Pages

Thursday, August 2, 2012

Dk SHEIN ZIARANI WILAYA YA KUSINI PEMBA, 01/08/2012.




Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Wazee wa kijiji cha Chokocho Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba Leo,akiwa katika ziara maalum kisiwani humo. [Picha na Othman Maulid.]

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,akisalimiana na Wazee wa kijiji cha Chokocho Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba Leo,akiwa katika ziara maalum kisiwani humo. [Picha na Othman Maulid.]

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Watoto wa kijiji cha Chokocho Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba Leo,akiwa katika ziara maalum Kisiwani humo. [Picha na Othman Maulid.]

No comments:

Post a Comment