TAIFA STARS WAKWEA PIPA LEO ALFAJIRI KUELEKE GABORONE, BOTSWANA.
Wachezaji wa timu ya Taifa, Taifa Stars wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere tayari kwa kupanda ndege kwenda Gaborone, Botswana kwa ajili ya mechi ya kimataifa ya kirafiki itakayochezwa kesho Jumatano.
Nohodha wa timu ya Taifa,Taifa Stars Juma Kasseja akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere tayari kwa kupanda ndege kwenda Gaborone, Botswana kwa ajili ya mechi ya kimataifa ya kirafiki itakayochezwa kesho Jumatano.
Washambuliaji wa timu ya taifa, (Taifa Stars) Mrisho Ngassa (kulia) na Haruna Moshi Boban wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam kwa ajili ya safari ya kwenda Gaborone, Botswana kucheza mechi ya kirafiki ya kimataifa kesho Jumatano.
Wachezaji wa timu ya Taifa,Taifa Stars wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam,kwa ajili ya safari ya kwenda Gaborone, Botswana kucheza mechi ya kirafiki ya kimataifa kesho Jumatano.
No comments:
Post a Comment