Pages

Thursday, August 2, 2012

MZEE HASSAN NASSOR MOYO  AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI JANA. 




-Mwandishi wa Habari Mwandamizi Salim Said Salim akimkaribisha Mwanasiasa Mkongwe Hassana Nassor Moyo kuzungumza na Waandishi mbalimbali kuhusiana na Mambo ya Muungano hapo katika Ukumbi wa Hoteli ya Rumaisa Bwawani Zanzibar

Baadhi ya Waandishi wa Habari mbalimbali waliohudhuria Katika Mkutano wa Mwanasisa Mkongwe Hassan Nassor Moyo akizungumzia mambo ya Muungano hapo katika Ukumbi wa Hoteli ya Rumaisa Bwawani Zanzibar.

Mwanasiasa Mkongwe Hassan Nassor Moyo Akionyesha hati za makubaliano ya mambo ya Muungano mbele ya Waandishi wa Habari mbalimbali waliohudhuria katika mkutano wake hapo katika Ukumbi wa Hoteli ya Rumaisa Bwawani Zanzibar.

Mwanasiasa Mkongwe Hassan Nassor Moyo akizungumza na Waandishi wa Habari mbalimbali kuhusiana na Mambo ya Muungano hapo katika Ukumbi wa Hoteli ya Rumaisa Bwawani Zanzibar

-Mwandishi wa Habari wa Gaazeti la Zanzibar leo Mwantanga Ame akimuuliza maswali Mwanasiasa Mkongwe Hassan Nassor Moyo hapo katika Ukumbi wa Hoteli ya Rumaisa Bwawani Zanzibar.

Picha zote na Yussuf Simai, Maelezo

No comments:

Post a Comment