HUYU NDIO ALEXANDER BUTTNER - BEKI MPYA WA KUSHOTO MRITHI WA EVRA
Klabu ya Manchester United leo imetangaza rasmi usajili
wa mchezaji Alexander Buttner, kijana wa kidachi mwenye miaka 23 aliyekuwa
akiichezea klabu ya Vitesse. Manchester United wameilipa Vitesse kiasi
kichopungua £4million kwa ajili kupata saini ya kijana huyo ambaye amesaini
mkataba wa miaka 5 kuwepo Theatre of Dreams.
No comments:
Post a Comment