Angalia na sikiliza kwa makini Video ya Dr Ulimboka alivyorejea nchini akitokea Afrika Kusini kwenye matibabu.
Mwenyekiti wa jumuia ya madaktari Tanzania Dr
Steven Ulimboka aliyekuwa nchini Afrika ya kusini kwa ajili ya matibabu baada ya
Kutekwa kupigwa na watu wasiojulikana amerejea nchini na kulakiwa na madaktari
wenzake,wanaharakati wa haki za binadam na wananchi wa kawaida.
No comments:
Post a Comment