesema awali alipanga kukodisha milango hiyo kwa shilingi 70 elfu kila mmoja lakini ameshindwa kupata mteja hata wa shilingi 40 elfu, kutokana na mwenendo mbaya wa biashara unaosababishwa na kuweko kwa wafanyabiashara na kituo cha daladala katika eneo la darajani.

Ameiomba serikali kufuatilia kwa karibu uimarishwaji wa soko la Saateni, ili kulifanya kuwa soko kubwa la kisasa litakalovutia wafanyabiashara wakubwa na wadogo, na hatimaye kupunguza tatizo la ajira kwa vijana.

Kwa upande mwengine wafanyabiashara hao wameiomba serikali kuangalia uwezekano wa kuweka matuta katika eneo hilo ili kuepusha ajali zinazoweza kujitokeza.

Nae Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Mwinyihaji Makame amesema serikali inaweka utaratibu wa kuweza kuwahamisha wafanyabiashara wadogo wadogo wa darajani ili waweze kuungana na wenzao walioko Saateni.

“Ukweli soko la darajani limevamiwa, hata ukienda katika eneo linalouzwa bidhaa za vyakula, lakini imebidi tufumbie macho kidogo kwa kipindi hiki, ili kupunguza usumbufu kwa wananchi wanaotafuta huduma mbalimbali ikizingatiwa kuwa ni mwezi mtukufu wa Ramadhani”, Alisema Dkt. Mwinyihaji Makame.

Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, kwa upande wake aliahidi kuimarisha mazingira ya kibiashara katika soko hilo, na kusisitiza haja ya eneo hilo kuwa ndio kituo kikuu cha daladala “bus stand”.

Hassan Hamad (OMKR).

OLYMPIC 2012, ITS JAMAICA AGAIN.

IT’S USAIN BOLT AGAIN, FASTEST 200M OF ALL TIME.


I’m No.1: Jamaica’s Usain Bolt storms to victory in the men’s 200m final.
No world record: Bolt glances at the official clock as he powers towards the finish line.
Jamaica 123: Bolt eased over the line in a time of 19.32, followed by Blake and Warren Weir, making it a Jamaica 1-2-3.
Bolt’s time, 19.32, was just outside the Olympic record of 19.30 that he set himself in Beijing.
Easy: After strolling to victory, Bolt dropped to the track and did press-ups in the shadow of the Olympic Flame.

Mr charisma: As thousands of cameras flashed around the stadium, Bolt grabbed a snapshot of his own.

Funnyman: Yohan Blake pulls a tiger impression for cameraman Usain Bolt.
Gold number 2: Usain Bolt admires his second gold medal of London 2012, after winning the 200m final.
Yohan Blake, Usain Bolt and Warren Weir celebrate their phenomenal 1-2-3 for Jamaica.

OLYMPIC 2012 ENGLAND.

KENYAN ATHLETE DAVID RUDISHA WINS 800M GOLD, BREAKS WORLD RECORD


David Rudisha of Kenya won the men’s 800 metres Olympic title on Thursday in a stunning world record of 1min 40.91sec.
The 23-year-old world champion pulled five metres clear of Nijel Amos of Botswana after taking control of the race from an early stage on a warm night in the Olympic Stadium in east London.
He charged down the home straight as the capacity crowd rose to their feet and crossed the line in a time which shaved a tenth of a second off the world record he set two years ago.
 

MZOZO WA ZIWA NYASA, HATIMAYE MALAWI YASALIMU AMRI KWA TANZANIA!!

 HATIMAYE MALAWI YASALIMU AMRI KWA TANZANIA!!: Siku chache baada ya Serikali ya Tanzania kupitia kwa waziri wake wa mambo ya nje Mh. Bernad Membe kuitaka Serikali ya Malawi kuondoa m...

Thursday, August 9, 2012

HUU NDIYO MSIMAMO WA WAMALAWI KUHUSU ZIWA NYASA!

HUU NDIYO MSIMAMO WA WAMALAWI KUHUSU ZIWA NYASA!: Lake Malawi/Nyasa row: Time to show strong leadership Joyce Banda - Rais wa Malawi Cedrick Ngalande - Mwandishi wa makala haya By Ce...

USAIN BOLT: SITANII, NDOTO YANGU NI KUICHEZEA MAN ...

 USAIN BOLT: SITANII, NDOTO YANGU NI KUICHEZEA MAN ...: Imagination - Usain Bolt ndani ya jezi ya United Binadamu mwenye kasi zaidi duniani Usain Bolt jana alimuomba Sir Alex Ferguson nafasi...

MSHAMBULIAJI HATARI SHAFFIH DAUDA ALIPORUDI DIMBAN...

MSHAMBULIAJI HATARI SHAFFIH DAUDA ALIPORUDI DIMBAN...: Wakati nipo nchini Ujerumani wiki kadhaa zilizopita nilipata nafasi ya kukumbuka enzi zangu na kuingia uwanjani kukipiga kwenye mechi y...

BARCELONA WAITANDIKA TENA MANCHESTER UNITED - ROO...

 BARCELONA WAITANDIKA TENA MANCHESTER UNITED - ROO...

KAMPUNI YA STEPS YASHIRIKIANA NA WASANII KUWAKAMAT...

 KAMPUNI YA STEPS YASHIRIKIANA NA WASANII KUWAKAMAT...: MSANII MOHAMED NICE 'MTUNISI' AKIZUNGUMZA JINSI WALIVYOKAMATA MZIGO FEKI WA KAZI ZA WASANII MBALIMBALI KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA STEP...