CCM DMV WAFUTURISHA
Makada wa CCM wakiwa na kadi za uwanachama kwa
wanachama wapya katika futari ya pamoja ilioandaliwa na tawi la CCM DMV Jana
Ijumaa Aug 3, 2012 katika ukumbi wa Hillandale Park iliyopo Silver Spring,
Maryland Nchini Marekani.
Mwenyekiti wa tawi la CCM DMV Loveness Mamuya
akipata picha na tikiti maji lililochongwa kwa longo ya Chama cha CCM, katika
futari ya pamoja ilioandaliwa na tawi la CCM DMV Jana Ijumaa Aug 3, 2012 katika
ukumbi wa Hillandale Park iliyopo Silver Spring, Maryland Nchini Marekani.
Tikiti maji lililochongwa kwa longo ya Chama
cha Mapenduzi CCM
Foleni ya Chakula
Baadhi ya waTanzania waliovalia rangi za chama
cha CCM wakiwa kwenye futari ya pamoja ilioandaliwa na tawi la CCM DMV, Jana
Ijumaa Aug 3, 2012 katika ukumbi wa Hillandale Park iliopo Silver Spring,
Maryland Nchini Marekani.
Makada wa CCM Tawi la DMV shoto Mbunifu wa Ma Winny Casey
Khanga Wrap Designer, pamoja na Peter Ligate (Picha ya kulia) wakiwa katika
mpango mzima wa futari ya pamoja ilioandaliwa na wanatawi la CCM DMV
Watanzania waliojumuika kwenye futari ya
pamoja ilioandaliwa na tawi la CCM DMV, Jana Ijumaa Aug 3, 2012 katika ukumbi wa
Hillandale Park iliopo Silver Spring, Maryland Nchini Marekani.
Mwenyekiti wa tawi la CCM DMV Loveness Mamuya
akiwakaribisha rasmi wageni walikwa kwenye futari ya pamoja ilioandaliwa na
tawi la CCM DMV, Jana Ijumaa Aug 3, 2012 katika ukumbi wa Hillandale Park iliopo
Silver Spring, Maryland Nchini Marekani.
Baadhi ya wanachama wa CCM Tawi la DMV wakipata picha ya pamoja baada ya futari walioiyanda
Wanachama wa CCM Tawi la DMV na baadhi ya wageni wawili kutoka Londan
Uingereza
Wageni wawili majirani wapendanao kutoka jijini London pia walihudhuria katika futari hiyo ilioandaliwa na ilioandaliwa na tawi la CCM DMV Jana Ijumaa Aug 3, 2012 katika ukumbi wa Hillandale Park iliyopo Silver Spring, Maryland Nchini Marekani
Katibu
wa CCM DMV Jacob Kinyemi, kushoto akipata picha ya pamoja na Halima baada ya
kumkabidhi rasmi kadi ya uwanachama wa CCM, Jana Ijumaa na kuwa mwanachama
rasmi wa CCM. (Picha na http://swahilivilla.blogspot.com/ )
No comments:
Post a Comment